TAHADHARI ⚠️ KATIKA TOVUTI /APP HII HAKUNA SEHEMU YA KULIPIA ONLINE UKIHITAJI MWENDELEZO WA SIMULIZI BONYEZA HIYO BUTTON YA WHATSAPP AMA ANGALIA NAMBA YA MTUNZI WA SIMULIZI HUSIKA KATIKA SIMULIZI HIYO

LIVIA 02

Story.... *LIVIA* 

SEHEMU YA 2


Sikupenda kilichotokea, nilikasirika nikawa mkali nikasema ww vipi? Kwa nn umenifanyia hivo? Akasema  eeeh na ww cha ajabu nn? Nikasema skia ww m sipendi kabisa tabia hio na jua kabisa mn sijajia hilo hapa na kwa hicho ulichofanya nitamwambia mama. Yule mwanaume akasema khaaaaa! Unanifanya hujui hizi mambo ww? Kwa taarifa yako mm n mwenyeji kipita ww na mm ndio nutahakikisha uwepo wako hapa lkn kama unajifanya mjanja utaaga mashindano mapemaaa, nikasema  kama ww ndio umenileta hapa basi nitaaga hayo mashindano, akasema kwenda huko mtu mwenyew hata sio mzuri shukuru hio rangi tu inakubeba vinginevo unasura ya babako, nikasema kwani kuna shida nikiwa na sura ya babangu? Au ulitaka niwe na ya babako? Nipishe huko, tukiwa tunabishana mama aliingia jikon akasema  mbn kelele kuna nn? Nikasema mama huyy kaja hapa na kunitekenya sijapenda namwambia ananitusi mama akasema heeee wewe sudi inakuaje unafanya ujinga huo? Sudi utaondoka hapa mjinga ww, nakwambia sipendi ujinga kwenye nyumba yangu mpumbavu ww, kama una nyege zako tafuta watu huko nje usiniharibie mtoto wangu shenzi kabisa, nisije kuona wala kuskia kitu kama hiki tena na ww n mlinzi nje getini humu ndani unatafuta nn na geti limebaki na nani? Ebu toka. Alikua mdogo sudi na ndio nikajua n mlinzi. Mama crey akasema  umefanya vizur sana kuniambia, mm napenda sana mtu muaminifu na pia livia jitunze utakuja pata mwanaume sahihi iv una miaka mingap? Nijasema 15,akasema  umri bdo jitunze sawa? Nikasema  sawa. Akanisifia usafi kisha akanipa ratiba za usafi na upishi huku akasema atanifundisha kaz zingine. Alisema yy n mfanyabiashara ana maduka kkoo hivo huwa anashinda huko na mme wake amesafiri n mfanya biashara pia. Nikasema  sawa, akasema  jitahid kujali nyumba na watoto mm kila kitu chako nitakufanyia na pia mm sishindi nyumbn hivo ww ndio utashinda na nyumba, nikasema  sawa. Siku hio tulipika pamoja, siku tatu zilizofuata ilikua kunifundisha mapishi mbalimbali kisha akaanza kwenda kkoo mm nashinda mwmyew sababu Hata watoto wanakua shulen. Mme wake alirud nae mpole na mstarabu sana, mama crey alinilea vizur alikua ananinunulia nguo na viatu huku mshahara wangu ananipa kwa wakati na mm natunza. Nikikua najitahidi sana kaz na kujiongeza pia hii ilitokana na kuishi vizur ba boss wangu, ulipita mwaka nilizidi pendeza nimenawiri na  nimezid kuwa mweupe kutokana na joto la dar, kutokana na malezi yake mama crey kwangu watu walijua mm ndugu yake na vile rangi zetu zinafanana basi waliamini. Tulienda mbinga mm kusalimia ndugu na mama crey kumsalimia mdogo ake watu hawakuamini ni mimi kabisa mana niliwaka sana. Tulikaa wiki tukarudi. Miaka miwili ilipita hapo mm nilikua naweka pesa au nanunua vitu kidogo kidogo kama mashuka, nguo za gharama hadi simu smart phone nikanunua. Siku moja mama aliniita seblen ioikua mida ya SAA mbili akasema  anafungua duka lingine la vitenge na vitambaa vya kushona na vijora na madela hivo sababu mm tyr nina 18 miaka na ananiamin anaona bora niwe naenda kuuza hilo duka na niache kaz za ndani anatafuta msichana mwingine, sikukataa nikakubaki, akasema  jiandae mana duka lipo ktk hatua za mwisho sa iv, nikasema  sawa mama. Mama aliagiza mdada wa kaz akafika alitokea ludewa yy alikua mdogo yu miaka 14 nikaw namfundisha kazi pale huku nampa wosia wa kutulia ajitaftie kipato. Alivojua mm nikaanza kwenda kuuza dukani, halikua duka dogo lilikua kubwa sana pia kulikua na mdada anayeuza hivo mm nilienda kuwa kama msimamiz. Huyo dada alikua anaitwa yusra, nilizoeana na yusra tukawa marafiki wakubwa. Kaz iliendelea nilifanya kwa miezi nae hapo nafatiliwa balaa na wanaume wa tofaut na sikuwahi kubali maana niliona hawanivutii. Siku moja tulikua zetu dukan kama kawaida na yusra tulipiga simu sehemu wanayotuketeaga chakula lkn wakawa hawalet na mm njaa ilikua inauma sana, yusra akasema  liv nenda bas kawafate mana ww unaweza hata wachimba biti mm siwez, nikasema hilo tu ngoja niende, nikaenda koja kwa moja hadi wanapopikia nikawakuta wako busy na wateja wengine, nikasemajmn mbona tumeagiza chakula mapema lkn hamlet? Mmoja akasema  nadhani unaona umati huu wa wateja, nikasema kwami sisi ni mateja sio wateja? Njaa inaua bana mbn mnatufanyia hivo? Nikiwa nalalamika alisogea kaka mmoja akasema pole dada chukua hiki chakula changu mm nitasubir chako, nikasema asante kaka nitasibir tu, akasema  hapana bana chukua nimekupa tu kiroho safi, nilimtizama kisha nikapokea, ilikua n wali kuku wakat mm niliagiza wali maharage, nijamshkuru sana vile ulikua ktk bakuli la mfuniko nikaondoka nalo hadi dukani, nilifika nikamsimulia yusra, akacheka akasema  huyo kaka anajua uliagiza wali maharage? Nikasema  atajua mwenyew acha sie tule, tulianza kula tukamaliza ndipo wali mwingin ukaja tukaula nao kisha tukakaa, tulihudumia wateja wakaisha mara akaja yule kaka bana dukan, nilistuka kaja kudai wali au? Yy aliponiona akatabasam akasema tumekutana tena eeh? Nijasena yees, akasema nafurah sana mm shida yangu n chenji tu kama mnayo, alitoa not ya sh elf 10 yusra akasema  ipo, akatoa ma kumpa kisha nae akampa ile noti, akasema asante mm naitwa hakeem nauza duka la nne tokea hapa kuelekea upande ule,alinionesha, nikasema sawa karibu, akasema  nyie mnaitwaje? Yusra akasema huyu n livia na mm n yusra, hakeem akasema  sawa bas acha nikamhudumie mteja, tukasema sawa. Yusra alimsifua hakim kuwa ni kijana anavaa vuzur na pia akasema  akinitizama m anaona macho ya mapenzi, nikasema  wee ebu acha hizo, akasema ndio we humuoni? Anakutaka yuke, nikacheka tu. Hakeem alianza tabia ya kuja kutusalimia kila siku na muda mwingine anakuja kupiga story na chakula alikua anatununulia mara kwa mara. Ulipita mwez hapo tumemzoea sana ameshakua rafiki etu. Siku moja ilikua jpil na mm jpil huwa siji dukani naenda kanisani kisha kusaidiana kaz, mida ya saa tisa msg iliingia ktk simu yangu alikua n hakeem nikasema aliandika mambo livia, samahani kwa usumbufu livia mm nina shida na ww naomba saba kesho unipatie muda japo kidogo was kuniskiliza, nikasema mmh shida gn? Akasema  usijali utaiskia kesho, nikasema  bas powa mida ya SAA nne, akasema asante. Nilkmtumia yusra msg kumjuza hili, akasema kamskilize, kesho yake niliwahi ofisin tukafanya usafi kisha nikakaa tu kusubir muda wa hakeem, nao ulifika akanitumia msg mahal Pa kukutana nikaenda, nilimkuta amekaa alivoniona akafurah alinivutia kiti nikakaa, aliniagizia mishkak na juice ikaja ya kutosha akaanza jieleza, akasema  livia  tokea siku ya kwanza nakuona uliteka hisia zangu, ulipita dukan nijakufatilia nijajua unapopatkan, sababu ulishauteka moyo wangu, nikikufatilia nyenendo zako kwa muda nikaona kabisa unanifaa, tafadhari naomba sana unipe nafasi ktk moyo wako, uniruhusu nikupende na hatuimae uje uwe mke wangu, mmh hakeem ina mana ww hujaoa? Akasema sijaoa naishi mwenyew  mm, mmh kwa umri wake alikua kama na miaja 30 hiv wakat mm nina 18 nakaribia 19 kabisa, nikasema  naomba unipe muda nikufikirie sawq, akasema  muda wa nn tena wakat nina uhakika jibu unalo liv? Tafadhar nakupenda sana naomba uwe wangu. Aliongea huku ananishika mkono nilimtizama kwel alitia huruma, nikasema naomba nikujib badae tafadhar nakuomba sana kama kwel unanipenda. Akasema  sawa, tuliendelea kula tukamaliza tukaagana, mm nilirud dukan nijamsimukia yusra akasema  mkubaki bana kama ananiq ya kuoa mkubali, nikasema mmh sawa, lkn m sikuwa na aman moyon juu ya hili, nikasema ngoja nimfatilie, zilipita siku. Mbili ananitongoza tu mm simjibu moyo ulikua mzito, siku ya tatu alinipigiw simu anaumwa sana yupo hospital, nilimuonea huruma mana alishakua kama rafik nikamwambia yusra nae akasema nenda kamuone dia mm nitabak dukani, nikisita lkn yusra alimibembeleza sana, nilimpigia simu kuwa nataka niende akasema  yupo njian anarud kwake msimbaz, nikasema  bas nakuja nielekeze, akanielekeza niiachukua usafir nikaenda. Nilifika kwake ilikua nyumba ina  wapangaji wengi na wanaingilia get moja. Sikujua chumba chake n kipi nikapiga sim akapokea akaniekekeza nikaenda kugonga, nilikuta amejilaza kwenye kusofa kikuu kuu hakua na bitu vingi seblen, nikasema  pole umaendeleaje? Akasema  nafuu kidogo, nikasema pole akasema asante,tukaongea story za hapa na pale mara akanyanyuka akasema  anaenda choon alitoka nje baada ya muda akarud akafunga mlango na funguo, mmh mbn unafunga? Akasema  sitaki usumbufu niko na mgeni wangu, akawasha mziki kwa saut nikasema sasa tutaskilizanaje? Akasema nataka nipumzike kidogo naskia kizunguzungu naomba nipeleke chumbn, mmh nikamshika nikampeleka chumbn kwake, kitendo cha kuingia chumbn alifunga mlango pia kisha akanivamia na Kuanza kunishika shika, nikasema hakeem unashida gani niache, akasema mm nakupenda nataka uwe wangu na mm niw wako nataka kufanya mapenzi na ww, nikasema  niachee sitaki akasema siwez, alinitoa blauz akaona nakua mbishi akanichania sket na chupi nikabaki mtupu kama nilibozaliwa, bas nalia sana yy haekewi namsukuma lkn wapi akanikaza kitandani mm nagombn lkn wapi, akatoa dudu lake lililokua limekasirika wakat huo akanipanua miguu mm namkwaruza namsukuma wapi nikamng'ata began hakeem alinizaba kibao kikali cha uso huku akasema  tulia huko leo lazima nikuingize dudu hata ufanye nn 😭😭nilijuta nimekuja kufanya nn mm huku jmn?......

🍉🍉🍉🍉🍉🍉🍉🍉🍉🍉🍉🍉🍉🍉🍉🍉🍉🍉🍉🍉🍉🍉🍉🍉🍉🍉🍉🍉

kslprojects

kslprojectstz@gmail.com Entrepreneurship Power

Post a Comment

Previous Post Next Post