TAHADHARI ⚠️ KATIKA TOVUTI /APP HII HAKUNA SEHEMU YA KULIPIA ONLINE UKIHITAJI MWENDELEZO WA SIMULIZI BONYEZA HIYO BUTTON YA WHATSAPP AMA ANGALIA NAMBA YA MTUNZI WA SIMULIZI HUSIKA KATIKA SIMULIZI HIYO

UTAMU WA MAMA CHIKU (Sehemu 01)

*UTAMU WA MAMA CHIKU*

SEHEMU YA KWANZA 
Mwandishi -Queen Lizzie
______________________________________
Jina lake lilikuwa maarufu pale mtaani hakuna asiyemfahamu, kila mtu alikuwa na habari zake lakini kwa namna tofauti, wapo waliomfahamu kama 'mama Chiku' mke wa mdogo wa mzee Bakari Mwenda. 
wapo waliomfahamu kama mwanamama ambaye hakuwa akijiheshimu na kuuthamini mwili wake kutokana na mavazi yake pamoja na tabia zake zingine mbaya mbaya, kama vile kumwaga radhi katika sherehe za uswahilini maarufu kigodoro, kutembea na wanaume hovyo hasa wale ambao aliwazidi umri yaani vibenteni lakini pia lipo kundi lengine ambalo kamwe usingepata kulisikia likisema neno lolote la chuki juu ya mwanamama huyo bali muda wote ungewasikia wakimwagia sifa tu.

"Aaanh mimi alinivalia shanga kumi na saba siku hiyo, alivyoikalia dakika tano tu wazungu hao, viuno kama vyote pia kitumbua chake cha motooo halafu kimejaa jaaa, hahaha" 
"Juzi pale kwenye kigodoro usiku, alikuwa anakatika katika sasa si ndio nikasema 'ngoja nimsogelee' nimbambie, aaah ile kumshika kiuno tu shanga kama zote, nilipogusisha tu bakora yangu kwenye chura lake lile, aaah hapo hapo bakora ikasimama, chura lainiii halafu hakuvaa kitu ndani, si ndio nikamgandamiza kwa nguvu aaah hapo hapo nikamwaga wazungu, kama ingekuwa mchana ningeaibika ila cha kushukuru ilikuwa usiku, ila yule mama mtamu sana, ipo siku na mimi nitamla" 

Hizo zilikuwa ni baadhi ya sifa ambazo hakuishiwa kumwagiwa na kundi hili la vijana ambalo , ambao wenyewe walikuwa wanufaika wa tabia ya 'mama Chiku'. 
Hakuna anayejua ni kwanini alikuwa akiyafanya hayo, kwani hakuwa na dhiki ya kuvaa wala ya kula achilia mbali pa kulala pia alikuwa na mume kabisa. 
Kuna wengine walisema huenda labda mama Chiku alikuwa na pepo la ngono, wengine walisema huenda labda mumewe hamtoshelezi, wengine wakadai huenda labda tabia yake hiyo chafu ilitokana na malezi ambayo wazazi wake walimpatia. Kila mmoja alisema lake lakini kiukweli hakuna hata mmoja ambaye alikuwa na uhakika ama uthibitisho wa aina yake hivyo maneno na habari zote hizo zilikuwa ni za kupuuzia tu lakini sifa zake ziliendela kuutikisa mtaa, zilienea. 
..................

Katika watu ambao walifikwa na habari hizi za mama chiku na mimi nilikuwa mmoja wapo, japokuwa nilikuwa mgeni pale mtaani lakini nilipohamia na kukaa kwa wiki moja tu nilifanikiwa kuzisikia habari zake, nilizipa umakini hafifu kwa siku za mwanzoni nilipozisikia lakini siku moja nilipooneshwa huyu mama Chiku mwenyewe, nilijikuta nikivutiwa na zile simulizi zake zote na nilitamani kuhadithiwa mara nyingi iwezekanavyo. 
Mama Chiku alikuwa mama Chiku haswaa, alibarikiwa na kila kitu ambacho mwanaume angekihitaji mwanamke wake awe nacho. 

Alikuwa mweupe, umbo lake namba nane na kila pale alipotembea wowowo lake nyuma lilitikisika kwa fujo, wapo ambao walikuwa wanasema kwamba alikuwa akijitikisa na wengine walikuwa wakisema hakuwa akivaa nguo ya ndani yaani chupi kama njia ya kuwatega wale wanaume wenye tamaa. Si umbo na rangi tu pia hata kwa sura Mama Chiku alikuwa mzuri. Macho makubwa ya duara, mashimo katika mashavu yake mawili yalionekana vyema pale alipotabasamu. 
Mama Chiku alikuwa mtu haswa. Kama ungekuwa mwanaume usiyekuwa na uwezo wa kuziongoza hisia zako basi lazima ungeingia katika mtego wake na mimi nilikuwa mmoja wapo. 

**********************
Siku moja mapema majira kama ya saa nane hivi mchana siku hii ilikuwa ni siku jumamosi mwishoni mwa hivyo sikwenda kazini. 

Nilikuwa nimekaa zangu kijiweni nje ya nyumba niliyopanga, pamoja na vijana wengine watatu ambao nilikuwa na mazoea nao kiasi japokuwa sikuwa mwenyeji sana pale mtaani ndio kwanza nilikuuwa namaliza wiki yangu ya pili pale mtaani. 

Stori kadhaa za hapa na pale tulizichapa huku kila mmoja akitaka asikike na akubaliwe kile asemacho haijalishi kama ni cha uongo ama cha ukweli. 
Lakini stori zetu hizi za kibwege ambazo hazikuwa na kichwa wala miguu, zilikatishwa ghafla. Kila mmoja akabaki amepigwa na bumbuwazi. Wote tuligeuza nyuso zetu barabarani. 

Mwanamke mmoja wa makamo ndiye ambaye alikuwa barabarani kwa wakati ule akikatiza kwa madaha. 
Najua utajiuliza ni nguvu ama ushawishi wa aina gani ambao mwanamke huyu alikuwa nao mpaka kufikia hatua ya kutufanya tukatize maongezi yetu, tupigwe na butwaa tumkodelee macho. Hata mimi nilijiuliza hivyo hivyo mpaka pale zilipopita sekunde kumi yaani baada ya kumtazama vyema , ndipo nilipogundua mwanamke yule alistahili umakini wetu. Alikuwa mwanamke mmoja hivi wa makamo, mwente ngozi nyeupe, umbo namba nane na kila hatua aliyoipiga nyuma wowowo lake lilinesa nesa mithili ya kitenesi sakafuni. Hakuonesha kuvaa nguo ya ndani yaani chupi na kama alivaa basi hakika alikuwa amejaaliwa. 
"Mmmh...!" 

Mwenzetu mmoja aliguna. Punde tu baada ya yule mwanamke kutoweka maana tulimkodolea macho mpaka pale alipopotea kabisa. 
"Mama Chiku huyooo..." 
Mwingine akadakia.
"Huyu ndio mama Chiku kumbe..!" 
Nilijikuta nikiropoka bila hata ya kudhamiria. 
Kwani ni kwa muda sasa nimewahi kuzisikia sifa zake lakini mwenyewe sikuwahi kumuona mwenyewe , ile ndio ilikuwa mara ya kwanza. 
"Enheee ndio yeye huyo, kwani ulikuwa humjui" 
"Hapana ila nimemsikia sikia tu akiongelewa, kumbe ndio yule"
Nilipeleleza kwa lengo la kutaka kupata habari zake zaidi. 
"Eeenh ndio yule ana balaa zito huyo, unamtaka nini, wewe tuu na kujiongeza kwako" 
Swali hili kwangu lilikuwa la mtego na hata aliyeniuliza mwenyewe alilijua hilo wazi , kati ya wanaume kumi basi ni wawili tu ambao wangesema hawamtaki mwanamama yule baada ya kuoneshwa nane wote wasigepinga , na mimi ni mmoja kati ya hao nane , lakini mbele ya washkaji nilijifanya simtaki na wala sina mpango naye.
"Hamna kaka sina shida naye wanini mie" 
"Hahahha wenzako walisema hivyo hivyo lakini mwisho wa siku..." 
"Hivi anakaa wapi huyo mmama"
Niliuliza. 
"Si umesema humtaki wewe sasa kwake panini au ndio unamtaka umtimbie, Mzee Bakari atakuua..."
Mmoja kati ya wale washkaji watatu alinishushua kisha wote tukacheka japo niliona noma.
"Hahahhahahaha"
"Ila usijali ukitaka kumuona tena leo unaweza kumuona , baadae hapo kwa mama Sarafina kuna kigodoro njoo ulione balaa lake, " 
Alisema mwingine huyu sasa angalau maneno yake yalipenya katika ubongo wangu, nilimtazama kwa umakini. 
"Enhee baadae mimi mwenyewe lazima niwepo nimshuhudie akimwaga radhi " 
Alidakia mwingine. 
Tuliendelea na stori zetu za hapa na pale huku mada kuu ikiwa ni mama Chiku na mada ndogo ikiwa balaa la mama Chiku. 

Nilitamani kushuhudia hiko kilichokuwa kikisema kuhusu mama Chiku hivyo nilihitaji kwenda katika hicho kidogoro ambapo ndipo nitamshuhudia mama Chiku akivifanya vile ambavyo nilikuwa nikihadithiwa na watu. 
Nilitamani muda usonge upesi ili nikashuhudie mubashara.


Itaendelea.......
Muendelezo wake Ingia hapa


kslprojects

kslprojectstz@gmail.com Entrepreneurship Power

3 Comments

Previous Post Next Post