TAHADHARI ⚠️ KATIKA TOVUTI /APP HII HAKUNA SEHEMU YA KULIPIA ONLINE UKIHITAJI MWENDELEZO WA SIMULIZI BONYEZA HIYO BUTTON YA WHATSAPP AMA ANGALIA NAMBA YA MTUNZI WA SIMULIZI HUSIKA KATIKA SIMULIZI HIYO

MAMA MWENYE NYUMBA 05

Chombezo : Mama Mwenye Nyumba

Sehemu Ya 5
ILIPOISHIA....

*******
  

 kitendo hicho kili mfanya ajisikie maumivu kwenye paja alilo jigonga kwenye nguzo, na sehemu ya kisigino, iliyo stuka mwanzo, basi akajikongoja mpaka kwenye gari lake, nakuingia ndani, safari ikaanza, huku maumivu akiendelea kuya sikia,****

Hukunako baada ya kuiona kuwa dada yake anapiga simu, Edgar akasogea pembeni ya barabara nakuipokea simu "shikamoo dada" alisalimia baada tu! yakupokea "ebu! ongea haraka unanimalizia vocha" alijibiwa kwasauti yaukari na dada yake "mh! dada lakini ata salamu hutaki" alisema Edgar lakini dada yake akaja juu “salamu kitugani, huna lolote zaidi yakutaka kuomba ela, ungekuwa na heshima husinge fukuzwa upadre" hapo simu ikakatwa, Edgar aliuzunika sana, moyo ulimuuma, nusu atowe machozi kwa uchungu lakini akajikaza kiume, ***** wakati huo huo Suzana naye ndiyo alikuwa anaingia kibamba, akitokea mbezi, lakini licha yakuwa na vimaumivu kwenye kisigino, na pajani, bado nia yakeilikuwa ni kumfanyia mzee Mashaka utundu , ambao utamfanya ape dudu kiuakika, pia njiani aliendelea nakamchezo kake, kakutazama nyeti za wanaume, kama zimetuna, kamaalivyoona kwa mpangaji wake, lakini hakufanikiwa, “au kunakitu anaficha yule” swali la kijinga, hapo Suzan alijicheka kidogo, wakati anakatisha njia ya kuelekea magengeni, akamwona kijana mpangaji wake Edgar akiwa mwenye mawazo mengi anakuja upande wake, moyo ulimlipuka, wakati huo nayeye alisha fikia karibu na bucha la nyama yang'ombe, kwa Ras,

nakusimama pembeni yake, muuzabucha Ras alisha juwa tabia ya Suzana ya kununua maitaji akiwa ndani ya gari, alipo mwona akatoka buchani na kumfwata kwenye gari” ngapi leo dada yangu?” Ras aliuliza akionyesha kufahamiana na Suzan "naomba kilo mbili, steck" aliagiza nyama nyingi akiwa namaana kesho hasingeweza kutoka, akamkabidhi na fedha, baada ya hapo akamtazama tena Edgar sasa, aliwona akikoswakoswa na pikipiki (bodaboda) huku mnwndesha pikipiki akiachia tusi la nguoni, lililo muusisha mama yake Edgar moja kwamoja, japo pikipiki ile iliyo kuwa mwedo wakasi ilimfwata pembeni kabisa ya barabara, huku yule mwendesha pikipiki akimwachia Edgar tusi zito la nguoni, bado pikipiki ilikuwa ikija kwa kasi usawa wa gari lake, huku yule mwendesha pikipiki, akijaribu kushika brek, kujiokoa hasiligonge gari la Suzan, ambalolilikuwa limepaki pembeni kabisa ya barabara, nakufanya pikipiki isote nakwenda kusimama atua chache mbele ya gari lake, alafu yule mwendesha pikipiki akashuka akiwa amekunja sura kwahasira na kumfwata Suzana, "hivi we malaya unalingia hili gari lakuongwa, unapaki hovyo hovyo njiani " kauli hiyo ili muumiza sana Suzana, lakini hakuwa na lakufanya akabaki kimya, huku watu wengine, wakisogea nakuanza kumlaumu yule kijana kwa lugha chafu, aliyomtolea Suzan, naukizingatia yeye ndie alievunja sheria ya kuendesha mwendo wakasi, "hapana bwana, hawa wenyemagari wanatunyanyasa sana, alafu magari yenyewe, wanayapata baada yakugawa kum...." kauli hiyo hakuweza kuimalizia, kwani watu wote akiwepo Suzana, walishangaa kumwona yule kijana akiwa juu analea kama gunia lililo shushwa toka kwenye loli, nakjibwaga chini bwaa, Suzan alimwona yule mwendesha pikipiki, akijiinua araka nakumfwata mtu alie mpiga mtama, lakini kilamtu alishuhudia yule kijana mwendesha pikipiki akipokea ngumi nzito ikituwa kwenye shavu, kasha ziki fwatia nyingine sita mfululizo zilizo tuwa usoni,nakumfanya ayumbe na kujibwaga chini kama anaugua kifafa, hapo ndipo walipo weza kushuhudia, akikandamizwa na teke tumbo kama mtu anae kanyanga nnge au mende, kisha akafwatiwa na ngumi mfurulizo za usoni zisizo na idadi, zilizo zidi kuuchafua uso wa kijana yule mkosa heshima, zilizo sababisha damu isambae usoni kwa yule mwendesha pikipiki, hakuna alie amulia zaidi watu walishangilia, mpigaji alipo lizika akamuacha nakuondoka zake, wakati anaondoka ndipo Suzana alipo gutuka na kutaka kumwita, maana alisha mjuwa kuwa ni mpangaji wake mpya, na kitu kilicho mchanganya Zaidi, niuwezo wakijana yule, hakuamini kijana yule mpole anaweza kumfumua yule mwendesha pikipiki namna hile, hakuwa na lakufanya, akamsindikiza kwa macho mpaka alipo potea machoni kwake, akirudi alikotokea upande wa chuoni kwao, hapo Suzana akanunua maitaji yake, huku akisikia jinsi watu pale wakimsifia yule kijana kwakumshikisha adabu, mwendesha pikipiki mjinga, nakabla hajaondoka alishuhudia polisi wakifika pale na kumchukuwa yule kijana, ni baada yakuhoji kilicho tokea, muda mfupi baadae Suzana alikuwa amesha fika nyumbani kwake, akabadirisha nguo zake, nakuvaa nguo nyepesi ambazo upenda kuvaa akiwa mwenyewe nyumbani, au anapokuwa na mpenzi wake mzee Mashaka, ni kigauni chepesi kifupi kinachoishia juu ya magoti, katikati ya mapaja, nakusababisha mapaja yake ma nene na makalio yake makubwa kuonekana vizuri, tena leo hakuvaa nguo za ndani, kuanzia sidilia mpaka chupi, kitu licho sababisha kila kitendo alicho fanya kiliutikisa mwili wote, kuanzia hips makalio na matiti yake makubwa, hapo akaingia jikoni , akanza kupika, ******saa sita kasolo mzee Mashaka alikuwa amesha malizana na mzee Haule, baada ya hapo akaelekea mbezi pale pale full dose, nia ikiwa moja tu! kwenda kumtafuta yule binti alie mnyonya dudu jana usiku, alifika full dose nakukaa kwenye meza moja iliyo jificha, akaagiza bia, baada yakunywa bia mbili, akampigia simu yule binti ambae alimsevu kwajina la WAJANA, alipata hewani na wakakubaliana aje mala moja pale full dose, haikuchukuwa mda mrefu bint wa jana alikuwa amesha wasili, kwanza aliingia kwambwembwe, alimpiga busu lamdomo, mzee Mshaka baadaya hapo, akakaa nakuagiza bia huku akiagiza aitiwe mtu wa jikoni, baada ya muda mfupi bia ilikuwa imesha letwa na muuza chips alisha agizwa, walitumia saa limoja, kabla mzee Mashaka ajarudisha mawazo kwa Suzana, akijiuliza kwamba atakuwa na shidagani, hakuwaza juu ya ngono, maana haikuwai kutokea Suzana akadai dudu ata sikumoja, mawazo hayo alikuwa akiyawaza toka anatoka nyumbani, hivyo alishajiandaa kwalolote, ikiwa ni kubeba kiasi cha shilingi milioni saba, akijuwa pengine Suzana alikuwa nashida ya fedha, waliendelea kupiga pombe, muda wote binti huyu Wajana, aliakikisha anaegesha mkono wake juu ya mapaja ya mzee Mashaka, nakuchezea dudu ikiwa ndani ya suluali, ilikuakikisha ina simama, nakweli akaishuhudia ikisimama, hapo kazi ikamwa moja tu! kuzidi kumkoleza na kuakikisha mambo hayaharibiki kama jana, walikaa hapo kwamuda mrefu wakinywa pombe, ndipo mzee Mashaka alipo pokea sms toka kwa Suzana akimkumbusha kuwa anamwitaji mchana ule, hapo mzee Mashaka akamwambia binti Wajana, amsindikize mala moja kibamba kunamtu anataka akamwone, safari ikaanza, nusu saa baadae nissan safari lilikuwa limesha simama nje ya nyumba ya Suzana mahips namzee Mashaka yupo ndani ya nyumba hiyo, ni baada ya kumwacha binti wajana kwenye bar moja ya jilani, akimwambia amsubiri kidogo, huku ndani ya nyumba ya Suzana, suzana alikuwa amejilaza kwenye kochi huku kiguochake kifupi kikihacha wazi sehemu kubwa ya mapaja ya Suzana, ni baada yakumaliza kupika, na kuandaa chakula mezani, tayari kula na mzee mashaka, lakini mambo hayakuwa mazuri, licha ya Suzana kuonyesha dalilizote zakuitaji dudu, lakini mzee Mashaka hakuwaonyesha kuitaji kitumbua kwa muda huo, huku akijifanya ana araka sana, alimsogelea Suzana ambae alikuwa amelala juu ya kochi huku kile kinguo chake cha mtego, kikihacha mautamu njenje, “niambie mama, una shida gani?” aliuliza mzee Mashaka, akiwa bado amesimama, karibu na kochi alilo lala Suzana, “baba si ukae kwanza baba” aliongea Suzana, akimshika suluali mzee Mashaka na kumvutia kwake, “hapana mama, hujuwe nime mwacha mzee Haule ananisubiri, wacha nikamalizane nae,” aliongea mzee Mashaka, huku akijitoa kwa Suzana, kasha akafungua mkoba wake wa mkononi, (begi) akatowa maburungutu saba ya noti za 

elfu kumi kumi, nakuweka kwenye meza, kisha akamwambia Suzana "najuwa hauna tabia yakuniomba fedha, atakama unashida, ebu chukuwa hii itakusaidia, mimi nawai maana mzee Haule ananingoja" aliongea mzee Mashaka huku akijiandaa kuondoka "asante baby" aliitikia Suzana akijifanya kutabasamu, wakati moyoni alichukia sana, hapo Suzana aliinuka na kusindikiza mzee wake ambapo aliishia mlangoni akimsindikiza kwa macho, mpaka mzee Mashaka alipoondoka na gari lake, suzana akarudi kwenye kochi na kujilaza, huku roho ikimuuma sana, lakini dakika chache baadae akasikia hodi, mlango uligongwa na sauti ya kiume ikiita, “hoodiii” akaisikiliza kwa makini ikaita tena akaigunduwa kuwa ni ya Edgar, mpangaji wake mpya, akainuka araka nakuufwata mlango nakuufungua, nikweli alikuwa Edgar, licha ya kuonyesha kuwa kijana huyu alikuwa amechoka na uo husio na Amani, lakini alipo shusha machoyake chini kwenye suluali yajinsi usawa wa zip, suzan alishuhudia, alama ya mtuno ikionyesha sehemu ambayo dudu imelala, hapo Suzana alijikuta akiuma midomo ya chini, “karibu ndani, nani vileeee

Macho ya bwana mdogo Edgar yali tuwa kwenye, kinguo cha mwenye nyumba, duuu hapo kiukweli hali ilikuwa ngumu Zaidi, kwani huko alikotoka, alikutana na mambo makubwa Zaidi, yaliyo mwacha akitemba njia nzima dudu imesimama, unajuwa kwanini?, ilikuwa hivi, baada ya kumpa kichapo yule mwendesha pikipiki, hakiwa haja mwona mama mwenye nyumba wake, alighaili swala la kwenda kunywa chai, akaludi chuoni, moja kwamoja, darasani, ambako kulikuwa wazi kabisa maana wanafunzi wengi, walikuwa wameenda kupata chakula cha mchana, akajaribu kutowa kitabu chake nakujisomea, lakini haikuwa lahisi hivyo, maana mambo yalimchanganya sana kwanza tukio lakupiga mtu, pia maneno ya dada yake kwenyesimu, akabaki amekaa hasijuwe lakufanya,mpaka alipo stuliwa na mwanafunzi mwenzake, “hoya bro njoo tucheki vitu, nimekuja na vitu vipya” kwanza Edgar alijuwa amefanishwa, au kuna mwingine ameongezeka mle ndani, lakini alipomwona mwanafunzi mmoja akiwa amebeba computer mpakato, akikaa karibu yake, alipo mtazama usoni akamkumbuka kuwa ni kati ya wale wavulana wawili, walio kuwa wana angalia video ya ngono, jana usiku, hapo akajiunga na yule mwenzie, ambae alikuwa anaiwasha ile computer, “ hivi bro we nimgeni hapa chuo?” aliuliza yule mwanafunzi huku aki anza kufungua mafaili, “ndiyo, nina week moja tu!” “ok! karibu sana mwanangu, kuna mademu bomba kinoma, sema wanapenda sana mkwanja” waliongea mawili matatu, wakati wakianza kuangalia video moja ya ngono, ambapo leo Edgar aliweza kuona vizuri na kwa umakini sana, kitendo baada ya kitendo, baada ya dakika chache waliongezeka wanafunzi wengine wawili mmoja wao akiwa ni mwanamke, lakini siyo mrembo sana, kama wale wajana, baada yakutazama kwamuda kidogo, akaona hali inazidi kuwa ngumu, akaona bora hajitoe kwenye mapigano, akaondoka kimya kimya, nakukamata njia yakurudi nyumbani, wakati anapita kwenye bar moja, akalion lile gari, lililo mchafua jana usiku, aliona akishuka binti mmoja wakawaida alie pauka kwamkologo, akiwa amevaa nguo za kiasala asala, nakwenda kukaa kwenyeile bar, nakuagiza bia ,huku lile gari likitimua mbio, kuelekea upande wanao kaa wao, “kumbe nikawaida yake ku kimbia ovyo, wakati akiendelea kutembea taratibu, ile video ilikuwa ikijiludia kichwani mwake, nakusababisha muhogo kututumka kwa hasira, kihasi cha kujikuta akitamani kufanya majaribio, kwa binti Nancy, ambae alikuwa amejipendekeza mwenyewe, lakini atapata wapi fedha ya kumtowa dinner binti huyo?, wakati akiwa kazama kwenye ukumbi wamaswali bila majibu, ghafla alistuka lile gari Nissan, lililomkosa jana usiku na kumwagia maji machafu, likija kwa kasi sana, akalipisha kwaalaka sana, japo aliambulia vumbi la maana, “dah! Huyu jamaa, nimshenzi kweli” aliajisemea Edgar, nakuendelea na safari yake, dakika chache akawa amfika nyumbani, akaliona gari lamama mwenyenyumba, likiwa limepaki pale nje, akajuwa atakuwa ameludi , alicho fanya akaingia chumbani kwake akachukuwa fedha, kiasi cha elfu sitini, kodi ya miezi mitatu, akaziweka mfukoni, kasha akatoka na kuelekea kwenye mlango wa nyumba kubwa, ya mama mwenye nyumba, nakugonga hodi, ndipo alipo shuhudia mlango ukifunguliwa, akatokea Suzana, akiwa amevalia kigauni chepesi kifupi, hapo kiukweli mambo yali halibika upya na kuamsha dude, “Eddy… naitwa Edgar” aligutuka Edgar kwambaalikuwa ameulizwa jina, “hooo! Kweli lilinitoka kidogo! Mimi nitakuita Eddy, karibu ndani” hapo Suzan akatazama tena, suluali ya Edgar,kwenye zip, duu! Akaiona dudu bado ikiwa imetuna , hapo kajikuta anasisimka kidogo, nakupatwa na kitu chahajabu, kama shot ya umeme ikitembea kuanzia kwenye mbavu mpaka kiunoni mwake,

Kwa mwendelezo Wasiliana na MWANDISHI katika Whatsapp 

kslprojects

kslprojectstz@gmail.com Entrepreneurship Power

Post a Comment

Previous Post Next Post