Chombezo : Mama Mwenye Nyumba
Sehemu Ya 4
ILIPOISHIA....
*******
sasa kitendo hicho chakuinama, kilisababisha makalio yake kuonekana vyema zaidi ndani ya suruali yake ya kitambaa chepesi, pia hips zilitanuka zaidi huku kishati chake, kikipanda kwajuu na kusababisha sehemu ndogo ya kimkanda cha chupi kuonekana, ikifwatia na mfreji uliogawa makalio yake makubwa, kuonekana kidogo, hapo ndani ya bukta
ya kijana huyu kulitibuka Zaidi, alipo maliza Suzana aliingia kwenye gari, nakulitoa nje, akashuka tena kwaajili yakwenda kurudisha geti, lakini akamwona tayari Edgar amesogea, nakumsaidia kufunga geti, kitu ambacho Suzana hakukitegemea, akajikuta amesha peleka macho yake kwenye bukta ya Edgar, nakutazama tena dudu ya kijana huyu, ambayo bado ilikuwa imetuna nakusimama aswaaa! "hoooo! asante sana Eddy, ok baadae" aliingia kwenye gari lake na kuondoka zake, huku Edgar akirudi ndani, wakati ana katiza kuelekea kwake akapishana na dada mmoja ambae ni mke wa mpangaji mwenzie "shikamoo dada" Edgar alisalimia kwa heshima, ndivyo alivyo zowea, "hoo!..mambo Eddy, naona jana umechelewa kurudi hen?" aliongea yule dada, huku macho yakiibia kutazama bukta ya Edgar, dada huyu licha ya kumzidi umri Edgar, lakini mwonekano wake ulivutia, na angetosha kabisa kupeana dudu na kijana huyu, ambae kiasi kikubwa cha mawazo yake, kilitawaliwa na kutamani kamchezo hako, "nikweli nilichelewa uwa nabaki chuo kujisomea" alisema Edgar, kabla hajaendelea yule dada “naona ulikuwa unaongea na mama mwenye nyumba” na sasa walikuwa wamesimama kabisa wakiongea ili nalile, lakini Edgar aka gundua kuwa macho ya yule dada, mke wa mpangaji mwenzie, ya naangalia sana sehemu ya mbele ya bukta yake, hapo ndipo alipo stuka na kujiangalia, du! hapo moja kwamoja akaondoka nakuingia chumbani akimwacha yule dada akicheka, moja kwamoja Edgar akaingia bafuni nakuoga, kabla ya kujilaza tena kitandani, maana ilimlazimu kupoteza muda kwalengo la kubana matumizi, akiamka saa tano aende kwa mama ntilie, akapate chai na chapati mbili kwa mia nane, kisha asubili mpaka saa kumi nambili, ndipo ale chips kavu pengine na soda ndogo ya jero, hapo angekuwa ametumia elfu mbili mia tatu siku ingekuwa imepita, wakati akiwa hapo kitandani, akapata wazo, akachukua simu yake, na kukagua kitabu cha majina, mpaka alipo pata jina la dada Selina, huyu ni dada yake wapili kuzaliwa, kwakutumia salio lake dogo alilokuwanalo, kwenye simu yake, akaipiga ilenamba, ya dada yake, baada ya kuita kidogo ikapokelewa , “unasemaje, ?” kauli yakwanza kabisa ya dada yake Edgar, iliyo onyesha ukali wawazi kabisa, baada tu, yakupokea simu, lengo lilikuwa ni kumwomba fedha kidogo, “shikamoo dada” alisalimia Edgar ilikumtuliza dada yake, lakini haikusaidia kitu, dada akaja juu, “weee! Ebu sema shida yako ninakazi zangu hapa” hapo Edgar akapatwa na kigugumizi, na kabala ajasema shida yake , akasikia kiashilio cha simu yake kukatika, akajaribu kuipiga tena, ikasikika sauti ikimwambia, hakuwa nasalio lakutosha kupiga simu, hapo akatafuta namba ya dada yake mkbwa , nakutuma ujumbe wa tafadhari nipigie,**** baada ya kutoka nyumbani, Suzana mahips alielekea mbezi, ambako zipo ofisi zao za tawi la Benk ya wananchi ubungo, njiani alifanya zoezi lakuangalia sehemu za mbele za suluali za wanaume, lakini hakuona anacho taka kukiona, alitalajia kuona dudu ikiwa ime tuna kama ya Edgar, hakuchelewa kufika, alipo fika alitoa taarifa ya udhulu, kwamba baadae ataenda kumwangalia mgonjwa tumbi hospitali, baada ya kuingia ofisini, kitu cha kwanza aliongea na Sophia, ambae alimwambia kuwa yupo njiani anakuja na watu wake, baada ya hapo alikaa ofisini, nakuanza kufungua account feck, baada ya kumaliza , akaaakimsubiri Sophia na watu wake, hakukaa hivi hivi, muda wote ofisini aliendelea na kazi zake kama afanyavyo siku zote, lakini hakuhacha kumtazama kila mwanaume alie ingia ofisini kwake iwe mteja au mfanya kazi mwenzie, lakini hakufanikiwa kuona mwenye dudu iliyo tuna, japo hakujuwa sababu ya yeye kufanya vile, lakini alijisikia tu! kufanya hivyo, huku hamu ya kupata dudu tamu, iki zidi kumkamata alihisi taratibu kitumbua chake kina anza kutekenya akatamani apeleke mkono ili jichezee kikunde chake lakini akashindwa kutokana na camera za ulinzi zilizotegwa kila kona pale bank akajikuta amechukuwa simu nakuandika sms nakuituma sehemu
Mzee Mashaka ndiyo kwanza alikuwa ametoka kuamka, kichwa chake kilikuwa kizito sana,kutokana na pombe, alizokunywa jana usiku, maana ile jana alipo toka nyumbani kwa Suzana, alielekea moja kwamoja Full dose pub, ambapo alilkuwa anamihadi na rafiki yake mzee Haule, kwaajiri ya biashara, usiku ule kabala ya kwenda nyumbani, alifika pale Full dose nakuku tana na mzee Haule, ambae alitkea Songea kwaajili ya mambo ya kibihashara, aliongea sana na mzee huyu, wakakubariana kukutana kesho yake, kwaajiri ya kukabidhiana mzigo ambao ungesafilishwa jumapili, kwenda songea ambapo ofisi za mzee Haule zipo, baada ya hapo wakaendelea kukata maji, wakati wanaendelea kupiga mtungi mzee Mashaka akamwona binti mmoja mrembo sana, alievalia ki gauni kifupi sana, kilisho hacha sehemu kubwa ya utamu , ukiwa wazi asa pale counter alipo kaa juu ya sturi ndefu nakuchanua miguu yake, akiwa na wenzie wawili, nao walikuwa, wamevaa, kama mwnzao, wote walikuwa wakinywa pombe, pale pale mzee Mashaka, akamtamani, nakuanza taratibu za kuongea nae, mwisho wakajikuta wapo meza moja, wakaendelea kunywa pombe mpaka saa saba usiku, ndipo mzee Mashaka akachukuwa jukumu la kumpeleka yule binti nyumbani kwake, kwakutumia usafiri wake NISSAN SAFARI, nikaribu na maeneo hayo ya bar, huku mzee Haule akimchukua binti mmoja kati ya wale wawili waliobakia, na yule mwingine alipotelea mulemule bar, baada yakunywa sana pombe, ndani ya nissan safari mzee Mashaka na yule binti, hawakwenda mbali nikama mita miatatu toka pale bar, kisha yule binti akamwabia mzee mashaka "baby simama hapo hapo" mzee Mashaka akasimamisha gari "vipi tumesha fika?" aliuliza mzee Mashaka kwa sauti ya kilevi "hapana baby, guest ilepale unaipiata, mimi nyumbani na kaa na dada yangu, hatuwezi kulala wote" alijibu yule mwanamke kwa sauti yakilevi, akimaanisha waende guest akampe mambo "hapana mrembo, leo sijisikii vizuri, nazani kesho tutakuwa namuda mzuri wakuenjoy, nilikuwa nakupeleka nyumbani tu!" aliongea mzee mashaka, lakini akashangaa kuona yule binti anamfungua mkanada wa suluwali, "hapana bwana, kesho ni kesho na leo ni leo" mzee Mashaka kabla haja mzuwia, alishangaa kuona yule binti akimalizia kumfungua zipu, na kuingiza mkono ndani ya boxer, nakuitoa dudu yake, kisha akaidumbukiza mdomoni, nakuanza kuinyonya. kilikuwa ni kitendo mabacho mzee Mashaka hakukitengemea, nakutokana nakuwa, alitokakufanya mapenzi mda mfupi uliopita, alijikuta hakishindwa kusimamamisha dudu, ilikufurahia tendo lile, licha ya binti yule kuangaika kwa muda wa nusu saa, akitumia mbinu za kikahaba, akijaribu kuamasha dude, lakini wapi, ndipo yule binti akamwelekeza mzee Mashaka anapo kaa, ikiwa nipamoja nakumpatia namba za simu kisha yule binti akaondoka zake, wakipeana mihadi kwamba, kesho mapema waliamshe dude, mzee Mashaka akaanza safari yakurudi nyumbani kwake, mbezi msakuzi ambapo alifika saa nane usiku, akajitupa kitandani nakupitiwa na usingizi, akaanza kukoroma akimwacha mkewake akikunja sura kwa hasira, mpaka asubuhi alipo amka nakuingia bafuni, kisha kukaa mezani kwaajili ya soup, vitendo vyake mkewe alisha vizowea, maana walisha gombana sana, siku za nyuma ikafikia kipindi akaamua kukaa kimya, japo mala chache alinusulika kuingia majaribuni, maana alikuwa anaweza kukaa ata miezi minne, haja lionja dudu, masikini mama wawatu bado alikuwa anavutia sana, kutokana na umbo lake zuri nasura, pia alikuwa anajipenda nakutunza urembo wake kwa ghalama kubwa, wakati Mzee Mashaka akiwa mezani anafakamia soup ya ngombe, kukata mning’nio, vijana wana ita lock, mala ikaingia sms kwenye simu yake, akaiangalia jina la mtumaji ni Suzana, akaifungua nakuisoma "shikamoo, vipi ulifika salama?" naye akajibu “malahaba mpenzi wangu, nashukulu nilifika salama” Suzan baada ya kuisoma naye akatuma nyingine “vipi bado hupo nyumbani” mzee mashaka akaisoma nakujibu "nipo home napata soup karibu" akaisend na kusubiri jibu, "kwahiyo hupo karibu na mama?" "hapana nipo mwenyewe, vipi kuna inshu?" "ndiyo kama unaweza kuja kwangu leo" “poa husijari nitakuja mchana" "poa nakusubiri kwa hamu"
*****
wakati suzana anamalizia kujibu sms yamwisho na mlango ukafunguliwa, akaingia Sophia akiwa ameongozana na wanaume wawili, "hooo! karibu mwaya, naona umewai" aliwakaribisha Suzana "weee! mbele ya mawe, ebu! tufanye yetu kabla muda haujaenda, siunajuwa leo weekend inaendelea" baada yakusalimiana, bila kusaahau kuwakagua sehemu zao za mbele za suluali Suzana aka tafuta account moja kwenye kwenye computer,niile aliyo kuwa ameiandaa na kuanza taratibu za kuamisha fedha,
Huku nako, Edgar baada ya kulala sana, akaamka saa nne, nakujiandaa kisha akaelekea chuoni, ambako alikaa kwamuda, huku akijaribu kuwaza namna yakupata fedha, zitakazo mfanya aweze kutumia kwa kula, pamoja na kupata japo mwanamke mmoja, wakumpunguzia hamu, akiwa amekaa ndani ya darasa moja peke yake, akiwaza ili nalile ikiwa pamoja nakusubiri simu, toka kwa dada yake aliekuwa amemtumia ujumbe wa, tafadhari nipigie kwa dada yake mkubwa, akiamini kuwa kutokana na shemeji yake, kuwa nakazi nzuri, angeweza kumsaidia fedha kidogo za matumizi, zitakazo msaidia kwenye mipango yake, japo alihiifahamu vyema tabia ya dada zake, yakutokusaidia wazazi wala yeye mwenyewe, ila alijipa moyo, kuwa kwasababu kwa sasa anasoma mbali, nakilakitu kinitaji fedha, ange msaidia "mambo anko?, zatoka jana" alistushwa na sauti yakike, sauti iliyo mfanya ageuke nakumtazama muongeaji, naam alikuwa ni mschana mrembo kiasi, alievalia kinguo cha kubana kwelikweli wenyewe wanaita tait, iliyoishia kwenye magoti nakuonyesha jinsi alivyo jaliwa kuwa nakaumbo potabo, juu alivalia tishert lililo ishia kwenye mapaja, nakumfanya apendeze kidogo, bint huyu hakuwa mgeni machoni mwake, ni binti mmoja kati ya wale wawili, ambao walikuwa wakitazama video
yangono jana usiku, akiwa amenyoosha mkono kwa Edgar, akiitaji wasalimiane kwa kushikana mikono, naye akampa wakwake "poa tu!" alijibu kwa kifupi Edgar "naitwa Nancy nipo mwaka wapili, mwenzangu unaitwa nani?" alijitambulisha yule mwanamke “naitwa Edgar nipo mwaka watatu" kiukweli Edgar aliweza kumtazama vizuri binti huyu, ni mrembo mwenye kuvutia nakutamanisha “Edgar unaonekana ni mgeni hapa chuo?” aliuliza yule binti Nancy, huku usowake umepambwa kwa tabasamu laini, “yah! Nina week moja tu hapa” hapo Edgar alishuudia tabasamu likizidi kuchanua usoni kwa Nancy "ok! me nipo singo, kama hutojari unaweza kunitowa dinner, kabla ya darasa la usiku, ilituongee zaidi" alisema Nancy na kuondoka zake akimwacha Edgar ana msindikiza kwa macho, “mh dinner? Mimi mwenyewe dinner” alijisemea Edgar, licha yakuwa kweli alikuwa anaitaji sana mwanamke, hapo Edgar hakuchukuwa muda mrefu akaamua akatafute sehemu ambayo anaweza kupata chai, maana njaa ilianza kushambulia, akiwa njiani aliwaza nivipi amnge weza kutoka na yule binti, maana ana wajuwa waschana wa chuo, kwa siku chache, alizokaa hapa chuo, aliona jinsi wanavyo penda kula vinono sasa bajeti yake yeye buku mbili jero itawezekana vipi, wakati akiwaza hayo akasikia simu yake ikiita alipo itazama alikuwa ni dada yeke,***** Wakati huo suzana naye alikuwa amesha maliza kufanya mchongo wake na wakina Sophia, wakagawana chao, kila mmoja yeye na Sophia, akiondoka na million kumi, kasha wakaagana na kilammoja akashika njia yake, Suzan aliaga, ofisini kuwa anaenda kumwona mgonjwa, hospital ya Tumbi kibaha, kisha akatoka nakuelekea kwenye maegesho ya magari, ya wafanyakzi wabenk, akiwa anatembea nje ya jingo la bank, pembezoni mwa mauwa yaliyo pandwa kwa lengo la kupendezesha eneo lile, mala akamwona mjusi, kiukweli Suzan ni mwoga sana wa wadudu kama hawa, alijikuta akijaribu kuruka kwa uoga, kiasi cha kuji stua mguu, kitendo kilicho sababisha, hashindwe kukanyaga vizuri, nakuyumbakidogo na kujigonga, kwenye nguzo moja ya maegesho yamagari, kitendo hicho kili mfanya ajisikie maumivu kwenye paja alilo jigonga kwenye nguzo, na sehemu ya kisigino, iliyo stuka mwanzo, basi akajikongoja mpaka kwenye gari lake, nakuingia ndani, safari ikaanza, huku maumivu akiendelea kuya sikia,****
#je umeipenda toa ushilikiano wako like comment zikiwa nyingi takuja kuweka ep zingine chapu. By Aisha pepe
Endelea kufatilia mkasa huu hapa hapa
#SHARE
Tags
Chombezo 🔞