TAHADHARI ⚠️ KATIKA TOVUTI /APP HII HAKUNA SEHEMU YA KULIPIA ONLINE UKIHITAJI MWENDELEZO WA SIMULIZI BONYEZA HIYO BUTTON YA WHATSAPP AMA ANGALIA NAMBA YA MTUNZI WA SIMULIZI HUSIKA KATIKA SIMULIZI HIYO

MAAJABU YA ASALI SUKARI MAZIWA NA LIMAO KATIKA KUKUFANYA KUWA MREMBO ZAIDI

Jinsi Asali, Sukari, Maziwa, Na Limao Vinavyoweza Kuleta Mng`ao Mpya Katika Sura Yako

Usafi wa uso ni moja ya mambo muhimu sana kwa mwanamke au mwanaume yeyote yule ambaye anapenda kuwa nadhifu na mwenye mvuto. Kumbuka “reception ndio kila kitu “

Unapokutana na mtu sura yako na mwonekano wa sura yako ndio kitu cha kwanza kinachomtambulisha kwamba wewe ni nani na upo kwenye hali gani

Kuna njia nyingi za kuufanya uso wako uvutie na kupendeza. Leo tutaongelea zaidi jinsi ya kusafisha uso kwa njia ya asili. Mie hupenda kufundisha watu njia ya asili sababu ni rahisi kupata vifaa na ni nafuu 
Pia mtu anaweza kufanya kwa mazingira yoyote yale. Na matumizi ya vitu vya asili kwenye mwili husaidia kupunguza sumu mwilini kwani kutumia vipodozi vyenye kemikali husababisha miili yetu kujaaa sumu

Njia ya asili ya kusafisha na kupendezesha mwili ninayokueleza leo inahitaji vitu vikuu vinne : asali, sukari, maziwa, na limao

Haijalishi aina gani ya ngozi unayo , njia hii ya asili inaweza kutumika kwa aina yoyote ile ya ngozi iwe ngozi yenye mafuta au ngozi kavu

Kiasi cha mahitaji yanayohitajika:

Kijiko kimoja cha asali
Kijiko kimoja cha sukari
Kijiko kimoja cha maziwa
Kijiko kimoja cha limao

Utaratibu wa kusafisha uso:

Weka mahitaji hapo juu kwenye chombo kilicho kisafi, changanya vitu vyako mpaka vilainike, viache kwa muda wa dakika 10 ili viweze kuchanganyikana vizuri na na sukari iweze kuyayuka vizuri

Baada ya mchanganyiko wako kuwa tayari chukua kipande cha pamba kilicho kisafi tumia kupakia mchanganyiko wako usoni . Na kumbuka ni vizuri uso ukiwa mchafu na upaswi kuosha uso alafu ufanye zoezi hili. Baada ya kupaka mchanganyiko wako usoni kaa kwa dk 15 
Baada ya hapo chukua maji ya uvuguvugu, kitaulo kisafi na sabuni ya kipande “vizuri kutumia sabuni ya MAAJABU maana haina kemikali ” tumia kitambaa kuoshea uso wako pamoja na sabuni ya maajabu (Kama huna basi karibu ofisini kwetu ili uipate)

Basi baada ya hapo umekuwa umemaliza zoezi lako la usafi wa ngozi yako
Kumbuka njia hii aina madhara yoyote na haibadilishi rangi au muonekano wa ngozi yako na unashauliwa kufanya mara kwa mara ili kukupa mvuto zaidi.
.
.
Hakikisha haukosi sabuni ya maajabu ndani kwako maana sabuni hii na somo hili nililokufundisha utapata matokeo ya haraka sana kuhusu ngozi yako na muonekano wako kwa ujumla

Endapo unahitaji ushauri au sabuni ya maajabu basi PIGA SIMU au niachie ujumbe mfupi sasa hivi kwenda
Simu/whatsapp: +255716778844

kslprojects

kslprojectstz@gmail.com Entrepreneurship Power

Post a Comment

Previous Post Next Post