DijitoStore - Business software

AVENGERS

AVENGERS
Avengers fans hawachelewi tayali wameanza kubuni na kudizain post za avengers Sehemu ya tano itakayoitwa AVENGERS THE  KANG DYNASTY

Kang tumemuona Kwenye series ya Loki episode ya mwisho,akaonekana Tena Kwenye Ant-Man and the wasp quantumania iliyotoka mwaka huu akicheza kama adui ,kwa mujibu wa comics wanadai kwamba KANG ni villain hatari kuliko hata THANOS

Kwahiyo moto wa KANG tutauona zaidi kwenye avengers 5.
kslprojects

kslprojectstz@gmail.com Entrepreneurship Power

Post a Comment

Previous Post Next Post