TAHADHARI ⚠️ KATIKA TOVUTI /APP HII HAKUNA SEHEMU YA KULIPIA ONLINE UKIHITAJI MWENDELEZO WA SIMULIZI BONYEZA HIYO BUTTON YA WHATSAPP AMA ANGALIA NAMBA YA MTUNZI WA SIMULIZI HUSIKA KATIKA SIMULIZI HIYO

MAMA AMINA 1-5

MAMA AMINA 
1-5
*SEHEMU YA KWANZA*

Mama Amina ni mwanamke mjasiriamali katika mitaa ya buza jijini Dar.  Yeye kila siku usiku uwauzia watu supu na chapati. Ni biashara aliyoianza mara baada ya kuachwa na aliyekuwa mpenzi wake ambaye ni baba Amina. 
Alijitahidi sana kutafuta pesa kwaajili yake na mwanae,  Amina. Pesa ya chakula,  Ada,  Kodi ya nyumba na mengineyo lakini kadri siku zilivyosonga mbele ndivyo ugumu wa maisha ulizidi.  
Kutokana na ugumu wa fedha,  kila wiki Amina alirudishwa akidaiwa ada. Kwa kipindi hicho alikuwa mwanafunzi wa kidato cha pili katika shule  binafsi.  Matatizo ya ada yalizidi,  Amina alifukuzwa shule, na moja kwa moja akaachana na shule.
Baada ya Amina kufukuzwa shule, akaungana na Mama yake katika shughuli za uuzaji supu na chapati.  Mama na mwanae; kila siku jioni walielekea kijiwe maarufu cha boda boda,  wanywa kahawa, madereva bajaji n.k, huko ndiko walikesha hadi usiku wa manane wakisaka pesa.
Muda wao wa kurudi utegemea kuisha kwa supu. Siku supu ikiisha mapema,  walirudi mapema. Na siku supu ikichelewa kuisha basi waliisubiria. 
Huyo mama Amina huyo ukimuona ni balaa tupu! Kama ujuavyo mama ntilie wengi walivyo, mama Amina alikuwa kiboko yao. Hakuwa mnene wala mwembamba,  sio mfupi wala mrefu, mweusi wa kung'aa (black beauty) na huko nyuma sasa, wateja walipata shida. 
Labda sababu ya Maisha tu ndio maana aliangaika.  Lakini kuhusu uzuri;  alikuwa mwanamama mrembo. Mmama kama mdada! kila alikopita utasikia "Mama aminaaaa! "
Amina nae hakuwa nyuma.  Si unajua kuwa vya kurithi vinazidi? basi huyo Amina huyo, mtoto alikuwa na kishundu hadi sio poa. Kalikuwa ni kabinti ka miaka 16 lakini kila kanakopita utasikia "Aminaaa,  Aminaaa"
*******
Siku hiyo;  Ilikua ni usiku wa saa moja. Kama kawaida yake; Mama Amina na Amina wake walielekea kazini kwaajili ya shughuli yao. Waliweka majiko yao pembeni,  mkaa pembeni,  supu kwenye sufuria,  kindoo cha maji na vifaa vinginevyo.  Amina aliwasha moto,  supu iliwekwa jikoni ipate moto, jiko lingine walikaanga chapati. 
Taratibu wateja walianza kumiminika, bakuli moja 1000,  chapati moja 300. Watu walikunywa supu na chapati. 
Sio kwamba hakupata wateja,  wateja alipata. Sio kwamba hakupata pesa,  pesa alipata. Tatizo ni kwamba pesa alizozipata katika biashara hiyo hazikukidhi mahitaji ya familia. Supu na chapati pekee havikutosha kulipa kodi, kununua chakula,  mavazi na mengineyo. 
Licha ya mahangaiko,  alikuwa na misimamo.  Wateja wengi walinunua supu yake wakimvizia kimahusiano lakini walimkosa.  Kuna wateja wengine walimvizia Amina,  lakini mama mtu alikuwa makini. 
"Mama amina,  kwani we kwa siku unaingiza bei gani? "Aliuliza kijana flani ambaye ni dereva boda
"30,000 lakini faida 10,000" alijibu mama Amina
"Sasa sikikiliza.  Mimi nakupa 50,000 leo"
"Za nini? "
"Nipe mzigo.  Mara moja tu"
"Nani kakwambia najiuza? ebu niondokee kabla sijakuaibisha" alifoka 
(Dereva boda akaondoka kwa aibu)
Misimamo yake ilifanya baadhi ya wateja kupungua wakidai anaringa sana. Kitendo cha wateja kupungua kilisababisha mtaji wake kukata. Alianza kusuasua katika biashara,  leo alipika supu kesho hakuonekana! hali ilikua ngumu. 
Sio hivyo tu, mama mwenye nyumba Alidai kodi yake.  Tena ilikuwa kodi ya miezi mitatu ambayo alikaa pasipo kulipa. 
"Nakwambia kesho usipolipa unahama kwenye nyumba yangu" alifoka mama mwenye nyumba. 
"Kesho nitalipa"
"Ulipe utoe wapi?  We kila siku umekuwa wa kuomba msamaha tu. Ondoka ukapange sehemu nyingine"
Ilikuwa ni mshike mshike ndege tunduni.  Amina alitazama tu jinsi mama yake alivyoteseka. Kama mama alishindwa mtoto angefanyaje?  Ndio hivyo sasa.
Kelele za kodi zilimuumiza masikio mama Amina.  Aliamua kwenda kukopa pesa (20,000).  Yeye na mwanae waliamua kwenda kazini. Kama kawaida yao, majira ya saa moja usiku waliingia kijiweni.  Utata ulikuwa kwenye vazi alilovaa mama Amina. Usiku huo alivaa vazi jepesi mno. Alifanya vijana wa kijiweni wajazane wakimeza mate hovyo hovyo.  
Mama na mwanae waliangaika na supu hadi saa tano usiku. Licha ya supu kuwa chache lakini haikuisha.  Wateja walisusa kwa sababu muuzaji anabania mwili wake.  Hali hiyo ilimchanganya mama amina.
Mawazo ya kodi yalimjia,  alikumbuka pesa ya mkopo,  Pesa ya matumizi; kichwa kilimuuma. Masaa yalipotea,  watu walianza kuondoka pale kijiweni. Mama Amina aliogopa kurudi nyumbani! Mama wa watu plesha moyoni,  maumivu ya kichwa,  pia alihisi mkojo ukibana. 
Taratibu alipiga hatua kuelekea katika choo cha kike cha kulipia kilichopo pale kijiweni.  Aliingia na kujisaidia. Akiwa anarudi ghafla alidakwa mkono akavutwa pembeni.



*SEHEMU YA PILI*

Mawazo ya kodi yalimjia,  alikumbuka pesa ya mkopo,  Pesa ya matumizi; kichwa kilimuuma. Masaa yalipotea,  watu walianza kuondoka pale kijiweni. Mama Amina aliogopa kurudi nyumbani! Mama wa watu plesha moyoni,  maumivu ya kichwa,  pia alihisi mkojo ukibana. 
Taratibu alipiga hatua kuelekea katika choo cha kike cha kulipia kilichopo pale kijiweni.  Aliingia na kujisaidia. Akiwa anarudi ghafla alidakwa mkono akavutwa pembeni.
Kwakuwa ilikuwa ghafla, alikosa nguvu, alijikuta akivutwa hadi ndani ya choo. Alishtuka kukutana na jamaa la miraba sita. Walitazamana, mama Amina alifura kwa hasira! Kwanza huyo jamaa hakumfahamu, alafu hakujua kwanini kavutwa hadi chooni. 
"Unataka nini?"
"Mama Amina, ina maana hujui nini nataka kwako?"
"Ndio sijui"
"Mimi nakutaka wewe"
"Kwahiyo mimi sina hadhi ya kuitwa mwanamke bora kiasi kwamba umenivamia na kunileta chooni? Mapenzi gani hayo ya kunipendea chooni?"
"Nisamehe! Ila ndio hivyo...kwahiyo inakuaje?"
Mama Amina alimtazama huyo jamaa, alimkunjia sura nusura amzabe vibao. Japo muhuni alikuwa ni mpiga vyuma lakini mama Amina wala hakuogopa! Yeye kama changamoto za maisha anazijua. Hakutishika kwa mwili wa gym. Taratibu aligeuka akitaka kuondoka, yule jamaa aliziba mlango!
"Wewe kaka usitake kunitafutia dhambi"
"Dhambi ya nini mama Amina! Mi nakupenda"
"Sikatai kupendwa ila kwanini uniheshimu? Mimi wa kutongozwa chooni?"
"Hapana...alafu ebu tuache mambo mengi, mimi nataka nikuongezee mtaji"
Jamaa aliingiza mkono mfukoni, alitoa pesa kama laki moja hivi. Akiwa anatabasam alimkabidhi mama Amina zile pesa lakini zilikataliwa. Mama Amina aligundua lengo la jamaa, kitendo cha kupokea pesa hizo ni sawa na kumkubali huyo mwamba. Hakupokea pesa ila alimsukuma jamaa ili aondoke. 
"Hutaki laki moja?"
"Kama nimeandikiwa kuipata hiyo laki, ipo siku nitaipata ila sio kwa njia mbovu"
"Umbo lako, mwili wako, shepu yako, uzuri wako haufanani na maneno yako. Hufanani kabisa kuishi maisha magumu. Sijui kwanini unateseka na kuuza supu! wewe ilibidi umiliki biashara kubwa kubwa zenye mtaji wa million 5, sita au saba"
Mama amina alimtazama jamaa usoni, alimcheka. Alimtazama tena kuanzia chini hadi juu, alimshusha na kumpandisha! Alimnyali kidogo kisha alimuuliza;
"Kwani wewe unafanya kazi gani?"
"Mimi ni dereva boda"
"Hiyo pikipiki ni yako?"
"Ndio yangu mwenyewe"
"Ulinunua bei gani?"
"Million 2"
"Mi nilijua una biashara za million 5, sita au saba! Kumbe unamiliki boda boda ambayo inahitaji kuchapa kazi kuliko kunisumbua mimi. Unaonaje hii laki moja unayotaka kunipa nenda kaanzishe biashara nyingine ili usitegemee boda boda pekee?"
Jamaa hoii! Huyo ndiye mama. Japo maisha yake ni ya shida ila ana kiburi cha maendeleo, mwanamke wa msimamo na mchapakazi. Laiti kama angeamua kuutumia mwili wake kupata pesa, mbona angekuwa tajiri! Ila basi tu aliamua kutohutumia mwili wake. 
"Naomba nipishe nipite"
"Kama hutaki kunipa, sikupishi"
"Nikupe nimekuwa mkeo? Alafu nitapiga kelele za ubakaji hapa!" mama Amina aliwaka
"Tena ikiwezekana naweza kukubaka kweli! Au huniamini? Sasa subiri"
Jamaa alimkamata mama Amina kisha alipandisha mikono hadi kwenye kifua, alibahatika kushika zile embe dodo, wakati akitaka kuminya; alisukumwa hadi ukutani, aligongeshwa ukuta. 
Mama Amina aligeuka kisha alishika kitasa akitaka kukimbia. Lakini kabla hajafungua mlango, alivutwa nyuma kisha alilambwa kibao cha nguvu, alidondokea chini. 
"Unataka kushindana na mimi?" Jamaa aliongea akiwa na hasira
"Tafadhari naomba niache"
"Nakuuliza tena, utatoa kwa hiari yako au nikubake?"
"Sitoi na hunibaki"
Jamaa alivuta kanga ya mama Amina, aliitupia pembeni. Mama wa watu alibaki na kigauni pekee, kigauni chenyewe kilikuwa kifupi. Tayari alizidiwa, kwa mbali aliona dalili zote za kubakwa! Japo hakutaka swala hilo litokee lakini alishindwa kujiokoa. Aliona bora apaze sauti!
"Jamani anataka kunibakaaa"
Ilikuwa ni sauti kauli. Alidhani kuwa watu waliopo nje watasikia, lakini zilipita dakika mbili pasipo msaada wowote. Kumbe sauti iliishia humo humo chooni. Mama wa watu alianza kulia kwa uchungu! 
"Vua chupi kabla sijakuvamia"
"Sivui..tafadhari niache...niache nakwambiaaaaa"
Jamaa alimvamia tena mama amina, alimziba mdomo kisha alipitisha mikono chini kwa chini, alianza kupapasa makalio ya mama huyo. Mkono ulipanda hadi kifuani kisha ulishuka chini hadi kwenye chupi, alikamata chupi akitaka kuitoa. 
Mama Amina alibana mapaja kisha alijitahidi kumsukuma jamaa ili chupi isivuliwe, alifanikiwa kumsukuma ila hakufanikiwa kutoka ndani ya chumba. 
"Kwani we unataka nini? " aliongea akiwa analia
"Nimekupa pesa tufanye kwa amani lakini hutaki. Unataka nini zaidi ya kubakwa?"
"Kama una pesa kwanini usiende kununua makahaba huko buguruni?"
"Wewe mwenyewe ni kahaba vile vile, sema muda wako bado tu"
Mama Amina aliwaza jinsi ya kujiokoa, alikumbuka kitu. Alikumbuka kuwa mfukoni alikuwa na kisu kidogo, kisu ambacho uwa anakitumia kwenye shughuli yake ya kuuza supu. 
"Usiniguse, nitakufanyia kitu kibaya"
"Ah ah ah! Mimi mwenzio ni jambazi mkubwa sana hapa buza, naweza hata kukuua endapo utaleta usumbufu"
Kwa mara nyingine jamaa alimvamia mama Amina kisha alimbana kwa nguvu. Alishika chupi kisha aliivuta kwa nguvu hadi ilichanika. Baada ya kuondoa chupi hiyo, alifungua zipu ya suruali yake, mashine ilichomoka nje ikiwa imesimama vibaya mno! Aliseti mitambo akitaka kuchomeka! Lakini kabla hajafanya hivyo, alishtuka akishikwa zile nyanya mbili. 
Mama amina alishika nyanya za watu. Alizivuta kwa nguvu nusura azinyofoe! 
"Wewe unaniumizaaaaa" Jamaa alipiga ukelele!
"Unaniacha niondoke au niyakate haya makendelu yako?"
Hapo sasa mama Amina alizamisha mkono mfukoni kisha alichomoa kisu.


*SEHEMU YA TATU.* 

"Wewe unaniumizaaaaa" Jamaa alipiga ukelele!
"Unaniacha niondoke au niyakate haya makendelu yako?"
Hapo sasa mama Amina alizamisha mkono mfukoni kisha alichomoa kisu! 
*****
Amina alikaa sana kule nje akimsubiri mama yake. Dakika nyingi zilipita pasipo mama yake kuonekana. Hata hivyo hakuwa na shaka, alihisi labda mama yake anaumwa tumbo ndio maana kachelewa kutoka chooni. Binti wa watu aliendelea kusubiri. 
"Ila mbona anachelewa sana? Hata kama anaumwa, ndo ugonjwa gani huo?" Amina aliwaza. 
Alisubiri sana ila mwisho aliingiwa na wasiwasi, aliona ni bora akapate uhakika wa mama yake. Alilipiga hatua kuelekea chooni, alifungua choo kimoja badala ya kingine akimtafuta mama yake. 
"Mamaaaa....mamaaa...mama upo wapi?" Amina aliita.
Licha ya kuhangaika kuita lakini mama hakuitika. Na ukizingatia vyoo vilikuwa vingi! Si unajua vyoo vya kulipia. 
Hakuchoka aliendelea kuita. Sasa akiwa anamtafuta mama yake, kumbe wahuni walikuwa wanamlia taiming! Amina akiwa hana hili wala lile, alifungua mlango wa choo kisha alizama ndani ili akague kama kuna mama yake. Lakini badala ya kukutana na mama yake, alishtuka kukutana na vijana wawili wa mtaani! wahuni walifunga mlango, mmoja alimkamata Amina kisha alimziba mdomo. Mwingine alihangaika kutoa viwalo vya Amina! 
Alifanikiwa kuondoa sketi, alihamia kwenye chupi. Hapo sasa Amina hakukubali, alijitahidi kupambania nafsi yake! Aling'ata mtu meno kisha alipiga mtu teke, alitaka kukimbia lakini alidakwa alirudishwa ndani!
"Mtoe chupi chap tumalize kazi" aliongea muhuni mmoja.
***
Kule kwa Mama amina, yeye bado alishika makendelu ya mtu. Hakutania, usoni alichafukwa kwa hasira. Aliona kama kufa bora wafe  wote!. Jamaa baada ya kuona kisu, aliogopa. 
"Nisamehe mama Amina unaniumizaaa"
"Nakuambia nitayakata haya ....ondoka fasta...kimbia"
Jamaa alisimama akiwa anatetemeka, alishika kitasa, alifungua mlango kisha alitimua mbio. Hiyo ndiyo ilikuwa pona pona ya Mama Amina! alipiga magoti alishukuru, alitazama kisu chake kisha alikibusu! 
"Yaani isingekuwa hiki kisu, sijui ingekuwaje"
Aliweka kisu mfukoni, alifuta machozi kisha alitoka nje. Lakini kule nje alishtuka kukuta vyombo tu, mtoto wake hakumuona! 
"Aminaaaa" Aliita akiwa anamtazama huku na huko, hakumuona. 
Mama alipiga mahesabu mwanae kaelekea wapi. Lakini kuna kitu alihisi, fasta aligeuka kuelekea chooni. Alikimbia hadi ndani ya vyoo, kwa mbali alisikia;
"Wananibakaaa"
Weuwee! Mama Amina alicharuka kama mbogo! Alikimbia kuelekea kwenye choo ambacho sauti ya mwanae ilisikika. Yaani hakutaka kuuliza, moja kwa moja alisukuma mlango kwa nguvu, mlango ulifunguka! alikuta wahuni wakipambania kombe la ubakaji. Bila kupoteza muda alichomoa kisu chake!
"Muacheni kabla sijaua mtu" Mama aliwaka
Wahuni kuona hivyo walimuachia Amina, uzuri ni kwamba japo Amina alikuwa uchi lakini hakuingiliwa. 
"Ondokeni" 
Jamaa walikimbizana kuelekea nje. Mama amina alimtazama mwanae, alimuonea huruma. 
"Vipi wamekuingilia?"
"Hapana"
"Sema ukweli"
"Sijaingiliwa ma-ma...ila walitaka ku-niba-ka" aliongea akiwa analia kwa kwikwi.
"Pole mwanangu, vaa nguo tuondoke"
Amina alivaa nguo zake kisha waliondoka. Walichukua vyombo vyao walirudi nyumbani. 
**
Baada ya wao kufika nyumbani tu, kabla hata hawajaingia chumbani kwao, mlangoni walikutana na mama mwenye nyumba; vurugu za kodi zilianza, maneno yalianza;
"Naona umetoka kazini, haya nipe pesa yangu" Mama mwenye nyumba alikoroma. 
"Ni kweli nimetoka kazini lakini bado nakusanya, kesho nikienda tena nitakamilisha kisha nitakupa pesa yako"
"Mama Amina ujue nimekuvumilia hadi nimechoka? Nakuambia kesho usipolipa unahama hapa nyumbani"
"Nitajitahidi nitalipa"
"Sio kujitahidi, nataka unipe! Unaishi bure kama unaishi kwako..yaani pesa ya kodi tu huna; je utaweza kujenga kweli?"
Mama mwenye nyumba aliwasha moto, si unajua wapangaji wanavyopenda umbea! Basi wote walikusanyika, walisimama mlangoni wakisikiliza. Wengine toka nyumba za jirani nao walijikusanya ili wasikilize, mambo yalikuwa mambo! 
"Haya na pesa ya bili ya maji je? Umelipa?"
"Bado"
"Au wewe ndo mmiliki wa idara ya maji? maana nakuona unajisahaulisha."
"Nitatoa"
"Ndo utoe, na kesho zamu yako kununua umeme"
Mama mwenye nyumba alimaliza, aliondoka kuelekea chumbani kwake. Mama amina na mwane waliingia ndani, mama alianza kulia! Mtoto nae aliamua kulia akimbembeleza mama yake. Walibembelezana hadi walitulia! 
Mama amina alibadili nguo kisha alitoka nje, alielekea bafuni. Baada ya kuoga, akiwa anatoka bafuni mara alivutwa mkono pembeni! alishtuka kukutana na baba mwenye nyumba, mzee Kisokolo.
"Mama Amina vipi?" Mzee Kisokolo aliongea kwa sauti ndogo
"Safi" Alijibu kinyonge
"Vipi unaumwa?" 
"Hata siumwi"
"Au ndo unawaza bill ya maji, umeme na kodi ya nyumba? Usijali mimi nataka kukusaidia kama utanisaidia. "
Mama Amina alikodoa macho, alimtazama mzee Kisokolo ambaye alikuwa anatabasam. Mama wa watu akiwa amezubaa, alishtuka akishikwa kiuno, mara alishikwa tako, Uwiii! kumekucha


*SEHEMU YA NNE*

"Au ndo unawaza bill ya maji, umeme na kodi ya nyumba? Usijali mimi nataka kukusaidia  kama utanisaidia. "
Mama Amina alikodoa macho, alimtazama mzee Kisokolo ambaye alikuwa anatabasam. Mama wa watu akiwa amezubaa, alishtuka akishikwa kiuno, mara alishikwa tako, Uwiii! kumekucha. 
"Mzee Kisokolo usinishike kiuno"
"Hutaki nikusaidie?"
"Kwahiyo ndo hadi unishike hapo?"
"Tatizo lako ni hiyo misimamo yako ya kijinga..utakufa umaskini"
Mzee Kisokolo aliongea akiwa amechukia, ni baada ya kukatazwa kushika kiuno. Mama Amina baada ya kuona hivyo, aliogopa kidogo. 
.
"Kwani ulikuwa unatakaje?" 
"Hayo ndio mambo ya kuongea, mimi nataka nikusaidie pesa za kodi"
Mama Amina alisikia hayo maneno lakini hakutaka kujibu, alitulia. Lakini kwa mbali alishikwa mapaja. Safari hii Mzee Kisokolo alisogea karibu na mwili wa mama Amina, alifanya kama anamchombeza vile!
"Mama Amina"
"Abee"
"Nipe mara moja kisha nitakupa pesa za pango ambazo unadaiwa."
"Ah mi siwezi"
"La sivyo nitamsisitiza mke wangu akuondoe. Si unamjua alivyo na maneno...we nipe kidogo tu"
Mzee Kisokolo alipandisha mkono wake hadi kifuani kwa mama Amina, alibinya embe moja, mama Amina alishtuka ila alitulizia. Mzee baada ya kuona mama Amina katulia, alijua dili limefanikiwa! Hapo sasa alitazama huku na huko, hakuona mtu. Taratibu alishusha mkono hadi kwenye chupi ya Mama amina, alitaka kusugua lakini mapaja yalibanwa. Mzee alisogeza mdomo wake akitaka mate lakini alisukumwa. 
"Ebu niache, naomba tuheshimiane"
"Kwahiyo umenisukuma mimi? Kumbe unijui, nakwambia kesho ukirudi kazini kwako utakuta vyombo vyako nje! "
Mzee Kisokolo aliondoka akiwa amechukia. Mama Amina alifikiria kwa muda, aliwaza na kuwazua lakini hakupata jibu. Pole pole alipiga hatua kuelekea ndani chumbani kwake. Amina nae alioga, walipika, walikula na kulala. 
**
Kulikucha asubuhi na mapema, wao ndio walikuwa watu wa kwanza kuamka. Walielekea machinjioni kununua nyama kwa ajili ya kuuza supu. Baada ya kununua walirudi nyumbani ambako walianza maandalizi. 
Jioni kama kawaida walijiandaa kwenda kwenye kijiwe. Lakini kabla hawajaondoka, walipigwa biti na mama mwenye nyumba;
"We mama Amina, leo usiporudi na pesa nakuhamisha usiku usiku. Umenielewa"
"Jamani mama Kisokolo nitakupa"
"Nimesema hivi, nenda huko kazini kwako: ila baadae nataka pesa yangu! La sivyo leo utalala jalalani, mxiew!" Maza house aliondoka akifyonya. 
Amina na Mama yake walichukua masufuria na vifaa vyao, waliondoka kuelekea kazini. Chapati zilitengenezwa, watu walikunywa supu na chapati. Siku hiyo aliuza sana, yaani hadi inafika saa nne usiku tayari walikuwa wamemaliza chapati na supu. Walihesabu pesa walikuta kibunda kimejaa!
"Afadhali leo nikalipe billi, nikanunue umeme kisha nikapunguze Kodi ya nyumba"Mama Amina aliongea akiwa anatabasam.
"Leo wateja walikuwa wengi sana" Amina alimwambia mama yake
"Ni kweli..biashara ndivyo ilivyo, leo wateja kesho hakuna! Muhimu uvumilivu tu"
"Sawa mama, basi tuondoke"
Walikusanya vyombo kisha walijitwika kichwani, walianza kuondoka. Mkononi mama amina alishika pochi yake ya fedha. Sasa wakiwa njiani kuelekea kwao, kabla hata hawajafika mbali; kibaka mmoja alikimbia kwa nguvu kisha alikwapua mkoba wa pesa wa mama Amina!
"Jamani mwiziiii...pochi yanguuu...pesa yanguuu..."
Mama amina akiwa analia, alidondosha vyombo kisha alikimbia mbio akimfukuzia yule mwizi. Pesa yenyewe ndo hiyo hiyo ambayo aliitegemea, alafu iibwe kirahisi, hakutaka kukubali. Kwa kuwa ilikuwa usiku, watu wengi hawakuona tukio hilo, wala hawakumsikia mama Amina, walimpotezea. Amina yeye alikaa chini akimsubiri mama yake.
Yule mwizi alikimbia kuelekea mpenyoni, mama amina naye alipita huko huko, alijitahidi kumkimbiza lakini alimkosa. Mama wa watu alikaa chini akianza kulia, alilia machozi ya uchungu na huruma! Katika maisha yake; likitoka hili, linaingia lile, yaani bandika bandua! 
"Pesa yangu mimi jamani...pesa ya kodi...pesa ya bilii...uwiii leo nitafukuzwa kwenye nyumba za watu mimi jamaniii....nakufaaaa nisaidieniii" Alilia akigalagala pekeyake. 
Hakuna aliyemsikiliza, watu walikuwa ndani ya nyumba zao wakifurahia maisha yao. Mama amina baada ya kulia sana, licha ya kwamba hakuridhika lakini alimkumbuka mwanae. Alirudi aliko mwanae, walikusanya vyombo kisha walirudi tena kijiweni, walikaa chini. 
"Mama mbona tumerudi tena hapa..si bora twende nyumbani tukapumzike"
"Kule wanataka pesa, na pesa ndo hiyo nimeibiwa! Bora tuchelewe kwenda, ikiwezekana tusiende kabisa..la sivyo tutafukuzwa leo"
"Sasa tusipoenda tutalala wapi?"
"Mi sijui mwanangu..hapa nilipo kichwa kinauma sana"
Mama wa watu alifuta machozi, ama kweli dunia haina huruma. Alifikiria wapi atapata hizo pesa, akakope wapi? akamkope nani? kwanza hapo alipo ana madeni kama yote! 
"Amina nisubiri, naenda chooni"
"Sawa"
Alisimama alielekea chooni ili akapunguze mawazo. Kule chooni hakujisaidia wala nini, alitulia akiwaza mfumo wa maisha yake.
Lakini ghafla  mlango wa choo ulifunguliwa kwa nguvu, alishtuka kukutana na sura ya kiume


*SEHEMU YA TANO*
Alisimama alielekea chooni ili akapupunguze mawazo. Kule chooni hakujisaidia wala nini, alitulia akiwaza mfumo wa maisha yake.
Lakini ghafla  mlango wa choo ulifunguliwa kwa nguvu, alishtuka kukutana na sura ya kiume. 
"Kumbe ni wewe mudi." aliongea kwa upole akitetemeka.  
"Usiogope."
"Ah!  we mi naogopa" aliongea akiwa anarudi nyuma. 
Mudi ni dereva bajaji wa buza. Yeye alifahamika sana kwa jina la "gym master". Ni kwa sababu alikuwa akifanya sana mazoezi ya gym pia alitumika kuwafundisha baadhi ya watu namna ya kufanya mazoezi.  Mwili wake ulijazia na kujigawa.  Kila sehemu misuli ilionekana. 
Mama amina licha ya kumtambua mudi lakini bado aliogopa. Kwa hofu alitaka kushika kitasa ili akimbie,  lakini alidakwa na kusogezwa kifuani.  Mudi alipeleka mdomo mdomoni, mama Amina alikwepesha mdomo. 
"Mudi unataka nini?"
"Nimeshuhudia pale nje ukiibiwa pesa...najua kuwa unashindwa kurudi kwako kwa sababu unadaiwa kodi, mimi nataka nikupe pesa."
"Unanipa au unanikopesha?"
"Nakupa bure tu"
"Mh! Kama unanisaidia sawa nitashukuru"
Walitulia kidogo wakitazamana, mudi aliingiza mkono mfukoni alichomoa noti tano za elfu 10, alimkabidhi mama Amina. Kutokana na matatizo, ugumu wa maisha, mama amina aliamua kupokea angalau akampooze mama mwenye nyumba.
Sasa baada ya kukabidhiana pesa, Mudi alianza kuukagua mwili wa Mama amina. Aliukagua kuanzia juu hadi chini, mwanaume alimeza mate.
"Asante Mudi, sikutegemea kama ningepata msaada usiku huu"
"Usijali, kuwa na Amani tu"
"Sawa, mi naondoka. Tutaonana kesho"
Mama Amina aligeuka, weuwee! Mzigo wote ulikuwa machoni kwa mudi, tako lilijigawa sehemu mbili, kusini na kaskazini, pale kati palikuwa na mfereji mzuri, hiyo shepu sasa ni hatarii! Yaani ukiliona tako tu unaweza piga bao moja. Mudi uzalendo ulimshinda, japo alitoa msaada lakini alishindwa kuvumilia.
Mama amina alishika kitasa cha mlango, alikifungua akitaka kutoka. Kabla hajatoka alihisi akishikwa tako, mara mikono ilisugua kiuno, ilipanda juu ilishika matiti, mama wa watu alishtuka akimeza mate ya woga, aligeuka nyuma alikutana na sura ya mudi ikiwa imejaa uchu. Mama amina akiwa anashangaa, alishtuka akinyonywa mate, fasta alijitoa mikononi.
"Mudi umeanza..unataka nini?"
"Nataka unipe"
"Kwahiyo hizi pesa zako hujanisaidia bure?"
"Nimekupa bure, lakini mama amina si unipe mara moja tu? Kwani tukifanya mara moja nani ataona?"
"Tatizo sio kufanya, tatizo hujafuata utaratibu...yani univamie huku chooni alafu utegemee nikupe, si ubakaji huo?"
"Hivi wewe mama amina umezoea kuishi kwa shida? Matatizo umeyazoea au?"
"Kumbe ulinipa hizi pesa ili nikupe mwili wangu, haya chukua pesa zako"
Mama amina alitoa zile pesa kisha alimtupia mudi. Mudi aliokota fedha zake, hakuamini kama zimerudishwa. Kuna wanawake wana misimamo ila mama amina kazidi, alafu msimamo wake haufanani na shepu yake. Kwa kumtazama unaweza sema ni malaya, kicheche, mdangaji, lakini hapana. Ni mwanamke mchakarikaji ambaye alijaaliwa uzuri.  Katika vitu hapendi ni kutumikishwa kingono, ila ndio hivyo tu! Maisha yenyewe yalimkalia hovyo...kila siku shida, vishawishi navyo viliongezeka. 
"Unakataa elfu 50 ya bure?"
"Kama ni ya bure mbona unataka nikupe?"
"Kunipa hiyo kitu ni kwa sababu nakupenda, haiusiani na msaada wangu"
"Basi kama ni hivyo, kesho uje nyumbani tuongee vizuri kuhusu mapenzi"
"Nitakuja, ila mwenzio hapa niko hovyo..ebu cheki huku chini, ona hii ilivyosimama"
Mudi alichomoa mashine alimuonyesha mama Amina. Kitu kilisimama, kilikuwa kikavu kama chuma cha reli! Mama amina alikodoa macho tu. Mudi alishika mashine yake aliizamisha ndani, kisha taratibu alimsogelea mwanamama, alimkumbatia.
"Nipe angalau kimoko tu...hata dakika tano zinatosha, napiga fasta fasta" 
"Siwezi.  Ebu niachie kabla sijapiga kelele"
Mudi hakumuachia. Sasa katika kushikana shikana Mama Amina alihisi anachomwa kitu. alipeleka macho chini katika suruali ya mudi, alikutana na ile mashine ikiwa imetolewa nje. Mama Amina kuona hivyo,  aligeuka tena akitaka kukimbia.  Safari hii alikosea,  tako lote  aliliacha nyuma.  Mudi akalikumbatia na kuliminya!  Kukasikika "Aaah!  jamani mudi niachie hukoo"
Mudi hakutaka mambo yawe mengi.  Kwanza alitaka kumchanganya Mama amina ili asilete ubishi.  Aliingiza mkono mfukoni,  alichukua zile pesa kisha kwa mara nyingine alimkabidhi mama Amina lakini hakupokea. 
"Sitaki pesa yako,  ebu niachie.  Kumbuka Amina ananisubiri kule nje.  Watu waliniona nikiingia huku chooni" 
Mudi hakujali.  Zile pesa alizichomeka katika sidiria ya mama Amina. Alipeleka mkono hadi mbele kwenye utamu,  alipapasa.
"Aah!  Mudi niachie bwanaa" Aliongea kwa sauti kali.
Mudi alishtuka, aliogopa, alimuachia. Mama Amina hakutaka utani, aliona akijilegeza anaweza kuingia mchezoni. Japo mizuka ilimpanda lakini hakutaka kuruhusu tamaa za mwili zitawale kichwa chake, bado hakuwa tayari kutumika.
"Nakuongezea elfu 50 zingine ili iwe laki moja" Mudi aliongea baada ya kuona amekaziwa.
Mama Amina hakujibu, Mudi alichomoa pesa zingine, aliziweka katika sidiria. Mama amina japo alizoea kukataa pesa za wanaume lakini alishindwa kukataa pesa za mudi. Akikataa atalala wapi? Na aliambiwa hasipopeleka pesa ya kodi atatolewa magodoro nje. Alikosa pozi, alikosa mwendo, alikosa maamuzi, alitulia tu. 
Mudi baada ya kuona mtu katulia, alizamisha mkono ndani ya chupi, alianza kusugua taratibu!



Mama Amina hakujibu, Mudi alichomoa pesa zingine, aliziweka katika sidiria. Mama amina japo alizoea kukataa pesa za wanaume lakini alishindwa kukataa pesa za mudi. Akikataa atalala wapi? Na aliambiwa hasipopeleka pesa ya kodi atatolewa magodoro nje. Alikosa pozi, alikosa mwendo, alikosa maamuzi, alitulia tu. 
Mudi baada ya kuona mtu katulia, alizamisha mkono ndani ya chupi, alianza kusugua taratibu! 
Alisugua akiwa anamtazama mama Amina usoni. Mwanzoni mama Amina alionyesha kutopenda, lakini kadri dakika zilivyosogea, kadri alivyosuguliwa alianza kuona hali tofauti, mizuka ilianza kupanda.
"Mudi". Aliita akiwa anafumba macho yake. Utamu ulianza kufika kunako, alihisi chupi yake ikiloana kwa ute . Alianza kupumua juu juu, taratibu alijikuta akimkumbatia Mudi. 
Mudi baada ya kukumbatiwa aliona mchezo umekuwa mrahisi. Japo alikuwa ana uchu wa kufanya mchezo wa kikubwa lakini hakutaka kuwa na haraka. Mama Amina mwenyewe, kutokana na umbo lake, ukisema umuingilie bila hata maandalizi unaweza usimfikishe kokote. Ndio maana Mudi aliamua kutumia ufundi wa kuchezea kile kidude chenye genye, alikisugua kama anapiga gitaa vile, alafu taratibu alizamisha kidole cha kwanza. 
"Ashiiiiii!!! Uuuh". Mama Amina aligugumia akihisi joto sio joto, baridi sio baridi, ilikuwa ni raha tupu. Japo hakutaka kutoa ushirikiano lakini aliuachia mwili wake uchezewe na Mudi. Aliogopa kutoa upinzani hasije akakosa pesa. Tena ukizingatia pesa yenyewe ni laki moja, angewezaje kukataa. 
Mudi aliongeza kidole cha pili, alisogeza ulimi wake katika shingo ya Mama Amina, alianza kuilamba kama ananyonya barafu. Mkono mmoja ulisugua kisim*, mkono mwingine ulibinya matiti alafu ulimi uliendelea kuchezea shingo. 
"Ahhshii Mudii"
"Naam"
"We Mudiii"
"Unasemaje?"
"Mudi jamaniii..." alilalamika akitoa machozi ya utamu. Alikuwa tayari kwa kila kitu, kama mkojo aliumwaga sana, ute aliutoa wa kutosha, alitamani kitu kimoja tu kiingie huko chini. 
Mudi kabla hajaanza kazi, aliomba denda, lilikubaliwa. Walianza kunyonyana mate wakiwa wanagugumia. Ilifikia hatua Mama Amina alishindwa kuvumilia, alishika mashine ya Mudi kisha aliipeleka kwenye papuchi. Hapo sasa Mudi alielewa kuwa mwanamke kakubali mchezo uanze. Lakini kabla hata mashine haijazama ndani, mara kukasikika;
"Mama" ilikuwa ni sauti ya Amina ambaye alikuwa nje ya mlango. Amina aliita akiwa anagonga mlango wa choo.
Mama Amina baada ya kusikia sauti ya mwanae, fasta alishusha gauni lake, alimsukuma Mudi pembeni. Mizuka na nyege zote ziliisha, pumzi zilimtoka kama ametoka kukimbia riadha. Aliogopa hasije akafumwa na mwanae ikawa aibu. Hapendi mwanae ajifunze matendo mabaya ndio maana alimlinda. 
"Mama fungua mlango" Amina aliendelea kuita. Alijaribu kusukuma mlango lakini ulifungwa kwa ndani. 
Mama amina alikausha, hata Mudi alitulia akitazama tu. Walitulia wakisubiri Amina aondoke, lakini Amina hakuondoka, aliendelea kugonga mlango. Mama Amina aliona ni bora atoke ili hasiisiwe vibaya. Taratibu alipiga hatua kuelekea mlangoni lakini alidakwa mkono, alivutwa kisha alipigwa mate.
"Unataka kwenda wapi?" Mudi aliuliza kwa sauti ya chini. 
"Niache..we husikii sauti ya Amina?"
"Kwahiyo unataka kuondoka kwa sababu ya Amina?"
"Sasa kumbe? Ebu niache bwana"
"Na pesa yangu vipi?"
Hapo kwenye pesa ndo penye utata. Yaani aanze tu arudishe pesa, akirudisha atalala wapi? Atakula nini? Atalipaje bill? Mama Amina alikosa jibu. Wakiwa wametulia walisikia vishindo vya miguu ya Amina akiondoka pale mlangoni.
"Mwanao huyo anaondoka, haya nipe sasa"
"Sawa, lakini tayari amejua kuwa nipo humu."
"Sasa hata akijua kwani kuna tatizo? we si unanipa tu"
Mudi aliongea akipandisha gauni, Mama Amina alizuia. Mudi alipeleka mkono kwenye papuchi, Mama Amina alibana mapaja. Mudi alijaribu kuomba denda, mama Amina alikwepesha mdomo!. 
"We vipi? Basi nipe pesa yangu...nimekupa laki moja alafu unataka kunizingua?"
"Sio hivyo Mudi, mi naogopa Amina atajifunza tabia mbaya"
"Hivi wewe yule Amina unamuona mdogo?"
"Sasa ni mkubwa yule?"
"Ah ah ah! Yule ni mkubwa kuliko hata wewe. Hakuna mchezo ambao haujui. Hakuna namba ambayo hawezi kucheza.  Anacheza mbele na nyuma"
"Una maana gani?"
"Ipo siku utajua tu. Ebu niambie, unanipa au hunipi?"
""Nikuambie kitu Mudi?"
"Sitaki mambo ya kuambiana..we nipe mzigo, kama hutaki nipe pesa yangu. Na ukizingua nadhani unajua vurugu zangu" 
Mudi aliunguruma. Mama Amina japo pesa aliitaka lakini akili yake tayari ilibadilika. Hakutaka tena kutoa mambo hayo, aliona kama anajidhalilisha mbele ya mwanae. Alipiga mahesabu jinsi ya kumkwepa Mudi, alipata wazo.
"Kukupa nakupa"
"Ndio unipe sasa"
"Ila sitaki tupeane humu ndani"
"Sasa unataka tukapeane wapi?"
"Kesho utanicheki, tutaenda kufanyia  gesti."
"Aah habari hizo ndio sitaki. Yaani pesa nikupe leo alafu huduma ifanyike kesho?"
"Lakini kumbuka mimi sio mtoa huduma. Nafanya hivi kwaajili yako tu...tatizo unanichukulia kama kahaba vile"
"Sio hivyo mama Amina, mimi hapa nilipo nipo hovyo...we mwenyewe unaona hali yangu"
Mama Amina alikosa pozi. Alijitahidi kujitetea lakini ilishindikana, alikosa cha kufanya. Mudi alijaribu tena bahati yake, aliomba mate yalikubaliwa, walinyonyana kidogo kisha alimgeuza mama Amina, alimuweka kifo cha mende, hakutaka tena kupoteza muda, alishika mashine akitaka kuichomeka. 
Ama kweli ng'ombe wa maskini hazai. Yaani kabla hata hajachomeka, kukasikika tena;
"Mama jamani kwani unafanya nini? Tunachelewa..mi nimebaki pekeangu huk u nje, naogopa" ilikuwa ni sauti ya Amina akisukuma mlango kwa nguvu. 
Mama Amina alikurupuka tena, alijiweka sawa kisha alimtazama Mudi usoni, alimpiga mabusu ya mdomo alafu alimwambia;
"Naomba nisubiri huku chooni"
"Unaenda wapi?"
"Nataka nimpeleke Amina nyumbani kisha nitarudi tena" 
"Acha uongo wako..mimi siwezi kukubali"
"Sikudanganyi...nakuja kweli"
"Kama ni kweli fanya hivi, nipe simu yako na pesa elfu 50. Wewe nenda, ukirudi utanikuta hapa nikiwa na hivyo vitu"
"Eeeh Mudi nawe kwahiyo huniamini?"
"Kwenye pesa hakuna kuaminiana..wewe nipe simu yako na elfu 50 ambazo nilikupa."
Mama Amina alifikiria akaona freshi tu, alitoa kiswaswadu chake pamoja na pesa elfu 50 alimpa Mudi. Yeye alibakiwa na elfu 50.
"Hapo sasa unaweza kwenda. Mimi utanikuta hapa hapa"
Mama Amina alifungua mlango alitoka nje, alikutana na mwanae akiwa amekasirika. Alimshika mkono walielekea nje.
"Sasa huko chooni ulikuwa unafanya nini?" Amina aliuliza
"Tumbo linanisumbua...yani hapa nahisi homa ya ajabu"
"Ina maana ulikuwa husikii nikikuita?"
"Hata sikusikia"
"Mbona nilisukuma mlango, hukuona?"
"Niliona ila sikujua kama ni wewe, nilikosa nguvu za kufungua mlango..nisamehe, ebu twende"
Walibeba vyombo vyao kisha walirudi nyumbani. Yaani ile wamefika tu, walikutana na mama mwenye nyumba akiwa kasimama mlangoni. Kabla hawajakaa sawa maneno yalianza;
"Nipe pesa kabla sijaanza vurugu"
"Jamani si usubiri niingie ndani kwanza?"
"Ndani ukafanye nini? Tena mume wangu kanisisitiza kama ukishindwa kutoa pesa, nikufukuze muda huu huu"
Mama Amina hakutaka mabishano mengi, alichukua ile elfu 50 kisha alimkabidhi Mama mwenye nyumba. Maza house mwenyewe alivyo na domo, alizitazama zile pesa aliona hazitoshi.
"Hivi viela unampa nani? Yaani unadaiwa 105, 000 alafu unanipa elfu 50? We unaumwa kweli, ebu shika pesa yako"
"Samahani, si unajua kazi yangu yenyewe ya kudunduliza pesa, kesho nitakumalizia. "
"We usiniletee uswahili kwenye nyumba yangu. Hapa kodi ya nyumba bado nakudai elfu 40. Umeme elfu 10 na maji elfu 5. Ili nikuruhusu, maliza kwanza kodi ya nyumba"
Mama Amina alifikiria, kule kwa mudi aliacha elfu 50 aliona ni bora akaichukue hiyo pesa ili amalizie kodi. 
"Sawa, naenda kukuchukulia hiyo pesa"
"Fanya haraka nakusubiri" Mama mjengo aliongea akielekea chumbani kwake.
"Amina mwanangu, shika ufunguo nisubiri..mimi naenda kumtafutia pesa yake"
"Mama hiyo pesa utapata wapi usiku huu?"
"Hata usijali, nitaipata tu"
Mama Amina alitoka nje, alimfuata Mudi. Alifika hadi kule kijiweni, hakumuona Mudi. Taratibu alipiga hatua kuelekea chooni, alimkuta. Yaani ile kuonekana tu, Mudi aliomba mate, yalikubaliwa. 

Full shilingi 1000

kslprojects

kslprojectstz@gmail.com Entrepreneurship Power

Post a Comment

Previous Post Next Post