TAHADHARI ⚠️ KATIKA TOVUTI /APP HII HAKUNA SEHEMU YA KULIPIA ONLINE UKIHITAJI MWENDELEZO WA SIMULIZI BONYEZA HIYO BUTTON YA WHATSAPP AMA ANGALIA NAMBA YA MTUNZI WA SIMULIZI HUSIKA KATIKA SIMULIZI HIYO

IFAHAMU TEKNOLOJIA YA ARTIFICIAL INTELLIGENCE NA UTENDAJI WAKE WA KAZI, HAKIKA ULIMWENGU UNAENDA KUBADILIKA KABISA.

IFAHAMU TEKNOLOJIA YA ARTIFICIAL INTELLIGENCE NA UTENDAJI WAKE WA KAZI, HAKIKA ULIMWENGU UNAENDA KUBADILIKA KABISA.
Artificial Intelligence (AI) ni software ambayo iliyotengenezwa kua na uwezo kama binaadamu, inaweza kufikiria, kupanga kitu, kujifundisha/kusoma kutenda kitu na kuweza kufahamu lugha zetu wanadamu. 
Maisha yanakwenda kwa kasi mno mengi ambayo tunaona hayawezekani au hayapo wenzetu huko wanakesha kutuonyesha jinsi kila kitu kinawezekana kama ukiwa na nia thabiti na mipango..Huko duniani kuna vitu vinaitwa Futurist na Futurology, Futurist ni watu wanaojihusisha na mambo ya Futurology. Futurology inafahamika kama Future studies (masomo yanayohusu mambo ya baadae), Ni masomo yanoyohusu ku-predict mambo mbalimbali yajayo kwa kufanya tafiti kuangalia mambo yaliyopo sasa hivi na kutabiri mambo yajayo.

Futurist wanapredict mambo yajayo kwa kuangalia siasa za dunia,teknolojia ya mwanadamu, intelligence ya mwandamu, Ustaarabu wa mwanadamu, uchumi,nk nk na kutabiri kua miaka kadhaa ijayo kutakua na hiki au kile.
Kwa mfano Futurist wanaelezea jinsi labda maisha ya mwanadamu dunia baada ya miaka 20, 30, 50 ijayo yatakua ni maisha yatakayokua yame Advance zaidi. Tutakua tunaishi katika Smart World hivyo binaadamu anaweza kusafiri less than 30 min kutoka bara moja kwenda lingine, Binaadamu anaweza kuanaanza kutumia teknolojia ya Artificial Intelligence At large,kilimo,Elimu,teknolojia vitaboreshwa, Dini zinaweza kua zimeungana nyingi kurudi kwenye shina kuu (Hasa ukristo)

Hapa tutaangalia Sayansi (Fizikia,Biolojia,hesabu) inaendea kubadili mfumo wa utendaji wa shughuli za kila siku za mwanadamu na kuzifanya ziwe rahisi zaidi. Miaka 20 tukijaliwa uhai tutaona dunia nyingine kabisa iliyopiga hatua katika mambo mbalimbali huku Teknolojia ya Artificial Intelligence ikiwa nyuma ya mabadiliko yote hayo..Always remember mwanadamu anafanya kila njia kua Achieve maisha yasiyo na kifo kwa gharama yoyote ile.

Ni Makala nzuri sana inayoonesha uelekeo wa ulimwengu huu katika nyanja ya teknolojia katika miaka kadhaa ijayo. 

kslprojects

kslprojectstz@gmail.com Entrepreneurship Power

Post a Comment

Previous Post Next Post