DijitoStore - Business software

JINSI YA KUTENGENEZA ICE CREAM ZA UBUYU NYUMBANI

JINSI YA KUTENGENEZA ICE CREAM ZA UBUYU NYUMBANI 
✳️MAHITAJI

  1. Ubuyu wa unga nusu kilo.

  2. Sukari robo.

  3. Ngano vijiko vi 2. 

  4. Rangi yoyote unayopenda.

  5. Maji litre 8-10.

  6. Vannila/hiliki.

✳️JINSI YA KUANDAA
➡️Weka maji, weka ubuyu wa unga nusu kilo.  ubuyu changanya kbs na unga wa ngano vijiko viwili.

➡️bandika jikoni huku ukikoroga mpaka uwe mzito kiasi.

➡️ weka sukari pia chota hata sehemu tatu ili kuweka rangi tofauti. 

➡️koroga dk 5
then epua pooza na ufunge kwenye vifuko.

NB Unga wa ngano unafanya ice cream iwe laini isiwe ngumu.
badala ya ngano unaweza weka corn flour. japo ni gharama kdg.

👊Hivyo ndivyo unaweza kutengeneza ice cream ya ubuyu hatua kwa hatua.
kslprojects

kslprojectstz@gmail.com Entrepreneurship Power

Post a Comment

Previous Post Next Post