DijitoStore - Business software

UJUE UGONJWA WA GOITRE/ROVU…


UJUE UGONJWA WA GOITRE/ROVU
▶Huu ni uvimbe usio wa kawaida katika eneo la koromeo (Thyroid Gland).Uvimbe huu hutokea  mbele ya shingo

DALILI YA GOITA (ROVU)

▶ Uvimbe mbele ya shingo
▶Mama wajawazito kuharibu mimba
▶Kudumaa mwili na akili
▶Mtoto kufia tumboni
▶Kuzaliwa mtoto njiti (uzito pungufu au premature)
▶Kutetemeka na kuwa na wasiwasi.
▶Macho kutoka nje
.
.
SABABU ZINAZOSABABISHA GOITA

▶Kupungua kwa IODINE katika chakula
▶Lishe duni
▶ Kuzidi uzalishwaji wa hormone aina ya Thyroxine(Over thyrodism.

JINSI YA KUZUIA TATIZO HILI  Soma hapa
kslprojects

kslprojectstz@gmail.com Entrepreneurship Power

Post a Comment

Previous Post Next Post