TAHADHARI ⚠️ KATIKA TOVUTI /APP HII HAKUNA SEHEMU YA KULIPIA ONLINE UKIHITAJI MWENDELEZO WA SIMULIZI BONYEZA HIYO BUTTON YA WHATSAPP AMA ANGALIA NAMBA YA MTUNZI WA SIMULIZI HUSIKA KATIKA SIMULIZI HIYO

KILANGA KOMOO 9-10 MWISHO

( 9-10 ) MWISHO 

KILANGA KOMOo   finally 
    .... 9&10 😭😭😭😭

.......basiiii tuliangaikaa kadriii ya uwezo wezo tuliangaikaa kilaa mtuu akaangaikaa nafsiii yakee nilifanikiwaa kuwasadiaa tukatokaa njeee baridii kaliii wotee tumevaa nguo za walee mabod gad duhhhhu.    Ulee mjiii ulikuaa umetuliaa kam nini🙄🙄

Niliwachukuaa wotee tukaanzaa kutembeaa tunaelekea sehem ata atuijuhiii baridii kama yoteee ama kweliii Tanzaniaa nakupendaa daimaaa🇹🇿 
Tamaaa ilinifunzaa kuipendaa nchiii yangu ilinifunzaaa kutokumuaminiii binadamuuu yytee na piaa nilijifunzaa kumsikilizaa mzaziii au mtuu mzimaa aliekuonyaaa jambo😭😭

      Sio hawa tu huko Saudia Arabiaa kuna majengo makubwaa piaa yenye sirii kama hizii kweliii waafrica   tunatesekaa  ukooo😭😭😭 basiii tulitembeaa usk huleee  barabaraniii barabara zenyewee zimejengwaa kwenye milimaa kwenye mabaridiii tunatetemekaa adiii midomoo nikimuangaliaa Alisii anaonekana kama Taylaa kama akerukwaa na akiliii anachekaaa chekaaa tu  😭😭😭 

Sijuhiii alipewaa  kwa zilee michezoo tulizokua tunafanyiwaa lazimaa ulukwee na akiliii usipokua na uvumilivuuu 😭😭
Basiii kunaa mtuu alipitaa na gariii mbelee yetuuu akasimamishaa akatuulizaa tunaelekea wapiii usk ulee  mimi nilijitoleaa kumuelekezaa kilaa kituu akawaa amenielewaa akasema yeye ana huwezo wakutusaidiaa twendee palee  kwakee atatupaa kaziii za kufanya!!🙄🙄 

Japooo nilikuaa na uogaa iliii nilipomuona ni mwanamke na ana watoto wadogo tu kwenye gariii anawezaa kutusaidiaa akatwambiaa pandeniii twendee tukapandaa kwa kubanana bana hivyoo hivyoo na Alisii nikamdandishaa nilikuaa namjaliii kweliii kwasabbu me ndo sababu ya yeye kufanyaa vilee kama  ningekubaliana naee kipindiii kilee tukataee wotee kwendaa yasingetukutaa haya😭😭😭 

                Yulee mama alitupaa msaada akatupelekaa mpaka kituoo cha polis katikatii ya mjiii basiii tulipofikaa palee tukahojiwaa na atukuaa na Passport walaa nini vyotee vilibakiii ukoo so walikaa na sisi  tukoo chini ya ulinziii tumewekwaa kama wafungwaa gerezaa uk wanatafutaa taarifaa zetuuu iliii turuhusiwee kurudiii kilaa mtuu kwenye nchiii yakee walee wa kenyaaa waliendaaa kwaoo walipataa passport zao tukabakiii na walee wanyalwandaa!! 😭😭😭.
    

  ....KILANGA KOMOo no 10    

😭😭😭😭 Mungu uyu ni.mwemaa na walee wanyalwandaa wakaondokaa  tukabakiii me na halisii tulikaa miez miwiliii tunakulaa pale palee tunalala pale palee Polis stastion 🥺 walinishukuruu san hawaa watuuu ilaaa Halisii alikuaa haweziii.kuongeaa chochote sikujua shidaa ninin!? inayomfanyaa asiongeee basiii tulichukuliwaa na askariii mmojaa tukamfanyiee kaziii za ndaniiii🧍‍♀️ 

Kweliii tukaendaa  kumfanyiaa kaziii kwakee alikuaa mtuu wawatu tu japoo alis alikua anafanyaa kaziii  kwa shida shidaa alikuaa atulipiii ilaa atutesiii  anatwambiaaa ikifikaa mwezii wa 12 atatukatiaa Ticket twendee kwetuu naapo     ilikuaa ndo kwanzaa June basiii tulikaa palee palee badaee nilianzaa kuuguaa ilikuaa mweziii 9 niliuguaaa mnooo alisii tu ndo alikua anafanyaa kaziii lakiniii ana huwezo wakuongeaa kumbe wamemkataa kilimii cha ndaniii ya mdomo alikuaa anawasumbuaa dahhhhh akawaa anaongeaa tu kwa ishalaa analiaa ananiangaliaa kwa machungu makubwaaa😭😭😭

  Niliuguaa adiii nikaonaa duniaa chunguuu😭😭 nikajiona kabisaa nakufaa lakinii yulee mama  akuchokaa kutusadiaa kumbe sio wotee utawakutaa wana roho mbayaa maana me nilijuaa akunaa mwarabu hatakae wezaa kutusaidiaa na vilee tulikuaa atuna Viza wa passport ilikuaa shidaaa piaa alikua ametuhaidii Desember atatufanyiaa mpango turudiii Tz 🇹🇿
      Niliuguaa mnoo mweziii wa 9 khaa stasahau kupelekwaa hospital nilikaa mweziii mzima hospital   nakuchokaa kunihudumiaa nilikondaaaaa mnoooo nataapikaa naharishaaa nakohoaa yaniio sin rah wala amanii kumbee shidaa nikuachaa yalee masindano yakutengenezaa shep  Ttzo linginee kubwaa ilikuaa palee kwenye mbavuu zangu nilipofungwaa kifaaa kilee ambacho nilifungwaa wakatiii naendaa kenyaaa Eeeh yallab nilikondaaa nikabakiii kama fuvuu😭😭 ama kweliii vya Mungu vinadumu vya mwanadam avidumuu shep loteee liliporomokaa nikawaa kam mdoriiii matako yametelaaaa matatto ndo yanaonekana yaniii naonekana kama zombi maan nilikondaa kma mgonjwaa wa HIV 😭😭😭
Niliangaikaa nikabakizaa kichwaa na miguu tu na sautiii macho piaa yakanitokaa baada yakukaa hospital uwoo mweziii mzim nikipewaa matimababu nakutolewaa vilee vituu nilivyowekewa mwiliniii 😭😭😭😭
             Paper nilipokua nimewekeaa kilee kidude kama saa tumbon pembeniii ya mbavuu !! Palikuaa pameletaaa kidondaa yaniii pameozaa panatoa wadudu Funzaa 😭😭😭 nilibakiii vibayaa sna sina hamuuu na waarabuu sin hamu na Saudiaa sin hamu nakudangaa basiii nilitokaa hospital kilaa sehem nikipitaa wananishangaa duhhh uyu nae binadam ganiii maan takoo lilikuaa chin chin harafuu limeteraa ma tattoo mwilini sasa kama shetaniii👹
         Mweziiii wa 12 ulipofika kweliii yulee mama alitugawiaa nguo zakee akatufanyia mpango wa passport fekiii fekiii zakufojiii tukaanzaa safariii yakujaa uku tulifikiaa Airport tukaanzaa kuelekeaa Nyumbn kwetuu yaniii alisiii alikua anatamniii kuongeaa kituu aanashindwaa😭😭😭😭 

Nilipandaa gariii adiii kijijin kwetu chalinzee 😭😭😭 nikiwaa na alisii maan halisii alikuaa anakaa karibu na kwetuu waliposkiaa tu tumkujaa wakamuitaa mama akee  weeee stosahau ilikuaa kama msibaa watuu walijaa nilifikaa homee nikaanzaa tu kuliaa kama nimefiwaa mama alishangaa nilivyokuaa kama katuniii aliliaaa nini hikiii Enjoy umefanyajee mbona sikuelewiii. Mwanaangu nilionywesha picture yako wakatii ulee ulikua vzr tu nikafurahiii nikajuaa utarudiii vzr uwiiiiiiii mama aliliaa mama akee halisii ndo usisemee shangaziii naee alipopataa taarifaa akaja apoo nyumbn nikawaaa story kamiliii jamn tuliliaaa waliliaaa duhhh shangaziii adiiii alilazwaa hospital kwa kuliaaa  baba Emmanuel niliambiwaa alifarikiii mweziii junee ule ule ambao Emmanuel alifarikiii nilisikitikaa san 😭😭😭😭 halisii aliliaa akimuangalia mtoto wakee analiaa tu na alibakiii ivyo ivyo namiii nikawaa mtuuu wakujifungiaa ndanii naona!! Mpaka wa leooo stakiii mtuu  anionee 😭😭😭 juziii ndo nimeletewaa cm na X wangu wa zamniii kanileteaa ilikua siku ya bathday yangu kanipaa zawadiiii tu ndo nimefungua Fb na kukutana na group la MWANAMKE SIMAMA IMALA  nikiona niwapee story ya maumivu yangu kablaa sijawa mwenyejii kwenye group Asanteniii sn me nipoo ni mtuu wakujifungiaa ndaniii nyumbn kwetuu na sasa  nimefungaa kwalezimaa kutubuu dhambii zanguu enyiiii wamam tuachee tamaa tulidhikee na kidgo cha kwetuuu!! Watuu wa chalinzee wanawezakua wananielewaa maan nilitrend san wakatiii uleee now sin mbele wa nyumaa nipoo tu sidhn kama nitapata mchumb anikubal chins nilivyoo wala sijuh kama nitakujaa kupata mtoto  maan sina kizazii namshukuru Mungu kunirudishaa Tanzaniaa nikiwaa Haii😭😭😭😭 alicee yupoo tu kaolewaa ni bubu anauzaa matundaa apoo ilaa sijaonana nae mdaa mrefuuu sn ananichukiaa sn ilaa ajuhiii tu namiii skupendaa iweee hivyoo😭😭😭 nipoo tuu sijiweziii kila kituu naletewaa ndaniii aibu kutokaa njee macho ya watuu na kuoga mama ananiogeshaa ndaniii Anaona aibu kunitoa njee nipoo kama mgonjwa wa UKIMWI   asantee na kwahelinii😭😭😭😭😭

kslprojects

kslprojectstz@gmail.com Entrepreneurship Power

Post a Comment

Previous Post Next Post