( 1——5 )
🔞MKE WA MGANGA 01
🆎©️ 🔤
Niliteswa sana na maisha baada ya kufiwa na wazazi wangu wote waliokuwa wamefariki katika ajali ile ya MV Spice miaka saba iliyopita, nilichanganyikiwa maana nilibaki nyumbani peke yangu kwa sababu nilikuwa mtoto pekee wa kiume na dada zangu wanne walikuwa wote wameshaolewa na wanaziendesha familia zao
Nilijaribu kumpigia simu dada yangu mmoja ambaye kidogo alikuwa anajiweza nikamuomba mtaji wa shilingi laki mbili nikaanzisha biashara ya kuuza mitumba katika mji wetu mdogo wa Igunga kwa majina naitwa Festo Hamisi.
Baada yaa kuingia katika biashara ya mitumba niliweza kuifanya ndani ya miezi mitatu ikafa ile biashara, kwa sababu nahisi nilikuwa natumia pesa vibaya sana, nilikuwa na mademu wa kutosha katika mtaa wetu wote wakiniita handsome boy na kweli nakubali mimi ni handsome boy lakini nilikuwa sina akili ya maisha kabisa
Dada yangu aliyenipa mtaji alinifokea sana halafu akaamua kunipa tena laki mbili ili nifufue mtaji, lakini aliniambia kwamba nitakuja kumlipa baadaye kwani alikuwa anaamini biashara ile inalipa na uzembe wangu tu ndio unafanya mimi ninaacha kufanikiwa kimaisha
Hata hivyo niliichukua ile pesa nikarudi sokoni lakini hata haikuisha wiki mbili nililetewa kesi ya kutembea na mke wa mtu na nyingine ya kufumaniwa na mwanafunzi, ilibidi nihonge pesa zote ili tu niweze kuyahendo hayo matatizo lakini haikutosha, ya mwanafunzi ilikuwa ni ngumu mpaka ikapelekea mimi kuuza kiwanja nilichoachiwa na baba kwa sh milioni tatu
Dada yangu alinifokea sana akisema nifanye juu chini niweze kurudisha hicho kiwanja la sivyo atanifanyia kitu kibaya,
Stress za maisha zilianzia hapo ndipo nilipoenda kwa mtu mmoja tajiri sana aliyekuwa anafahamika kwa jina la Atanas Mushi, alikuwa ni mchaga mwenye biashara za kutosha hapo Igunga sasa nilitaka akaniajiri
“Mangi ee” nilimuita baada ya kumkuta akinywa bia sehemu fulani
“Niambie kijana angu” aliongea kwa lafudhi fulani hivi ya kichaga kabisa
“asee broo life limetaiti sana naomba unisevu hata kibarua basi “
“hahahaa tutaongea, hivi una namba yangu?” aliniuliza Mushi
“Hapana sina broo”
“chukua sasa” alisema kwa mkato na kuitoa simu yake mfukoni akapokea, ila sikuelewa alichokuwa anazungumza maana kilikuwa ni kichaga fulu
Hata hivyo baada ya kumaliza kuongea alinipatia namba yake ya simu nikambipu naye akapata ya kwangu ndipo nikaondoka***
Baada ya wiki moja Mangi alinipigia simu alikuwa anataka mtu wa kwenda kusimamia biashara zake mjini, akaniambia niende lakini ningefanya kwa mwezi mmoja tu niache, mimi sikujali ilimradi ananilipa vizuri, onyo aliyonipa ni onyo pekee kwamba nisiibe chochote kwake ndio tutaelewana
Kwa kweli kutokana na matatizo niliyokuwa nayo niligeuka mtiifu ndani ya mwezi mzima,
Siku moja niliamua kumuuliza mangi ni namna gani anavyofanya mpaka anaweza kuwa na mafanikio makubwa kwenye biashara kiasi kile, mangi alicheka sana sana sana, nikajiuliza tatizo nini
“Ndugu yangu kwani na wewe unataka kuwa kama mimi?” aliniuliza huku akicheka
“Sana broo nieleweshe mimi nitafanya chochote”
“Broo kuna mtaalamu kashikia hizi biashara sio bure hivi hivi, hii ni siri usimwambie mtu, sikiliza, kama utakuwa tayari mimi nitakupeleka kwa huyo mtaalam na ndani ya miezi mitatu tu utakuwa ok”
“mmmh kumbe unatumia mtaalam” niliuliza
“Sikiliza bwashee, unawaona matajiri wakubwa kama kina Bakhresa, Mengi, Manji na kadhalika, yaani wote wale wanatumia utaalamu wa hali ya juu, bila utaalam nina imani kwamba ungekuta washakufa wewe, unacheza na duniaa nini” aliniambia ikabidi nicheke sana sana nilikuwa nacheka ile lafudhi yake ya kichaga kabisa
“usicheke bwanamdogo, sikiliza wewe kama kweli upo tayari mimi ninakupeleka sio mbali hata na wala hamna kafara yoyo”
“yoyote” nilimalizia sentensi
“Aya mimi nikalale eti “aliniambia Mangi
Siku zilizidi kusogea nikasema kwamba haya maisha mbona yanakuwa magumu zaidi, maana nilikuwa nishatoka kwa Mangi tayari, hivyo basi nilijikuta nazidiwa nguvu na ushawishi ukitaka mimi niweze kwenda kwa mganga kwa ajili ya kwenda kutafuta hizo pesa za haraka haraka, nilichukua simu yangu na kumbip mangi maana nilikuwa sina sms wal dakika
Mangi hakupiga, mpaka nkaamua kuinuka na kwenda moja kwa moja hadi katika ofisi yake nikamtazama usoni
“Asee broo”
“niambie”
“Kwa hili life mzee……twende tu unipeleke”
“Umeonaee” aliniambia huku akinyoosha mkono na kuangalia saa
“Ndio broo”
“NItafute saa nne usiku”
***
Ikiwa ni saa nne usiku nilitoka nyumbani na kufunga mlango vizuri nikawahi kwenda moja kwa moja hadi kwa mangi ili nikamuone, nilikuta pia naye amejiandaa vyema na alikuwa ameshavaa hadi kote
Safari ilianza na pikipiki halafu baadaye tukashuka na kuanza kutembea kwa miguu katikati ya msitu, kelele mbalimbali zilisikika zikiwa ni za wadudu na wanyama wasiolala usiku, tulitembea maeneo ya kutisha huku nikiogopa sana eneo lile
“Usiogope, mchumia juani hulia kivuli?”
“kivulini” niliongea kwa uoga zaidi baada ya kusikia sauti ya bundi akilia juu ya mti nikajua hapa mpaka bundi kalia, basi ujue kwamba mimi maisha yangu yameshafika katika tamati kuu
Tulizidi kutembea safari ilikuwa ni ndefu sana, mara nikasikia lindege limenivamia na kunibeba mzima mzima, nilijitahidi kupiga kelele lakini sauti ilikuwa haitoki, nilibebwa kama Kifaranga abebwavyo na Mwewe nikaogopa hadi nikapoteza fahamu
Baada ya dakika kadhaa nilishtuka nikajikuta nimezungukwa na watu watano, nikashtuka kwanza
“Shikamoo” niliongea kwa uoga” huku nikiwatazama wale watu waliokuwa wamevaa nguo nyekundu wote, huku nyuso zao wakifunika kwa vitambaa vyeusi hivyo sikuweza kuviona lakini sauti ilitoka na ilikuwa ya mtu wa makamo kidogo
“hahahaa……tulijua una nia mbaya kuzunguka katika misitu hii ya Miombo” alisema mtu huyo “lakini tumeishukuru mizimu imeweza kutuonyesha kuwa wewe sio mtu mbaya” alizidi kusema mimi nikawa nimetulia huku ninatetemeka
“Festo abdul” ilitoka sauti ya kike nyororo kabisa nikageuza macho na kumtazama anayeongea “Karibu kwa Mganga Kamlenga, tafadhali ukiulizwa kitu chochote utajibu tawire” aliniambia
“hiiiii” nilijikuta naanza kulia baada tu ya kukumbuka kwamba niliyekuwa nimefuatana naye hakuwepo pale “Nilikuja katika msitu huu nikiwa na mtu lakini sijui kama ni mzima”
“Ahhaahahaaaa…..alishafika nyumbani”
“tawire” nilitamka mimi
Nilishangaa mwanga umenipiga usoni na wale watu wanne waliinuka na kunizunguka huku wakiimba nyimbo za ajabu ajabu, wote walikuwa ni wanawake isipokuwa yule mmoja aliyebaki akiwa ameketi, walinizunguka zaidi ya dakika tano, halafu wakakimbia na kuishia ndani ya msitu mimi nikabaki na mtu yule mwanaume tu
Yule mwanaume alifunua uso wake na kuvuta pumzi ndefu “Akontatawireee ambrirrrr” alitamka na kutikisa kichwa chake, kisha akanitazama usoni
“Mimi ndiye mganga mkuu, hao waliokuwa hapo wote ni wake zangu, wao ndio waliokuleta….ahaahaaaa kijana akontatawire akontatawire” alisema mzee yule na kucheka nikaona meno yake yamepungua kidogo mdomoni na kubaki machache nafikiri ni kwa sababu ya uzee
“Kijanaaa”
“Tawireee”
“Ninajua shida yako kubwa ni utajiri” aliniambia mzee yule
“Ndio umeyajua vipi hayo mganga?” niliongea kwa mshtuko
“ahahaaaa, kila mtu ninaweza kutambua shida yake, hivyo basi wewe nimeshajua kwamba una shida hiyo”
“Tawire”
“Sasa sikiliza, nilipoangalia katika nyota wewe hauna wazazi wala mke wala mtoto, wa kutoa kafara….hahahaa” alisema nikashtuka “lakini sasa ninataka nikupe utajiri mkubwa kwa masharti makuu mawili hahahaa”
“Tawire mganga”
“Sharti la kwanza, ni kwamba huruhusiwi kuoa hahahaa”
“Tawire mganga”
“La pili ni kwamba hauruhusiwi kuzaa mtoto hahaaa” aliniambia ikabidi nikubaliane maana nilikuwa na shida, kichwani mwangu nilipanga kabisa nitatumia kwa miaka kadhaa halafu nitaachana na uchawi
“sasa ukifanya hivyo, ukavunja masharti basiiii utajiri wako utapukutika na utakufa haraka sana hahahaa” alisema mganga na kuinuka halafu akavua mkufu wake wa shanga aliovaa shingoni halafu akanikabidhi “Kila mara unatakiwa uuvae shingoni, ukiuvua basi haitasaidia aaaanbrrr” alisema na kupotea yule mganga.
Niliogopa maana mianga yote ilizima nikabaki mwenyewe kwenye giza, nikapiga keleele “Mamaaa” ghafla nikajikuta niko kitandani mwangu, ni kama vile nilikuwa naota
Nilinuka na kuketi kitandani lakini nilipotazama mkononi nilikuwa nimeshikilia mkufu alionipa yule mganga “mh hii mbona ilikuwa kweli jamani?” nilijiuliza na kutoka nje kumeshakucha tayari
Ule mkufu sikuuvaa, niliuweka mfukoni nikatembea hadi dukani kwa mangi ili nikamuulize kama ni kweli au ni ndoto.
Nilitembea haraka haraka nikiwa nawahi kufika, ndipo njiani nilipokutana na mtoto mmoja mzuri sana akiwa amevaa taiti tu iliyomshika vizuri mapaja yake, “HI” alinisalimia huku akitoa tabasamu nikafanikiwa kuona mwanya kwenye meno yake
“Hi, mambo” nilimsalimia halafu nikapita lakini alinishika mkono
“Vipi sister” nilimuuliza kwa mshangao huku nikiutoa mkono wangu aliokuwa ameushika
“Usiogope, mimi ni mke wa mganga, jana usiku nilikuona umekuja pale kwa mganga nikasema kwamba nitakufuata mpaka huku” alisema na kunikagua katika kifua changu halafu akatoa mkono “Hongera, usiuvae ule mkufu kwani ni kiapo kibaya sana utateseka maisha yako yote, ona jinsi ulivyo mkaka handsome halafu unatafuta hela za kichawi usiwe hivyo mkufu inabidi uutupe usiuvae” aliniambia nikaogopa
“Wewe ni mke wa mganga?” nilimuuliza kwa mshangao maana alikuwa ni bonge la pisi, halafu alikuwa ameumbika
“Ndio kwani sifananii jamani?” aliniuliza
“ndio, hufananii hata kidogo”
“Ok bye, mi ninaondoka, nitarudi kwa muda mwingine, ila zingatia nilichokuambia”
Alianza kutembea na kuondoka huku sehemu zake za nyuma akizizungusha mimi nikabaki nnamezea mate tu……ASEEE🔞MKE WA MGANGA 2
Mtunzi Agen Bells
Nilibaki nikitafakari kwanini ameniambia kwamba niache kuvaa ule mkufu, niliutoa mfukoni nikautazama kwa muda mrefu lakini nikaurudisha mfukoni
Kichwani mwangu nilijua kuwa ameniambia vile labda katumwa na mganga ili kunipima kama nitaweza kutii masharti, nilirudi nyumbani sikutaka kuendelea kwenda kumuona Mangi, hata hivy akilini mwangu bado niliendelea kuteseka maana nilitaka kuwa tajiri
Nilijilaza kitandani kwa muda murefu mchana maana nilikuwa na njaa ambayo sio ya nchi hii, hivyo basi nilitoka nikaenda hadi kwa mshikaji wangu mmoja aliyekuwa anafahamika kwa jina la Linus halafu nikakaa pale huku nikiwaza namna ya kudusia nipate msosi
Kweli yule jamaa angu alikuwa amesonga ugali na dagaa, nilikula kidogo halafu nikaondoka na kurudi nyumbani kwangu
“Hivi kwanini nisioteshe hata mboga zangu hapa nyumbani?” nilijiuliza “mh subiri”
Maisha kiukweli yalikuwa magumu na yalitosha kunishawishi mimi kuweza kutaka kuuvaa ule mkufu lakini niliogopa sana, nikawaza kwamba kama mke wa mganga ameniambia kwamba mimi nikivaa nakuwa mtumwa, ndipo nilisita kidogo na kuendelea kukaa kitandani
Jioni ilipofika mida ya saa moja hivi niliuchukua ule mkufu nikautazama, ulikuwa unang’aa sana, nikasema liwalo na liwe ninauvaa, ile nauelekeza shingoni hivi nikasikia sauti kwamba kuna mtu anapiga hodi nje ya nyumba
“Karibu” Nilisema na kuuweka mkufu pembeni kitandani halafu nikainuka na kuelekea mlangoni kuchungulia,
Sikuweza kumjua vizuri kwani kulikuwa na giza, hivyo nikapiga hatua muhimu na kuondoka nikaenda moja kwa moja hadi karibu yake, nikakuta ni yule msichana ambaye aliniambia kwamba yeye ni mke wa mganga
“Festo” Ilitoka sauti kutoka kwake
“Nambie”
“Nimetoroka kule msituni, kuna kikao tunakutazama kwenye kioo maalumu cha kuangalia watu ambao ni wateja wa mume wangu, lakini sikiliza nimetazama kwa makini roho yako inaonekana kwamba inataka kuvaa mkufu ule niliokukataza”
“Samahani dada, wewe unaitwa nani”
“Naitwa Zuhura” Aliniambia mimi nikatikisa kichwa kisha akaendelea “Mimi ni Mbulu kutokea huko karatu”
“Ok sawa, Zuhura, mimi nafikiri maisha ni magumu kwangu, sina njia nyingine zaidi ya hii kwani naona ndio njia pekee ya kupata pesa”
“hata ukizipata pesa hizi kamwe hautakuwa na furaha, sikiliza Festo, fanya kazi nyingine” alisema na kunishika mkono kisha akanivuta mkono “Twende nikakuonyeshe kitu”
“Kitu gani? Ngoja nifunge mlango” nilimuambia kisha nikautoa mkono kwake then nikarudi na kuufunga mlango “Lakini Zuu, unafikiri kwamba hawatuoni tukiwa pamoja hivi?” nilimuuliza
“Mkufu wako umeuacha ndani najua, hivyo hawataweza kutuona”
“Ok sawa”
Tuliondoka pale tukiwa pamoja tunatembea, lakini moyoni niliogopa sana maana sikujua kwamba zuhura ananipeleka wapi, tulizidi kutembea
Tulifika katika nyumba ya mangi yule Atanas Mushi kisha tukasimama nyuma ya dirisha lake “Festo” Zuhura aliniita
“Naam”
“mimi ninaondoka kwani kule watanitafuta,” alisema na kunishika kichwani “ithe kuthe nkugure tho kutire lololio fo” alitamka maneno hayo ya ajabu halafu akaniachia “Hapa akija mtu yeyote hatokuona, hivyo kaa hapa utakachokiona utakuja kuniambia asubuhi nikija” aliniambia yule msichana na kuondoka zake
Nilitulia pale mpaka ikafika mida ya saa tano usiku, nilikuwa na njaa hatari lakini nilitulia nione kwamba ni kitu gani alichoniambia, ghafla nilisikia mlango wa chumba kile umefunguliwa, mi nikachungulia ndani nilikuwa sioni kitu, ila nikasikia sauti za ajabu ajabu za wanyama wa kutisha halafu pia nikaona mwanga mwekundu umewaka katika chumba kile halafu nikamuona Mangi akiwa amelazwa kitandani, halafu yuko uchi na pembeni kazungukwa na viumbe vya kutisha huku vikicheka cheka
Vilianza kumchezea katika mwili wake, halafu vikampiga mijeledi ya kutosha, hadi nikaogopa, mwishoni niliona vimeanza kumuingilia kinyume na maumbile viumbe vile, lakini yeye alikuwa anapiga kelele za maumivu makali aliyokuwa akiyapata
Niliogopa sana, ndipo nikaamua kuondoka na kukimbia hadi nikafika nyumbani kwangu, nikajirusha kitandani, nilipougusa ule mkufu niliogopa zaidi kwa sababu nilihisi na mimi nikiuvaa yatanitokea hay ohayo
Hili suala lilipelekea mimi kuuchukua ule mkufu taratibu na kwenda kuutupa chooni halafu nikarudi ndani na kulala kabisa huku nikiota ndoto za ajabu na za kutisha
Asubuhi na mapema niliamka nikiwa na njaa kali, nikawaza itakuwaje maana siku hata na shilingi mia mfukoni mwangu, hali iliyosababisha niamke niende kwa mama muuza chakula mmoja ili kama atanipatia chochote cha kula nifurahi
“Shikamoo mama” nilisalimia lakini nilishangaa mama yule hana time na mimi wala haniangalii, nilijua fika kwamba ni dharau kisa mimi sina pesa
“Mama Jerry shikamoo” nilisalimia zaidi lakini hata kunigeukia hakugeuka, nikapata na hasira nikamsogelea nimguse lakini kila nilipojaribu kumgusa nikashangaa nashindwa, hapo ndipo nilipopata jibu kwamba kumbe tangu jana yule mke wa mganga aliponiambia maneno yale ya kilugha mimi nilipotea kabisa na hakuna mtu wa kuniona
Nilisogea kwenye chapati nikaamua kujaribu kuishika nikaona inashikika, nikaivuta na kuanza kuila, moyoni nilikuwa sijiamini kabisa kwani nilihisi kwamba ni utani kiukweli. Niliita tena ili kuthibitisha “Mama Jerry nitapata chai?” niliuliza lakini akaendelea na mishe zake halafu akatoa chapati kwenye chombo cha kukaangia akaziweka kwenye hotpot halafu mim nikasogelea na kuchukua nyingine
Nilipoona hanishtukii kabisa nilichukua zote halafu nikaondoka, hata sikufika mbali nikasikia kelele za kutosha akiwa anawafokea wateja waliokuwa pale, mimi nilifurahi maana zilikuwa chapati kama kumi na moja hivi nikaajua hapa ntakula hata mpaka kesho yake.
Nilitembea mpaka nyumban kwangu, na nilipofika nyumbani nilikut nilimkuta Zuhura akiwa ameketi pale nje ya nyumba akashtuka sana “Festo” aliniita na kuinuka
“Kumbe wewe unaniona” niliongea
“Ntaachaje sasa, ina maana umeenda kuiba chapati?” aliniuliza
“Sasa nifanyeje mimi sina hela rafiki yangu” aliniambia
“Masikini pole sana, naomba ufungue mlango ili nikutoe huo ukivuli uwe mtu kawaida bwana” aliniambia, mimi nikafungua mlango na kuingia na chapati zangu nilipofika ndani nikaziweka kwenye sahani naye akaja akasimama mbele yangu halafu akaanza kuninenea maneno mengine ya kiajabu ajabu ndipo niliposikia maumivu yaa ajabu kama dakika nzima hivi yakatulia nikawa mtu kawaida
“Ina maana na wewe ni mchawi?” nilimuuliza
“Hapana mimi sio mchawi festo” alinijibu mimi nikaketi kitandani naye akafuata kuketi pembeni yangu
“Sasa kama wewe sio mchawi umewezaje kunifanyia mambo haya mimi?” niliuliza
“Mtu yeyote akiweza kukariri maneno haya basi lazima ataweza kufanya vitu hivi”
“Wow inabidi unifundishe na mimi niwe natoweka bwana nitainjoy sana, si unaona nimeshiba”
“ahahaa nitakusaidia, but jana umeona kitu gani?” aliniuliza
“daaah, jamani jamani jamani, hata siamini kama ndo hivyo kweli, kumbe vitu kama vile ndo anafanyiwaga mangi?” niliuliza
“ndio maana niliamua nikusaidie Festo” aliongea kwa sauti nyororo yenye kujaa huruma halafu akanisogelea na kuniwekea mkono mabegani akanitazama kwa ukaribu nikajikuta naogopa “Unajua festo wewe ni handsome na hautakiwi kupitia mateso kama hayo eti, wewe unatakiwa kuwa na maisha mazuri ya amani sio uchezewe na viumbe vya ajabu ajabu” aliniambia
“Mmmh Zuhura” nilijikuta naguna tu, nikashangaa Zuhura ameinuka na kunikalia katika mapaja nikampakata “weee” niliongea kwa uoga maana nilikuwa namuogopa mke wa mganga eti
“Jamani kama vile nimeukalia ujue” alinitania halafu akajisugua sugua kidogo kwenye uume wangu, mara nao usivyokuwa na uoga ukaanza kusimama nikaona amefumba macho yake kwa hisia
“Acha mambo yako, najua amekutuma mganga uje unifanyie haya mambo ili nisiwe tajiri”
“mmmh kweli hapana” Zuhura aliongea nikaona amenisukuma kifua nikalala taratiibu kitandani naye akaja juu yangu akaanza kuninyonya mate huku akitikisa tikisa kalio lake nene hali iliyonifanya nikasikia raha zaidi
Niliutoa ulimi wangu nikamtazama “Unataka nife?” nilimuuliza
“Hapana Festo, hata sijui kwanini nafanya hivi, ila nimemiss hii kitu halafu la kwako nahisi ni kubwa maana linanitekenya eti” aliniambia kwa hisia na kunilalia kifuani huku akiendelea kutikitisa kalio lake mimi nikajikuta nachanganyikiwa zaidi kwa sababu alikuwa mzuri
“mmmh mganga ana chombo anafaidi sana eti” nilimuambia nikaona amezidi kunisogezea mdomo mi nikaupokea halafu nikaanza kumpapasa makalio, ghalfa kwenye bati nikasikia paaaaah mara tatu, wote tukashtuka na kuachiana, halafu mlango ukagongwa kwa nguvu na kwa fujo………..ITAENDELEA🔞MKE WA MGANGA 03
Mtunzi Agen Bells
“mmmh mganga ana chombo anafaidi sana eti” nilimuambia nikaona amezidi kunisogezea mdomo mi nikaupokea halafu nikaanza kumpapasa makalio, ghalfa kwenye bati nikasikia paaaaah mara tatu, wote tukashtuka na kuachiana, halafu mlango ukagongwa kwa nguvu na kwa fujo
Akilini mwangu nilijua kwamba ni mganga maana nilikuwa sijiamini kabisa, “Zuu, jifiche” nilimuambia Zuhura
“mmmmh kwani ni nani?” aliniuliza mimi
“Hawezi kuwa mume wako kweli?” niliuliza
“Weee, aje kiurahisi hivyo? Yule akija hapa, mtaa wote unakaa” aliniambia nikasema kwa kweli anajaimini
“Nani wewe?” nilimuuliza huyo aliyekuwa anagonga mlango
“Mimi Baba Fetina, fungua mlango tucheze dili” aliniambia huyo mtu na mimi nikajikuta nimecheka na kutoka nje nikamuangalia
“Daaah umenishtua man” niliongea maana nilikuja kushtuka kwamba ni fundi bomba ambaye nilikuwa nimemuomba kazi kwa muda mrefu ili niwe msaidizi wake hivyo ndivyo alivyokuwa
“hahaa, sikiliza mzee achana na story nyingi embu twende tukapige shughuli, baadaye si utaondoka na kazi elfu nane yako sio mbaya” aliniambia mimi nikashtuka kwanza
“Broo niko na mgeni”
“Ok powa” Ba Fetina alisema na kutaka kuondoka lakini Zuhura alikuja hadi mlangoni
“Mambo baba Fetina” alimsalimia
“Powa Upo huku?” aliuliza kwa mshangao ba Fetina
“Ndio” Zuu alisema na kunigeukia “Wee Festo nenda kapige kazi, mimi nitakuja kwa muda mwingine”
Zuhura aliponiambia vile niligundua kuwa ni mwanamke wa kipekee sana, na hakutaka mimi niishi bila kuwa na pesa, hivyo basi, nilishtuka na kwenda moja kw moja nikiwa na Baba Fetina kwa ajili ya kuweza kwenda kufanya kazi eneo fulani
“Festo haupo serious” Ba Fetina aliniambia
“Kwanini broo?” nilimuuliza
“Unajua huyo ni mke wa nani?” nilimuuliza kwa mshangao lakini kiukweli ni kwamba nilikuwa najua kwamba yule mwanamke ni wa mganga Kamulenga
“Utakuja kufa wewe” aliniambia
“Nife kwani yule ni mke wa mtu?” nilimuuliza
“Hahaha, yule ni mkee wa mganga mkuu katika misito ya Miombo mzee utakuja kufa wewe, usimuone kapendeza vile yule ni mke wa mtu mbaya sana” alinionya yule broo mpaka nikaanza kujuta lakini mimi nilikuwa sijafanya chochote na Zuhura
“Daaah, sijafanya naye chochote broo, hivyo nitajitahidi tuachane”
“Yaah, boy mbona mademu wapo kibao, ila mke wa mtu ni sumu, halafu mbaya zaidi sio mke wa mtu wa kawaida ni mke wa mganga”
Tulifika katika eneo la kazi, ilikuwa ni shule ya msingi, tulitakiwa kwenda kufunga mabomba ambayo yalikuwa yanatakiwa kuhamishwa, hivyo tulifanya kazi pale kwa muda wa masaa matatu tu halafu tukaondoka huku mfukoni nikiwa nimeshikilia shilingi elfu nane yangu ya fasta bila hata kuumia na kutumia nguvu
Nilienda hadi katika shamba la mzee mmoja ambaye alikuwa akiotesha Mboga mboga nkamwambia aniuzie miche ya michicha nikanunua ya 3000 ambayo ilikuwa miche 120 halafu nikarudi nyumbani nkachukua jembe lang na kuanza kulima sehemu ndogo ya kuotesha miche hiyo
Kwa sababu nyumbani kulikuwa na bomba, haikunisumbua katika suala zima la kunyeshea eneo lile, hivyo nilichukua ndo kama 20 kubwa halafu nikanyesha eneo lile na kuhakikisha pamelowa vilivyo ndipo nikaotesh mboga zangu.
Ilipofika mida ya saa moja jioni niliondoka na elfu mbili mfukoni nikasema niende kwa mama ntilie mmoja kwa ajili ya kula, lakini nilipata wazo la haraka haraka ya kwamba kwanini nisitafute tu unga na dagaa niende nikapike mwenyewe kwenye jiko la kuni huko nyumbani.
Ah niliamua kutembea nikaenda katika duka moja ambalo lilikuwa karibu sana na lile la mangi, sikutamani kwenda kwake kwa sababu nilipata kinyaa kutokana na mambo niliyokuwa nimeona akifanyiwa usiku na viumbe vile vya kishetani
“oya festo ee” Mangi aliniita baada ya kuniona
“Ee kaka, nakuja hapo” nilimjibu halafu nikamuambia muuza duka anipimia unga nusu halafu nikaenda kwanza mangi huku unga ukiendelea kupimwa
Nilipofika kwa mangi, aliniangalia sana usoni halafu akatabasamu, nafikiri alikuwa ananipima kisaikolojia kujua kuwa nilifanikiwa kule kwa mganga
“Broo kwema?” nilimsalimia
“Kwema, umepotea sana mdogo wangu” aliniambia nikatulia nikifikria cha kumuambia
“Hamna nipo broo sema tu mambo yamekuwa mengi”
“Ok vp kule ulifanikiwa?” aliniuliza nikamtazama sana halafu akacheka
“Ndio nilifanikiwa ndugu yangu” nilimuambia
“kwa hiyo sa hivi mambo ni barabara kabisa, hongera kijana wangu” alisema mangi nikatikisa kichwa huku nikimhurumia kwa yale mateso aliyokuwa akiyapata kila siku ili tu awe tajiri
“broo kuna mtu kaniagiza hapo dukani ngoja nimuwahishe” nilimuambia
“Sawa, ila kesho nitafute tuongee”
“Sawa kaka”
Niliondoka nikaenda pale dukani nikachukua unga wangu nikapewa chenji halafu nikaondoka na kwenda kibandani nikanunua vitu vingine kwa ajili ya matumizi ya kupika
Nilirudi nyumbani nikatafuta kuni nikakoka moto halafu nikaweka maji jikoni yakiendelea kuwa sawa, na mimi nilikwa nazichambua zile dagaa ziweze kuwa kitu mwake mwake, ghafla nilisikia kama mtu anakuja akikimbia kule nyumbani halafu nilipoinua macho kutazama niliona ameenda speed na kuingia moja kwamoja hadi katika nyumba yangu ya kulala
Nilishtuka nikawahi kwanza mlangoni, huku nikiwa na uoga wa hali ya juu nikasimama pale na kuokota ukuni “Wewe nani?” nilimuita yeye akiwa ndani
“Mimi Zuhura jamani” aliniambia huku sauti ikiwa kama vile haitoki kwa sababu ya huzuni au kulia
“Zuhura?” nilimuuliza tena
“Ndio”
“sasa mbona uko mbio mbio sana, embu toka nje bwana” nilisema kwa uoga maana bado sikuamini kama ni yeye kweli
Baada ya sekunde kumi alitoka akiwa anafuta machozi halafu akanikumbatia kwa nguvu “Vipi tena Zuhura”
“hahaha…..kumbe muoga sana jamani, nimekuja kukutishia kidogo”
“sasa kwanini unakuja mara kwa mara kwangu Zuhura unajua nakosa amani?” nilimuambia huku nikitetemeka kwa uoga
“Mmmh usiogope bwana, mimi ninakulinda mashetani yasikuandame kama yule mwenzako, hivyo nimekuja kukutazama kwanza kama uko pow, sikiliza sasa Festo,”
“Nambie”
“Nataka nikupikie ule mapishi yangu,” alisema mwanamke yule na kuniachilia, kiukweli nilielewa kabisa kwamba ameshanipenda hivyo nilifurahi sana baada ya kuona ananipa kampani
Alienda akaketi pembeni mwa jiko halafu akaanza kuweka unga kwenye maji yaliyokuwa yanachemka jikoni huku tukiwa tunapiga story
“Sasa Zuhura wewe upo huku, je akija mteja kule msituni si lazima watajua kwamba wewe haupo itakuwaje?” nilimuuliza
“Yaani sisi tangu mchana huwa tunajua kwamba atakuja mtu usiku au haji, tuna kifaa maalumu cha kichawi mimi na wake wenzangu ambacho tunaangaliaga nacho”
“mh kwani mpo wangapi?”
“wale wote wanne tuliokuwa pale, ni wake wa mganga”
“hahaa,, kumbe sasa si anipe mmoja kama wewe hivi kwa jinsi ulivyo chombo mmmh”
“hahaahaa, Festo bhana unanichekesha” aliniambia nikafurahi halafu akaendelea kupika
Baada ya nusu saa msosi ulikuwa tayari tukabeba kwa pamoja halafu tukapeleka ndani, na kuket pamojaa.
Nilinawa mikono na kuanza kukila chakul kile alichokuwa amekiandaa mtoto wa kike halafu nayeye akanawa, akaanza kula, alipokula matonge mawili alianza kunilisha, tukalishana kwa midomo mpaka nyege zikatupanda.
Nilimbeba mpaka kitandani halafu nikamlaza chali na mimi nikamlalia tukawa tunanyonyana mate,
“Zuhura unajua unapokuwa karibu na mimi hivi napata hisisa za ajabu juu yako” nilimuambia nikaona amezungusha mikono yake mgongoni mwangu na kunikumbatia vizuri
“Mh Festo nataka nikupe utamu, najua wewe una uwezo wa kunikuna kuliko yule mzee”
“mmmmh”
“halafu isitoshe wewe ni mzuri yaani mkaka wewe una mvuto sana”
“Lakini Zuhura unajua kabisa mume wako ni mganga mkuu, unataka mimi nife jamani?” nilimuuliza
“hauwezi kufa, nina uwezo wa kumzuia mimi nikikukumbuka napata hamu kila saa” alisema na kunitoa pembeni kidogo halafu akashusha nguo yale ya chini, huku akinionyeshea kitumbua “embu tazama nilivyolowa” aliniambia nikajikuta nimekodoa macho nikiangalia kile kitumbua
Nilimvamia na kuishika ile chupi nikafuta nayo kitumbua halafu nilipokitazama tu hivi nilijikuta ninatamani kukinyonya, ghafla nilisikia amenivuta kwa ukaribu na kunikumbatia halafu akanigeuza yeye akawa yuko juu ya kifua changu ananichezea kwenye ndevu zangu chache huku akinishikashika
Nilijikuta nyege zinapanda halafu nikaupeleka mkono wangu katika kitumbua chake na kukipapasa nikasikia ameanza kuhema huku akizungusha kiuno chake taratiiibu.
Niliendelea kukichezea mpaka nikaona ameuchukua mkono wake na kuanza kuitafuta kwenye bukta yangu hadi akaitoa.
Ilipotoka alijiegesha vizuri kisha akaikalia ikaingia huku akizidi kuhema na macho yamemlegea nikashika kiuno, mtoto wa kike alianza kujizungusha taratibu kushoto kulia huku ikipenya yote katika mashavu mawili ya kitumbua chake
“OOOh…….aaah ooha oooshshshshshsss” alikuwa akitoa sauti za kimahaba nikawa mimi ninapandisha kiuno taratibu huku nikimsugua mtoto wa kike
Nilishangaa amenikumbatia kwa nguvu hukuu akiunasa ulimi wangu na kuunyonya, na kiuno alianza kukizungusha kama feni, halafu akaniachina na kutazama juu
Kiukweli nilinogewa sana kuupapasa mwili wa mwanamke yule, nikaona amelegea halafu amelowa, nikajua tayari amekojoa ikabidi nimgeuze yeye akalala chali na mimi nikawa nachochea msumari ndani mpaka nikakojoa ndani.
Nilibaki nikihema kwa nguvu huku nikimlalia kama dakika tatu hivi halafu nikajiinua na kujaribu kuichomoa kwenye kitumbua chake
Nilipochomoa nilishangaa haitoki, nikapambana kujivuta lakini haitoki, nikaogopa moja kwa moja kwamba hii kitu inakwendaje lakini ilikuwa haichomoki, nilianza kutetemeka
“Vipi tena baby” Zuhura aliniuliza
“Haichomoki eti”
“Haichomoki???” aliuliza kwa mshangao huku akiuinua uso wake na kuitazama, halafu akahema kwa uoga……………..ITAENDELEA🔞MKE WA MGANGA 04
Mtunzi Agen Bells
Tulipoishia
“Vipi tena baby” Zuhura aliniuliza
“Haichomoki eti”
“Haichomoki???” aliuliza kwa mshangao huku akiuinua uso wake na kuitazama, halafu akahema kwa uoga
Twendesawa
Tuliendelea kupambani itoke, hadi hisia lile la tama nilijutia, lakini baada ya dakika mbili, niliona mwanamke yule amenyoosha mkono wake wa kulia akaishika naniliu yangu halafu mkono wa kushoto akaunyoosha juu na kuanza kunena
“Ahghalipto kaliptokto kokolikto romodoli” maneno mengi yalikuwa hayaeleweki ndipo nikaona ameichomoa kirahisi na kuniangalia usoni halafu akatabasamu
“Festo” aliniita
“Zuhura naogopa eti” niliongea kwa uoga kwani ilikuwa ni action ndogo tu
“Usiogope Festo, mimi vitu kama hivi huwa havinitishi kabisa hivyo kaa ukijua nakupenda sana Festo” aliniambia
“daaah kama ndo tumeanza tu ikawa hivi wewe unadhani kwamba akijua itakuwaje?”
“hawezi jua bwana acha uoga” alisema yule mwanamke na kuanza kuivua blauzi yake ambayo muda wote alikuwa hajaivua bado, ila alivua nguo ya chini tu mwanzo
Alipovua alianza kujiuma uma meno huku akinikonyeza na kuangalia juu chini, macho malegevu, nikajikuta ninamshangaa huku nikizidi kupata tamaa za mwili zaidi.
Alilala chali na kuanza kupapasa chuchu zake huku akinitazama kwa muda wa sekunde thelathini halafu akainuka na kunivuta nikamdondokea halafu akanishika kichwa na kukielekeza kwenye maziwa yake nikaanza kuyapapasa na kunyanyonya
Niliisikia inasimama tena, bado nilikuwa sijakoma kwa action ya kwanza, aliposikia ikisimama alijisogeza na kuanzak unitekenya tekenya na kitumbua chake, mimi nikapagawa
Tena kwa jinsi alivyokuwa mzuri na fundi alijizungusha zungusha kiuno mpaka yenyewe ikajikuta imepenya kunako kule ndani,
Nilijaribu kuitoka kwa uoga lakini alilalamika sana huku akinyanyua kiuno chake nikajikuta nasikia raha halafu yenyewe inazidi kusugua mtoto wa kike
“usiitoe be….iby, ni taaamu etiii” aliniambia kwa sauti legevu huku akijitikisa tikisa kiuno chake, nikawa nazidi kupagawa kwa maufundi ya kimbulu nilisikia raha
“aaash Zuhu…..ra bhaana…” niliongea kwa uoga huku nikizidi kumtekenya mtoto wa kike yule kwani alikuwa anaonekana mwenye kuipenda sana dudu yangu
“Nini sasa” alisema na kunivuta kwa nguvu halafu akanikumbatia huku akizungusha kiuno chake utafikiri ni wa sinza, nilisikia utamu wa hali ya juuu na sikuweza kujizuia nikajikuta nimemkojolea tena
Niliamka na kuichomoa nikafurahi maana haikugoma tangu mwanzo, halafu nikamtazama usoni “daaah, imechomoka”
“hahaa” binti alicheka kwa furaha “haiwezi kunasa tena, kila siku nikiwa na hamu nitakuwa nakuja baby” aliniambia lakini nilikuwa naogopa hata kumuambia sawa
***
Kesho yake asubuhi, niliamka, yeye Zuhura alikuwa ameshaondoka na kurudi huku anapoishi ambapo mimi nilikuwa sipajui ila nilihisi ni kule msituni
Nilienda hadi katika bustani niliyokuwa nimeotesha mboga zangu nikaanza kuzinyesha. Nikiwa naendelea kuzinyeshea vizuri, nilisikia simu yangu inaita mfukoni hivyo nikaitoa mfukoni na kutazama ndipo nilipokuta ni mangi
Ilibidi niipokee ile simu na kuanza kuongea naye
“Hallo mangi” nilimuita
“kwema aisee?” aliniuliza
“kwema broo nambie, umenipigia asubuhi hii yote kuna wema kweli?” nilimuuliza
“hahaa, kuna wema, embu tafadhali uje hapa dukani kuna kitu nataka nikueleze chap”
“sa hivi?” nilimuuliza
“ikiwezekana sa hivi uje maana ni ishu ya fast asana”
“ok powa broo” nilisema na kusita kidogo halaf akakata simu nikabaki nikiwaza kwamba alikuwa anataka kuniambia nini hicho mpaka aniite nyumbani kwake?
Nilifanya kazi yangu taratiiibu halafu nilipomaliza niliondoka moja kwa moja na kwenda mpaka kwa Mangi ili niweze kumsikiliza alichokuwa anataka kuniambia
“broo shikamoo” nilimsalimia
“marahaba vipi hali?” aliuliza
“niko powa kabisa aisee”
“naona kama umebadilika sana tangu ulipoenda kule vipi, mabadiliko ya maisha umeyaona?” aliniuliza na mimi nikamtazama kwanza usoni huku nikitafakari nimjibu nini
“Au masharti yamekushinda?” aliniuliza, sasa kila mara nilikuwa nakumbuka lile tukio nililoliona dirishani kwake, nikawa namuonea huruma,
Mfanyakazi wake mmoja alileta chai na mandazi nikakaribishwa lakini mimi nikagoma maana nilikuwa nasikia kichefu chefu kila nikikumbuka lile suala
“Sikiliza Festo, unajua kuna vimbwanga vya hatari ukishaenda kwa mganga yule…..mimi mwanzo nilivishinda vyote ndo maana sa hivi nakula bata” aliniambia, mimi nikamtazama usoni kwa kumhurumia nikiwaza bata gani hilo la kimwili na viumbe wa ajabu, halafu nikatabasamu
“Festo, yule mganga anatumia wake zake kukuvunjisha amani, hata hivyo, mke wa mganga anaweza kuja kwako na kujifanya anakupenda kumbe nia yake anakupima uaminifu ili akupe mali, sasa ukijikoroga tu ukamla mkewe, milele unakuwa masikini” aliniambia maneno kidogo yaliyonishtua
“Nini?” nilimuuliza kwa mshangao mpaka akashtuka
“Umeshakula ee?” aliniuliza nikabaki namshangaa maana sikuelewa nimjibu nini kaka yule
“Daaaaah” nilichanganyikiwa, nikainuka na kuketi
“Mh, halafu sikia atakuonyesha vimbwanga vya aina nyingi vile ni viini macho tu wala usidhanie ni kweli”
“ee?”
“ndio hivyo, naona ushakula wewe, tatizo hukutaka kuniuliza
Nilifikiria matukio ya nyumba kwamba binti yule alikuja kwangu na kunizuia nisiende kwa mangi, nafikiri nia yake ilikuwa kunifanya nisipewe siri, mbaya zaidi ni kwamba nilikuwa nimeshalala na mke wa mganga, na nilikuwa nimeshaanza kukolea
Niliinuka kimya kimya bila kuaga nikaeleka zangu njia ya nyumbani, haikufika mbali, nikakutana na Zuhura, akiwa amebeba kapu kubwa ikionyesha kama vile katokea sokoni hivi
“Wow, Festo” aliniita nikamtazama kwa hasira tu na kupita zangu bila hata kumsalimia, lakini alikuja nyuma yangu akiwa anaongea maneno mengi mengi “ooh mbona hunisalimii, au kisa umeshapata ulichokuwa unakitaka,……we Festo si uongee,…..duuuh sawa lakini nimekuletea vitu vya kupikia” aliongea mwenyewe mpaka tukafika nyumbani huku nikiwa bado nimemnunuia Zuhura
“baby umekuwa nini tena?” aliniuliza mtoto yule wa kike na kuweka kapu chini
“Zuhura, nimeshajua mipango yako yote, wewe na mganga ni kitu kimoja” nilisema na kufungua mlango nikaingia ndani na kuketi kwenye kiti, nikaona naye ameingia na kapu lake
“Kivipi jamani?” aliniuliza
“Yaani kumbe umetumwa kuja kunisanifu mimi? Hutaki niwe tajiri?” nilisema na kuinuka kwenye kiti nikmsogelea kwa hasira “usinifanye nikakuchukia milele Zuhura, umeshaniharibia mipango yangu, vitu vyote vile ulivyonionyesha kumbe ulitumwa na mume wako” nilisema kwa hasira
Nilishuhudia, taratiiibu akishuka binti chini na kupiga magoti huku machozi yakianza kumtoka
“Festo” aliniita mimi nikabaki naguna tu “ni kweli unayoyasema, niliagizwa na mganga nije nikuwekee vimbwanga, ili kukupima kama upo serious kwenye kutaka msaada wake, lakini Festo nimeshangaa nimekuja kuingia katika mapenzi mazito na wewe ninatamani kila mara niwe karibu yako, naomba unisamehe please, mimi mwanzo nilikuja kwa nia hiyo lakini sa hivi kiukweli nimeshakupenda kutoka moyoni na nataka tuendelee, ninakuahidi nitakulinda na pesa nitahakikisha unazipata ila sio kwa njia ya uchawi maana utateseka” aliongea maneno ya busara yaliyonishawishi kidogo, ndipo nikajikuta namtazama hasa ukijumlisha na uzuri aliokuwa nao, nkabaki naguna tu
“Festo, ushanisamehe?” aliniuliza huku akiinuka na kunisogelea akanikumbatia, mimi nikabaki njia panda bila kujua nimjibu nini…….ITAENDELEA🔞MKE WA MGANGA 05
“Festo, ushanisamehe?” aliniuliza huku akiinuka na kunisogelea akanikumbatia, mimi nikabaki njia panda bila kujua nimjibu nini
Sasa katika kunikumbatia, zile chuchu zake saa sita zilikuwa zinanitekenya katika kifua changu nikajikuta najisugulia sugulia kwake, nikiwa nasikia raha, na akili zangu zilikuwa zikiniamba hivi “we endelea kupiga, kwani hata ukiacha sa hivi si itakuwa tayari umeshapiga hivyo basi hata pesa hautapata tena, halafu kile kimkufu si ushakitupa katika choo” akili ilikuwa inaniendesha hivyo
Hapo hapo, niliona Zuhura ameniwekea ulimi sikioni akaanza kunitekenya, nilisikia raha ya ajabu halafu akasogeza ulimi wake taratiiibu kutoka katika sikio na kunilamba kupitia shavuni hadi mdomoni akanibusu na kunipa denda.
Sasa tulipeana denda kunyonyana mate na kupapasana, mkono wake ulichukua na kuniwekea juu ya plaizi ya suruali yangu, halafu akaanza kupapasa, mimi nilijikuta nimeshanogewa nikawa nimejisikia furaha na moyo ukikubali kuendelea kummegea mganga tunda lake
Nilimbeba binti mzima mzima, midomo bado ilikuwa imegandana, kila muda ni kunyonyana matea mpaka nikamfikisha kitandani na kumlaza halafu nikamparamia kinguo alichokuwa amevaa chini cha kubana mapaja, nilitaka nikivue lakini alinizuia
“subiri kwanza” aliniambia
“Kwanini sasa jamani kipenzi” niliongea kwa hamu ya hatari ndipo nikamkumbatia tena
“nimekuletea matunda na vitu vya kupika twende tukapike kwanza” aliniambia lakini mimi nikaendelea kumpapasa kwa hisia nikijua kwamba mwanamke ukishampandisha midadi lazima atakuachilia utamu tu
“hhhhash beiby” alianza kutamka kwa hisia nikajua atakuwa anainjoy sana jinsi nilivyokuwa ninampapasa.,
Round hii nilipopeleka mikono kwenye kinguo cha chini binti alitulia kimya tena na kunyanyua kiuno chake ili niivue vizuri, niliitoa moja kwa moja ikiwa na chupi yake halafu nikamshika kwa hisia na kuzama katika mapaja yake nataka kunyonya
“wait bhaasi” aliniambia na kunizuia nikawa nishapagawa tayari
“mbona unanitesa hivi Zuhura”
“noo mimi napenda nikiliwa, wote tuvue nguo zote halafu tupapasane mpaka iingie yenyewe”
“mmmh kwa hiyo sasa”
“mmh nivue blauzi, halafu jivue na wewe yaani ni nyama kwa nyama, sawa mpenzi? Usiogope mimi ni wa kwako mganga yule hawezi kufanya chochote kwangu alinilazimisha kunioa mimi simpendi” aliniambia kwa hisia nikajikuta nimekuwa mpole
Nilishika blauzi yake kisha nikaivua na alibaki uchi wa mnyama tukatazamana yeye akafunika macho kwa aibu, hakika chuchu zake zilikuwa miiba, iliyovutia hasa na nilitamani angalau nizinyonye “Ooh Zuhura hakika hukupaswa kuwa mke wa mganga nakuambia”
“mmmmh kwanini?” aliniuliza na kunishika ndevu zangu halafu akanitazama huku akitabasamu
“wewe ni mzuri mno, ila mh, ngoja nikupige kimoja halafu tukapike” nilimuambia na kuendelea kumpapasa mtoto yule
Niliinuka na kuanza kuvua nguo zangu, nikabaki na boxer tu halafu nikajirusha pembeni yake kwa hisia nikimtazama, nilishuhudia ameinuka na kunilalia, halafu sasa aliipeleka mdomo kwenye boxer akaiuma na kunivua kwa meno ikashuka hadi magotini
Ilipomaliza kushuka hadi magotini nikasikia ameizamisha mdomoni mwake, hakika nilipagawa, sikuwahi fanyiwa hivyo kabla yaani kumbe mademu wa kimbulu ni mafundi sana…..
“beiby” nilimuita kwa hisia yeye akaitika ile ya kuguna et “mmh” kwa sababu alishindwa kutampa abee kutokana na uume wangu kujaa mdomoni mwake
“ni miaka mingapi tangu ulipoolewa na Kamulenga?” nilimuuliza nikaona ametulia akaendelea kumung’unya sasa starehe ziliponizidi nilijikuta nakaribia kukojoa mdomoni mwake hivyo kupelekea mimi kumvuta na kutaka kumtandia kwa fimbo maalumu iliyoumbwa kwa ajili ya hilo suala
“Fest….” Aliniita na kujilaza chali halafu mimi nikampa ulimi tukanyonyana huku taratibu nikuwa naingia ndani ya pambaja zake, ambapo nilipoingia nkatikati nilikutana na nyama laini iliyonyolewa vizuri halafu ilikuwa imelaini vizuri hivyo haikunipa shida kuelekeza mashine
Ile tu tunajitegesha vizuri kwa hisia nilisikia kama vile imeshapata mlango, hivyo nililengesha kichwa na kuisukumiza mpaka mwisho,
Zuhura aliuachia ulimi wangu na kunyanyua miguu juu kwa utamu, nakumbuka kwenye ankle alikuwa amevaa vikuku, kiukweli yule Zuhura alikuwa mtamu
Nilimnyonya shingo huku tukisuguana kwa mwendo wa slowly, kifua changu kilikuwa kikichomwa chomwa na vimaziwa vya Zuhura vilivyokuwa vimesimama maana alikuwa hajachokonolewa sana nilivyokuwa nahisi,
Nilizishika nywele zake nikawa nazipapasa, viuno vimegusana, tunatekenyanya na viungo vyetu wa siri, tunatekenyana mpaka raha, niliona mtoto amelegea lege lege, mpaka nikahisi kweli yale maneno aliyokuwa ameniamia kwamba yeye ameshanipenda kwa dhati basi nilihisi ni ya kweli hivyo nikawa nimeshazidi kukolea
“Ooooh shiiiiit babyyy” alinitamkia wakati tunasuguana taratibuu kama dakika kumi hivi
“Mmmh,,, Zuhura wewe ni mtamu jamani” nilimuambia kwa furaha “Ila baby”
“Abee”
“Ninahofia haitachomoka kama jana et…..”
“baby…usijali,….itachomo….kaaa mi ninakupend….aa aaaah ah ah sugua baby mi nishakojoa eti lakini nasikia utamu bado” aliniambia kwa hisia halafu akanikumbatia nikabaki nasikia raha
“nikukojolee ndani baby?” nilimuuliza mtoto huyo wa kike
“Mmmh baby….ni wew ttttyuu lakini nikishika mimba” aliniambia
“Mmzee ataniua”
Kimya kilitanda nikawa napiga tu uchochezi ndani nje nikapiga kama dakika mbili hivi nkaona nakaribia kukojoa ikabidi nimuachie halafu nikaichomoa nje “No no nooono baby please ingiza” aliniambia kwa hisia na mimi kiukweli sikuweza vumilia nikaingia mpaka mwish “oooh baby asante mume wangu” aliniambia nikamkumbatia kwa hisia sikuweza kuvumilia hata sekunde thelathini mimi nikajikuta nimeshamkojolea tena ndani
“Assssh, Daaah baby una ku…. Tamu”
“asante my baby…..wewe mwenyewe una ubo…. Mtamu” aliniambia binti ikabidi mimi nitabasamu na kumuachia nikiwa na furaha halafu nikajilaza pembeni yake taratiiibu huku nikihema kwa nguvu
Baada ya sekunde kadhaa simu ya binti iliiya na alikuwa ameiacha kwenye kapu katika upande wa sebuleni, Zuhura alishuka kitandani na kwenda bila hata kujifungia nguo, yaani alikuwa uchi kabisa, nilikuwa naona tu mwili wake wenye umbo maridhawa ukiwa unatikisika kwa nyuma kila alipokuwa akipiga hatua
Zuhura alienda akachukua simu yake na kupokea halafu akaanza kuongea huku akiwa anafunga mlango, aliongea kilugha mimi sikumuelewa halafu akarudi ndani na uso wenye wasiwasi
“Vipi” nilimuuliza
“nataka kwenda nyumbani mume wangu ananiulizia” aliniambia
“Mh nani kakuambia”
“Mke mkubwa”
“ok sawa sweetie sasa wahi wewe isije ikatokea tatizo”
Zuhura aliijifuta kidogo halafu akachukua nguo zake na kuanza kuvaa….alipomaliza kuvaa aliniaga na kuchukua kapu lake vitu aliviweka kwenye ndo halafu akaondoka moja kwa moja kwa kweli nilitamani awe hata ni mke wangu lakini ndo hivyo wenye nguvu walimuwahi na nilihofia maisha yangu kila nilipokuwa nikikumbuka mumewe ni mtu mbaya sana pale tabora
Baada ya dakika kadhaa niliinuka nikavaa bukta na kutoka hadi sebuleni halafu nilichungulia kwenye ndoo nikachukua matunda na kuanza kuyafeka kwa raha zangu, lakiini wakati ninaendelea kula nilihisia kitu, nilihisi kama vile kuana kitu kiko chumbani, hivyo nilianza kutembea kwa wasiwasi halafu nikachungulia chumbani
Ile nachungulia hivi niliona giza limetanda la kutosha katika chumba changu halafu sauti za ajabu ajabu zikawa zinasikika niliwahi taa na kuwasha lakini taa haikuleta mwanga wa aina yoyote pale ndani hivyo ikabidi nitoke nikikimbia lakini sikufuka mbali nikaona moshi umetinga mbele yangu mweusi wa kutisha hivyo nikajikuta nimeanguka chini kwa uoga
Ghafla alitokea kiumbe wa tofauti kabisa mbele yangu na kunichekea chekea meno yakiwa yanavuja damu, ikabidi niinuke na kurud hadi ndani.
Nilipofika ndani, upepo wa nguvu uliingia ukifuatiwa na kelele za kutosha halafu kama zimwi niliona mganga ametokea mbele yangu akiwa amefura hasira usoni
“Haaha….unataka kwenda wapi kijana” Mganga aliniambia mimi sikuweza kujibu chochote nikabaki namtazama huku nikitetemeka na kurudi nyumba mpaka wenye kitanda nikaketi bila taarifa…….ITAENDELEA
Tags
Simulizi 🔞