TAHADHARI ⚠️ KATIKA TOVUTI /APP HII HAKUNA SEHEMU YA KULIPIA ONLINE UKIHITAJI MWENDELEZO WA SIMULIZI BONYEZA HIYO BUTTON YA WHATSAPP AMA ANGALIA NAMBA YA MTUNZI WA SIMULIZI HUSIKA KATIKA SIMULIZI HIYO

JINI MSAGAJI 1-3 (Kwa WATU wazima pekee)

*JINI MSAGAJI*
SEHEMU YA KWANZA
🔞 mtoto pita kushoto kabisa usisome hii simulizi itakuharibu akili yako🔞

Mama mama naomba uniambie maana ya hii kamba kiunoni kwangu ya nini na kwanini utaki niitoe.

" Asma usije kuniuliza tena ilo swali nimekwambia iyo kamba uivui mpaka uje kuolewa kamba iyo ataikata mumeo mukiwa kwenye ndoa sio nje ya ndoa nimekwambia mara zote ukizini umekufa.

" Mama samahani kama nitakukwaza kwa swali hili je hii ni tamaduni za wanawake wote au ni kabila letu tu?.

" Asma hii ni tamaduni ya ukoo wenu mwanamke anafungwa kamba kiunoni tena nyeusi na ndio maana kila mwezi nakuangaria kama imekubana naiyongeza iyo kamba ina maana kubwa sana usije ukazini wala kumuonyesha rafiki yako.

" Mama mama mimi nina mchumba amesema anioi mpaka tulale siku moja sasa mama...

" Koma narudia koma mimi mama yako sio bibi yako unasema una mchumba uyo mchumba ndio anataka kulala na wewe nakwambia ivi mwambie alete barua na afate sheria zote uolewe usinilete uchuro mimi na kama unataka kufa nenda kamvurie nguo mshenzi wewe.

( JAMANI NAITWA ASMA NIPO KWENYE MTIHANI MZITO WA MAISHA YANGU NIMEFUNGWA KAMBA KIUNONI NA INASEMEKANA NI MILA ZA KWETU NIPO KWENYE KIJIJI KIMOJA KINAITWA ZINGO SASA NISHAKUWA NINA HAMU NA MIMI KUJUA MWANAUME ILA NIKIKUTANA NA MWANAUME NAKUFA KWA MUJIBU WA MAMA)

" Tena asma nakwambia usije ukarudia ilo neno nenda kisimani kachote maji haraka.

" Nilitoka nikaenda zangu kisimani nikiwa na mawazo mengi sana njiani nakutana na mama mmoja kabeba mwanawe mdogo arafu kamfunga kamba kiunoni Nikamuuliza,

" Samahani mama ivi kamba kiunoni kwa mtoto inasaidia nini?.

" Yule mama alicheka kidogo arafu akaniambia,

" Asma kamba kiunoni kwa mtoto inasaidia kutengeneza kiuno tu.

" Mimi moyoni natamani kumuuliza na mkubwa je inasaidia nini ila naona kama naweza nikamkwaza ikabidi nitumie akili kumuuliza Nikamuuliza,

" Sasa mpaka akiwa na miaka mingapi ndio anakuwa atumii kamba?

" Mama yule akaniambia,
Asma inategemea wengine mwaka na nusu wengine miaka miwili ila kuna wengine kamba izi zinakuwa ni dawa sio kila kamba ni kamba mwanangu.

" Hapo sasa ndio akawa amenichanganya kuwa sio kila kamba ni kamba Nikamuuliza sasa,

Mfano kamba ya dawa mtoto anavua akiwa na miaka mingapi?

" Mama yule akacheka arafu akaniambia,

" Asma mwanangu mbona Leo unaniuliza maswali mazito ivyo si unajua kila dawa ina mtu wake na maelekezo yake sasa siwezi kukujibu jibu sahihi kuna wengine wanavaa mpaka miaka mitano au Saba inategemea na dawa yenyewe wewe ukipata mtoto utajua tu aya yote.

" Sasa nataka kumuuliza je wengine wanaweza kuvaa mpaka miaka 18 ila nataka kuuliza anatokea mama ananifokea,

" Wewe asma muda wote huo urudi kisimani unafanya nini?.

" Yule mama akadakia,
Mama asma punguza asira asma alikuwa anaongea na mimi hapa.

" Mama akasema,
Mama chiku uyu mtoto Leo kanistua amesema anaye mchumba ndio maana nimemfata kwa asira kama izi si unajua vijana wanaweza kutumia nafasi ya kaja kisimani arafu aje kuniulia mwanangu.

" Hapo nikawa nachanganyikiwa kumbe ni kweli nikitembea na mwanaume nakufa sasa itakuwaje na mchumba wangu anasema anioi mpaka nimpe kidogo nafanyaje mimi sasa yule mama chiku akasema,

" Mama asma watoto wa kike hawa kumuomba tu Mungu awalinde maana vijana wenyewe wanatongoza mpaka wanalia wewe ujatembea tu ukaona kijana anavyom-bembeleza msichana tuombe tu Mungu.

" Mama akaniambia,
Aya kachote maji twende nyumbani.

" Basi nikaenda kuchota maji uku nawaza sana sana juu ya kamba yangu kiunoni yani mpaka siwezi kuoga na wanawake wenzangu naona wataiyona kamba yangu yani nipo makini nikivaa chupi naifunika kamba yangu ni mtihani tu kwangu kwelikweli,

Nikarudi nyumbani na maji sasa nimelala usiku mkojo ukanibana Nikatoka nje kukojoa ndio nakutana na mchumba wangu ananiambia, 

" Asma Basi twende chooni kwenu ukanipe kimoja tu arafu kesho naleta barua niamini asma.

" Nikamwambia,
Juma ondoka mama yangu mkari sana atakuja kukuua kesho nakuja kwako.

" Sasa kweli nilikojoa na nikarudi chumbani nimelala,

Sasa nashangaa kuna mtu ananipapasa mwilini,

Nikaamka nikawasha taa,

Simuoni anayenipapasa,

Nikasema kimoyoni itakuwa mawazo yangu tu yananipeleka mbio acha nilale,

Sasa usingizi umenikamata nasikia navuriwa chupi,

Nikaamka tena nawasha taa sioni kitu,

Hapa nikamwita mama Nikamwambia mama akaniambia,

" Wewe unamuwaza mchumba ako akuna kitu kama icho lala tuone mimi nakurinda hapa.

" Sasa nikalala nikijiamini mama ananilinda,

Usingizi unanikamata nasikia napapaswa mgongoni akili yangu nikajua mama ananiliwaza mwanawe,

Nashangaa mkono unaenda mbeleni kwangu  sasa akanigusa kisimi changu hapo natamani kustuka ila nasikia utamu sikustuka nasikilizia mkono unavyochezea kisimi,

Cha ajabu kilichonishangaza mpaka nikapiga kelele ni...

SEHEMU YA PILI

🔞 mtoto pita kushoto kabisa usisome hii simulizi itakuharibu akili yako🔞

👉 Cha ajabu kilichonishangaza mpaka nikapiga kelele ni...👇

Naona navutwa kamba yangu ya kiunoni kama vile anataka kuikata nikakumbuka kifo nilipiga ukunga huo.

Hapo mama akaamka na akawasha taa akuna mtu tuliyemuona,

Mama akampigia simu mama chiku kumwambia mimi naota ndoto za ajabu mpaka napiga kelele,

Mama chiku akasema,

" Itakuwa ni ndoto tu mwambie asome dua mbili tatu alale.

" Mama akaguna akaniuliza?.

" Asma unajua kusoma dua.

" Nikamwambia,
Nitajuria wapi wakati ujanifundisha wala kunipeleka uko panapofundishwa dua.

" Basi mama yangu akuongea tena akanikumbatia mwanawe  nilale yani nipo kama mtoto nalindwa,

Na kweli usingizi ukanichukua ile ndoto sikuota tena.

Asubui mama akaenda shamba,

Sasa chiku akaja nyumbani mtoto wa mama chiku Nikamuuliza?

" Ivi chiku ushawai kuota unachezewa mwili?.

" Akaniambia,
Mimi kama sijafanya mapenzi siku nyingi ndio naota nafanya mapenzi na mwanaume kitandani yani mpaka namaliza kabisa aja yangu sasa Nikamwambia mama akaniambia nitakuwa na jini mahaba Basi akunishughulikia Tena ila mimi mwenyewe sasa ivi napumzika Leo kesho nampa mchumba angu penzi yani sioti tena wewe ushaanza kuota iyo ndoto?.

" Nikamwambia,
Ndio Jana nimeota Kuna mkono unanipapasa umekuja mpaka kwenye kisimi changu.

" Chiku akaniambia,
Sasa hapo mtafute mchumba ako juma mpe kuma akutombe usikae kizembe wewe unadhani kuma umepewa ya nini iyo?.

" Chiku ajui mimi nina kamba kiunoni na mama kasema nisimwambie ata  rafiki yangu sasa nawaza nikimpa kuma juma nakufa na nikikaa kumbe bila kumpa kuma juma ndio nafatwa na jini mahaba nafanyaje hapa nawaza mwenyewe kumbe wakati nawaza ukimya ukawa mkubwa kwangu chiku akaniambia,

" Wewe asma najua unaogopa umetishwa na mama yako labra usimpe mwanaume mpaka akuoe ukimpa akuoi,

Nikwambie asma mwanaume akuoi mpaka akudonyoe kidogo wanaume wa zamani ndio walikuwa wanaoa bila kudonyoa.

" Nataka kusema kitu tu mama anakuja ananiambia,

" Wewe asma ivi umeamka umekaa uwanja mchafu mimi nimeenda shamba nimerudi ujafagia uwanja unataka kufagia uwanja uku jua linawaka aya nenda kafagie uwanja uko.

" Chiku alinyanyuka na kuondoka kwao mimi nikawa nafagia uwanja uku nawaza kweli kweli itakuwaje hii kamba na juma ataki kuoa mpaka anidonyoe na mama ndio kashasema nikidonyolewa nimekufa,

Basi nafagia uwanja tu na mawazo kibao mara kaja mama chiku anamwambia mama,

" Mama asma mwenzio nilisahau kukwambia mwanangu aliniambiaga ana jini mahaba hivi unajua elimu yoyote kuhusu jini mahaba?.

" Mama akasema,
Mimi najua mwanamke akiwa mchafu ndio anakuwa na jini mahaba ila ndio mwisho wa uwelewa wangu labra ukamuulize mzee King'ong'o anaweza akawa anajua tena Leo kwake si anaongerea ayo mambo ya majini nenda kapata faida mimi namchunga uyu mwanangu maana kanistua kweli kuniambia anaye mwanaume.

" Sasa mama chiku akasema,

Basi twende naye hapo kwa mzee King'ong'o kwa sababu mimi naenda na chiku hapo arafu mtoto achungwi ivyo shoga mwambie tu wanaume si watu inatosha unadhani utamuweza uyu akihamua kutaka kujua ayo usiyoyataka.

" Mama akaniambia,
Aya acha kufagia nawa miguu iyo twende hapo kwa mzee King'ong'o.

" Basi nikanawa miguu tukaongozana mpaka kwa mzee King'ong'o tukakutana na chiku tukawa wote pamoja,

Sasa kumbe juma na yeye kaja ambaye mchumba angu kaja na mchumba wa chiku sasa mchumba wa chiku anamwambia juma,

" Wewe usiwe mjinga yani ukipata nafasi ya kusimama nae mkumbatie mshawishi kwa vitendo sio kuongea nae utachelewa mimi mwenzio chiku nimemtoa bikra kisimani wewe unataka kutoa bikra ghetto nani kakwambia ghetto unaenda kumpa maufundi wakati huo ushamtoa bikra njiani uko.

" Juma akasema,
Poa yani ningejua toka Jana usiku ningemtoa bikra si alitoka nje akawa anaenda kukojoa kumbe na mimi ningemkojolea.

" Mchumba wa chiku anasema,

Wewe muoga arafu mwanaume atakiwi kuwa ivyo.

" Basi wakati mchumba wa chiku anamjaza maneno ya sumu juma hili anibake na mzee King'ong'o akaanza somo lake la majini akasema ivi,

" MAJINI

Moja ya kiumbe ambacho kinaweza kumtendea mwanadamu ni Majini. Majini yanaweza kukutendea Mema mazuri au Yanaweza kukutendea mabaya na maovu.

Asilimia 80 ya Majini upenda kuwatendea watu mabaya kutokana na Tamaa zao.

Jini Anakufunga Usipate kazi Anakufunga Usioe wala kuolewa Jini Anauwa Nguvu Zako za kiume au hisia za mwanamke katika Tendo. Jini Anafarakanisha Mahusiano Yako ya kimapenzi na jamii yako. Jini Anakuingilia kingono Tena hadi kinyume na maumbile. Jini anakufitinisha na kukufumbaza Akili kwa kukupa ndoto za Uongo. Jini Anaharibu mimba na kura mifugo Jini Anashikilia Nyota na kuchukua mali Jini anakupa Maradhi katika Roho na mwili na Jini huyo huyo Anatawala nafsi yako.

Lakini jini huyo huyo Anakuletea wateja,Anasafisha Nyota yako anakupatanisha na watu mbalimbali wakubwa anafanya uwe na mahusiano Bora na kudumisha ndoa yako anakulinda dhidi ya mbaya.

Haya Yote Jini Anaweza kukufanyia kwa Mapenzi yake au kwa maagano.

Lakini ili Usifanyiwe yaliyo mabaya na Majini yakupasa kuwa na kinga kuwa na nguvu Epuko. Ambayo itakuepusha na mabalaa Yote aliyokusudia kukufanyia au mabaya Yote aliyokukusudia.

Sasa kinga zipo za Aina kuu 3 :-

Kuna kinga inayozuia nguvu ya Majini Isitende kwako haijalishi hiyo Nguvu inatenda jema au zuri mandhari hiyo Nguvu Asili yake jini haitotenda.

Lakini ipo Kinga ya kufunga Majini yenyewe kabisa yasikufanyie chochote kabisa Haijalishi kiwe chema au kibaya. Kifupi jini anakuwa kafungwa hawezi kufanya chochote kile juu yako.

Lakini Pia ipo Kinga Ambayo hii Inamfanya Jini Ashindwe kukufanyia mabaya. Baya lolote au jambo lolote usilolitaka Akitaka kufanya anashindwa lakini jema na zuri akifanya linafanikiwa.

Unatakiwa uwe na kinga moja wapo katika hizi ili kuepukana na ubaya wa viumbe hivi kwa Maana wapo na tunapishana nao kila Siku na wengine tunatumiwa bila ya kuwa na kizuizi juu yao basi hatutofika.

" Sasa mzee King'ong'o ajamalizia kusema anachokusudia kwenye somo lake mama anamnong'oneza mama chiku,

" Tuondoke uyu ana lolote anataka kuuza dawa tu hapa usikii neno kinga kinga ilo twende wewe.

" Mama chiku akamwambia chiku nyanyuka twende,

Na mama akaninyanyua mimi tukaondoka uku mzee King'ong'o anaongea na waliobaki pale,

Sasa tumefika nyumbani mama na mama chiku wanataka kuongea yao si ndio wakatutuma Sisi sokoni,

Tulivyotoka tu chiku tupo katikati ya kichaka ndio njia yenyewe akaniambia,

" Twende ghetto la juma wewe ukampe penzi kidogo tu.

" Sasa kabra sijamjibu naona nakumbatiwa kwa nyuma kugeuka ni juma arafu anatabasamu analeta mdomo kwenye mdomo wangu,

Mimi nikakwepesha kwanza,

Sasa nageuka kumwangaria chiku si namuona amekumbatiwa  na bwana ake arafu wananyonyana mate,

Sasa juma sijui ndio hamu zimempanda akawa analeta mkono kwenye kuma yangu,

Yani anaona mwenzie anamnyonya mate demu wake uku kamshika kuma na yeye anaiga,

Jamani sijawai kuguswa na mwanaume mbeleni mimi sasa juma ndio anauleta mkono mbeleni kwangu,

Dah yani...

ITAENDELEA

SEHEMU YA TATU

🔞 mtoto pita kushoto kabisa usisome hii simulizi itakuharibu akili yako🔞

👉 Jamani sijawai kuguswa na mwanaume mbeleni mimi sasa juma ndio anauleta mkono mbeleni kwangu,

Dah yani...👇

Ile anataka kunigusa kuma yangu mjusi alitoka juu ya mti akamdondokea  kichwani akastuka alijua tandu,

Akaruka sasa alivyoruka mchumba wa chiku akasema,

" Wewe juma unastuka nini umeona msitu uko au?.

" Lile neno liliniuzi sana yani anamaanisha mimi nina mavuzi mengi Nikamwambia chiku,

" Twende tulipotumwa.

" Sasa juma anataka kurudia tena kunikumbatia anasikia sauti za watu arafu wanakuja akasimamisha zoezi lake na mchumba wa chiku akajitoa kwenye mwili wa chiku,

Sasa wale watu wakafika sehemu tulipo mmoja wao akasema,

" Afadhari vijana hawa hapa twende nao tukasaidiane kuuwa nyoka aliyeingia kwa mzee King'ong'o.

" Sasa juma na mchumba wa chiku wanaenda kuuwa nyoka na Sisi tunaenda sokoni,

Njiani chiku ananiambia,

" Hapa nilipo mwenzako nina utelezi kwenye kuma yani mchumba angu akinigusa tu mimi uku naroa mapenzi matamu wewe.

" Anavyoniambia ivyo nayatamani kweli mapenzi tena nahisi matamu zaidi kwa sababu ata nilivyokumbatiwa mwilini nilisikia raha sana,

Ila ndio ivyo nina kamba kiunoni,

Sasa sikumjibu tukaenda sokoni na tukarudi nyumbani,

Tukasikia sasa nyoka mkubwa aliyeingia kwa mzee King'ong'o akuonekana tena watu wamemtafuta wamemkosa kwahiyo tahadhari watu wasitembee usiku inawezekana nyoka aliingia na kutoka pasipo kuonekana ila yupo ndani ya kijiji,

Hapo sasa mimi nikasema kimoyoni nitakojoa kwenye sado sitoki tena ndani usiku yani kijiji kizima kikawa na uoga mzito,

Siku mbili mbele mzee King'ong'o kama kawaida yake aliita watu na kuwapa masomo yake sasa Leo anatoa dawa bure watu walijazana pamoja na mimi nilikuwepo mzee King'ong'o akaanza kusema,

" DAWA YA KUFUKUZA JINNI MAITI, MAHEMBE AU JINNI MAHABA:

 Watu wengi mmekua mkiuliza kuhusu kuwa na majini katika miili yenu kutokana na dalili mbalimbali mmezokuwa mkikutana nazo.

Niseme tu kuwa swala la mtu kuwa na jinni katika mwili ni swala pana ambalo si rahisi kulitambua kwa dalili za kawaida ikiwa jinni huyo ameamua kutojidhihirisha uwepo wake katika mwili.

Somo la leo halitohusisha kufahamu kama una jinni au la bali kukuonesha dawa ambayo ni ya jumla kupambana na kuondoa aina mbalimbali za majini katika miili. Ikumbukwe kua kuna aina tofauti tofauti za utoaji wa majini katika miili kulingana na aina ya jinni ulienae, hivyo dawa hii si kwa kula aina ya jinni bali unaweza kuitumia kwa asilimia kubwa ya majini. (Somo litakalofata Inshalla nitakuletea aina chache angalau 70 za majinni uweze kuwafahamu).

DAWA YA KUFUKUZA MAJINNI

MAANDALIZI
Majani ya Mbaazi
Majani ya Mkaratusi
Majani ya tumbaku
Majani ya Miuyu
Majani ya Mzambarau
Majani ya mtulatula (Tunguja)
Samaki aina ya shilonge
Majani ya Kaburini kona zote (za kaburi)
Unga wa vitunguu swaumu
Mti wowote  usiokua na sumu ulioangushwa na upepo
Mvunje
Haltiti
Miat Saaila
Karafuu Maiti

MATUMIZI:
Saga dawa hizi pamoja na uweke katika chupa safi au katika kopo la plastiki
Tumia kijiko kimoja kuchanganya kwenye uji au chai na unywe kutwa mara tatu siku saba hadi 14
Tumia Nusu kijiko cha mchanganyiko huo kujifukiza kutwa mara moja (Kila siku usiku)
Tumia vijiko viwili vya mchanganyiko huo kisha changanya katika maji ya kuoga na utumie kuoga kutwa mara mbili
Wakati wa kulala chukua dawa hiyo kisha paka utosini katika kichwa bila kuchanganya na mafuta.

" Sasa kila mmoja akaandika pale na watu tukatawanyika mimi namwangaria mama kaondoka zamani yani ataki kabisa kusikia mambo ya dawa,

Sasa kumbe chiku na yeye kaondoka kwa bwana ake kufanya mapenzi ana hamu na mboo,

Mimi narudi zangu peke yangu njiani nakutana na binti mzuri mweupe akanisalimia,

Nikamwitika akaniambia,

" Samahani dada naomba unipeleke kwa mzee King'ong'o.

" Mimi nikawa nasema kimoyoni uyu atakuwa amechelewa somo je ametoka kijiji gani Nikamuuliza,

" Umetokea wapi?.

" Akaniambia,
Nimetoka mjini ila ndio sipajui kwa mzee King'ong'o naomba unisindikize.

" Mimi nikawa napenda ile sauti yake ni nzuri sana arafu yeye mwenyewe ni mzuri Basi nikawa namsindikiza mpaka kwa mzee King'ong'o,

Tulipofika nashangaa anamwambia mzee King'ong'o,

" Wewe naomba usitufatirie sana unajifanya unatujua sana kuliko tunavyojijua.

" Mimi sasa nashangaa uyu ni nani na kwanini anamkoromea mzee King'ong'o nikawa nipo pembeni nasikiliza tu mzee King'ong'o akasema,

" Wewe kama mkari kweli mbona ulikuja kama nyoka na ukakimbia hii nyumba si ya kuchezea nasema toka hapa kabra sijakuunguza.

" Sasa wakati anasema ivyo mzee King'ong'o naona mdomo wake unaenda pembeni arafu anaanguka mimi namwangaria yule dada amesimama tu akaniita JINA langu,

" Asma naomba unifate mimi.

" Nikashangaa kajuaje JINA langu arafu anasema nimfate sasa sijapata jibu la kumjibu tunasikia watu wanakuja kutoka nje wanasema,

" Jamani kishindo kikubwa kile mzee King'ong'o kadondoka itakuwa.

" Yule dada akanishika mkono yani mkono wake raini tukatoka wote mrango wa uwani arafu akaniambia,

" Asma nifate nikusaidie wewe umevaa kamba iyo kamba ni mauti kwako sasa awataweza kukuua nifate.

" Jamani najiuliza kajuaje nimevaa kamba na kamba ni mauti kwangu hapo nikawa sasa namfata,

Jamani Jamani kilichotokea hapo alienda kidogo akainama akaniambia,

" Nipande mgongoni usiogope asma.

" Kweli nilimpanda mgongoni na hapo ndio nikaona sasa maajabu aya....

ITAENDELEA.......

Full shilingi 1000
Lipia katika namba hii hapa 

Airtel - 0683 944 333
Jina Hiwalis Hiwalis

kslprojects

kslprojectstz@gmail.com Entrepreneurship Power

Post a Comment

Previous Post Next Post