TAHADHARI ⚠️ KATIKA TOVUTI /APP HII HAKUNA SEHEMU YA KULIPIA ONLINE UKIHITAJI MWENDELEZO WA SIMULIZI BONYEZA HIYO BUTTON YA WHATSAPP AMA ANGALIA NAMBA YA MTUNZI WA SIMULIZI HUSIKA KATIKA SIMULIZI HIYO

LIVIA 03

Story.... *LIVIA* 

SEHEMU YA 3


Nilijitahidi kupurukushana lkn alinishinda nguvu,alinibana akaanza kuingiza dudu lake kwangu,nilipiga kelele lkn hakuna mtu alieskia mana mziki wake ulikua juu sana,nililia sna,sikuamini nabakwa mm huku sijawahi kabisa mjua mwanaume,hakeem hakuwa na huruma alifanikiwa kuingiza sasa ndipo maumivu yalizidi,akasema bby mm nakupenda sana nakuoa mm wala sikuchezei huna sababu ya kulia na kunipiga mm ndio mmeo mama si unaona imeshaingia mpenzi wangu,niliambiwa hujawahi guswa kumbe kweli nafuraha sana nakupenda sana,sasa tulia mpenzi haina haja ya kulia wala kunizuia mana imeshaingia ww tulia uskie utam sawa,nilimsonya huku naendelea kulia,aliendelea kunitia huku akigugumia ni wazi alifurahia wakati mm namchukia kabisa namuona kama mbakaji asie na moyo,nilichukia san asana,hakuniacha aliendelea kunitia hadi akakojoa,akaganda juu yangu kisha akaniachia,mm nilikua nalia mno,akanyanyuka akasema mtoto mzuri halafu umetulia Mungu anipe nini mm hakeem,nakupenda sana livia wangu,usinichukie mama,mm nakuoa sawa,sikutaka hata muona,nilikasirika mno,nilijizoa zoa na ngua alinichania hivo nikawa sina za kuvaa zaidi ya blauzi ndio ilipona,nikasema nataka kuondoka zangu mm sitaki kukaa hapa na wewe,akasema bby kwa nini hutaki sasa mpenzi mm nataka nikucheleweshe ili ukafukuzwe kwenu nikuoe ndoa ya mkeka wewe unataka habari za kuondoka?nikasema hakeem unasemaje wewe?Una akili zote wewe kweli au una matatizo?mm sibaki hapa nataka kuondoka zangu ukiendelea nibakiza hapa nitakachokifanya hutanisahau maishani,nakwambia watakuta maiti humu ndnai,nakuchukia sana wewe mwanaume sitaki hata kukuona nataka kuondoka nipe nguo zangu,hakeem alijua nimekasirika mana nilikua naongea huku nalia,akavaa nguo akatoka nje,akarudi na dela jipya  na chupi akanipa,nikachukua nikavaa nikaondoka zangu nikiwa nimekasirika sana.nilienda moja kwa moja dukani mana niliogopa kwenda nyumbn ningesema nini na bdo ilikua mapema sana ,nikakuta yusta yupo zake dukani alivoniona aksema wewe mbona umekua mwekundu usoni kuna nn?na macho yamevimba hivo kulikoni?unanitisha kuna nn?nikasema najuta sana mm kwenda kw ahakeem mshenzi mbwa Yule alichonifanyia mm?sina ham.yusta akasema kakufanyaje sasa?mbona sikuelewi kakufanya nn?nikasema kanibaka yani kanifanya bila idhini yangu mm nilijua anaumwa na ww ukanishawishi hivo kumbe mshenzi mzima alikua na nia yake ovu simtaki simtamani hata kumuona mshenzi Yule,yusta alicheka nilimshangaa mm nalia yeye anacheka?nikasema kinachokuchekesha nini?akasema dia mara ya kwanza huwa hivo na hakeem anataka kukuoa ulikua unamzungusha sana ndio mana,unajua anajua wanaokufata ni wengi sana ukianza na Yule mwarabu wa duka la urembo anakutaka usiku mchana haya Yule mpemba nae anakutaka huyo hapo duka la nguo za watoto ndo halali hali anakutaka yy kajiongeza wala usimchukie kumbuka na ww ulikua unampenda mpenda,nikasema sio kunibaka mm nilitaka mtu anioe ndio anifanye sasa mm simtaki,yusta akasema lkn…..nilimkatiza nikasema inaonesha ww umefurahia mm kilichonikuta na lako moja na Yule mshenzi sasa sitaki mskia nimemaliza,yusta akasema samahani dia sio hivo basi sitomuongelea tena.nilinuna nikakaa zangu kimya pembeni,hakeem likazana kunitumia msg za msamaha na kuniambia ananipenda sana hawezi niacha nimsamehe na nimpe nafasi,nikaona kero nikamblok,jioni ilifika nikarudi nyumbn nikiwa na mawazo sana,sikupenda kilichotokea hata kidogo lkn sikua wanaamin kama kweli mm sasa sina usichana na nimetolewa kwa kubwakwa,nilivunjika sana moyo wnagu kwani sikua tena na sifa za kuitwa nimetulia kwa mwanaume,siku iliofata sikwenda sukani nilibaki nyumbn nilisema naumwa lkn sikutaka tu kwenda,ila iliofata nikaenda,mid aya mchana nililetewa chakula kama kawaida na mhudumu aliekua anatumwa na hakeem nilikataa,akakirudisha,yusta aakasema dia najua unamchukia hakem lkn ndio mwanaume wako wa kwanza,ameshakufaidi na bado anakutaka sasa ww unafkir nani atakutaka tena na tunda lishaliwa hilo?ni bora uwe na alielila tunda lako mana atakuheshimu na kukupenda si tunda kala mwenyewe,ukimchukia haikusaidii nashukuru mtu kakula na anakutaka wengine wangekuachilia mbali,nilimtizama nikaona kama wazo lake ni la kweli,mana naringa naringa nini nishaliwa?kweli mwanaume mwingine ataniona mm Malaya bora niendleee nae kweli,nikasema aliniudhi sana,akasema ndio najua alikuudhi sana n amenituma nikupe bahasha hii hapa anasema anakupenda san asana anataka kukuoa,nikasema lkn mm siko tayari kuolewa kwa sasa nay eye nimemuona maisha yake bado anajikongoja bora tutafute kwanza pesa,akasema hayo ndio ya kuongea nae sasa dia,unamkataa mtu ashajilia kitumbua kitamu acha hizo,nikacheka nikachukua ile bahasha,nilifungua nikakuta kun ash elf 50 na kibarua,nikasoma ameandika mpenzi wangu livia,najua nimekuumiza sana kwa nilichokifanya lkn naomba tambua sikufanya kwa nia mbaya nilifanya ili tu nikupate na uwe wangu,mm sina nia mbaya na wewe nina nia nzuri tu na niko tyr kukuoa hata sasa hivi sababu wewe ni mwanamke wa pekee kwangu,nakupenda umejitunza nakuheshimu sana,naomba sana nisamehe mke wangu naomba punguza hasira tuongee tupange maisha yetu,nimepata kiasi hiko kidogo cha pesa naomba nunua kitu chochote ulichopungukiwa najua hio ni pesa ndogo sana kwako ukifananisha na ulivo mzuri,najua wanakutaka wengi wenye pesa lkn mm nimejitahidi kupata hiko na kukupa kwa moyo w angu wote,nakupenda sana,n mm mme wako hakeem.nilijikuta nafurahi eti,nikatabasam yusta aksema sasa je?mapenzi matam sana nyie mjue?na mnapendezana sana na raheem yeye mweusi mrefu wewe mweupe mrefu kidogo mkizaa mtoto weee atakua mzuri mnoo,nikasema nipishe kule ,basi nilimtoa block hakeem nikamtumia msg kuwa nimemsamehe na rasmi tukaanza mapenzi yetu sasa,nilijikuta nampenda na nakolea sana kwake,nikawa naibia muda naenda kwake msimbazi tunafanya yetu nafanya usafi nafua napika kama mke vile,hakeem alikua anajitahidi kunipa pesa japo za kawaida elf 10 au 15 akipata sana 20 na mm nanunua tuvyombo napeleka kwake, niliamini kabisa yeye ndie mume wangu na nilijiahidi nitamganda kama ruba,kuwa na hakeem hakukunifanya nibadilike nyumbn nilikua yuleyule hata mama crey hakugundua tofaut wala kujua nimeshaanza kubanguliwa.siku moja nilienda msimbazi na hakeem kama kawaida ilikua muda wa mchana nikapika tukatiana tukaoga kisha hakeem akasema niendenae kwa shangazi yake temeke anataka sana kuniona mana ameshamwambia,mapenzi yalivoninogea nikaenda bana,tulifika nikakaribishwa vizur nikatambulishwa shangazi alinipenda sana akasema hakeem mtoto mzuri sana huyu hapa kama mwanamke umepata mwanangu,mm niliona haya nikatabasam tu.tulikaa mpaka mida ya saa 11 kisha tukarudi dukani,nilifika dukani nilimkuta mama crey pale,uwiii nilistuka nae alivoniona akasema unastuka nini?alikua amekasirika sana,akasema kumbe ninayombiwa ni kweli eeh?unaacha ofisi na kwenda kwenye mishe zako livia kweli?niaksema mama nisamehe nilienda muona rafiki angu anaumwa,akasema umeshapata na marafiki wa kwenda kuwaona huko si ndio?livia dunia hadaa ulimwengu shujaa huu,endelea kuhangaika na dunia na itakuahangaisha kweli,kama umechoka kazi yangu nambie nitafute mtu,nikasema mama samahani sana naomba sana unisamehe,akanisonya akatoka nje akasema yusta funga mahesabu ya leo wewe livi nenda nyumbn,niliogopa sana niliondoka nikaenda kupanda daladala hadi nyumbn,nilifika na kuanz akazi huku nikiwa naogopa sana,baada ya muda mama alirudi alikua bado amekasirika nilipiga magot nikamuomba msamaha akasema nyanyuka ila kama ninayoambiwa ni kweli ebu badilika mana naskia una wanaume sana siku hizi,nikasema sio kweli mama,ananisingizia,mama akasema sawa tutaona yameisha.nilishusha pumzi,pamoja na kukutwa sio kwamba niliachana na hakeem niliendelea nae tena penzi lilinoga mno,nikasema hakeem ulisema utanioa mbona miezi nane sasa hunioi?akasema bby tunaendelea kupanga maisha na kujiandaa sitaki nikuoe uje upate shida mana mm nikikuoa sitaki hata ufanye kazi tena kwa mtu nataka nikupe kila kitu mm mwenyewe mke wangu mzuri sawa,nikasema sawa.nilimuamini na kumpenda sana,siku moja nilienda msimbazi hapo nimeshakua mwenyeji hadi wapangaji wengine wananijua ilikua mida ya saa 10 sasa mvua ilianz akunyesha na ni kubwa hatari bby alikujamana mm nilitangulia kupika kama kawaida mvua kubwa na kibaridi tukapanda kitandani tulipeana sana raha siku hio mana halai ya hewa ilikua inashawishi,kutokana na shughuli kuwa nzito tulipitiwa na usingizi nilikuja amka giza,nilistuka niaksema hakeem saa ngapi sa hiv jmn?hakeem akasema ngoja niangalie saaa,akachukua simu yake kuangalia saa ni saa 10 usiku,nikasema mama yangu weee nafanyaje?nilishika simu yangua aialaiakua imezima muda mrefu nikakumabuka sikuchajiaa,nikasema hakeem sijawahi lala nje hata siku moja nitafanyaje mm?hakeem akasema tulale subir kukuche utaedna muomba msamaha,nikasema mmh hakeem sio rahisi hivi Yule mama ananipenda na kunijali kweli namfanyia haiavai?na dukani sijui imekuaje leo mm uwiiiii yusta alitoka nilimuachia jirani aniangalizie mara moja sasa imekuaje mm jmn?niliwaza,hakeem akasema mke wangu hata uwaze hadi upasuke muda huu huwezi toka subiri kukuche tulale,nikasema hapana naogopa ngoja niamke niende,hakeem akanishika akaanza nitomasa huku na huko akaishia kunitia tukalala,tukiwa tumelala tuliskia mlango unagongwa kwa fujo hiv,mmh n nani huyo niliuliza,hakeem akasema hata sijui ngoja nikafungue,nikasema au videm vyako tunaenda wote kufungua,hakeem akasema sawa haina shida vaa twende,tukavaa tukatoka ile tunafungua mlango tunakutana uso kwa uso na mama crey yuko na wababa watatu na mama mmoja amekasirika hatari……

🍉🍉🍉🍉🍉🍉🍉🍉🍉🍉🍉🍉🍉🍉🍉🍉🍉🍉🍉🍉🍉🍉🍉🍉🍉🍉🍉🍉

kslprojects

kslprojectstz@gmail.com Entrepreneurship Power

Post a Comment

Previous Post Next Post