TAHADHARI ⚠️ KATIKA TOVUTI /APP HII HAKUNA SEHEMU YA KULIPIA ONLINE UKIHITAJI MWENDELEZO WA SIMULIZI BONYEZA HIYO BUTTON YA WHATSAPP AMA ANGALIA NAMBA YA MTUNZI WA SIMULIZI HUSIKA KATIKA SIMULIZI HIYO

USIYO YAJUA KUHUSIANA NA BATTERY YA SIMU YAKO

 
Hivi hapa ni baadhi ya vitu ambavyo umedanganywa kuhusu betri ya simu yako.

- Ni lazima uchaji simu yako ikiwa mpya ndio uanze kuitumia, Jibu ni hapana simu mpya huja na ''lithium ions battery'' hivyo unaweza kutumia ndipo ukaichaji

- Kuchaji simu yako kwenye gari ni salama?, Jibu ni ndio unaweza ku-chaji lakini changamoto inaweza kuwepo kama gari haina ''AC'' hivyo kutakuwa na wingi wa hali ya joto, na kukiwa na hali hiyo basi sio salama.

-Kulaza simu kwenye chaji, hapa kuna mkanganyiko kidogo moja ukilaza kwenye chaji hamna shida kwani simu zilizotoka kuanzia mwaka 2019

Nyingi zimekuja na kitu kinafahamika kama ''Optimized Charging'' hivyo inasaidia kupokea kiwango cha chaji kinachohitajika kwenye simu yako, na kusaidia kutoendelea kupokea ziada.

Lakini  hatushauri ulaze simu kwenye chaji na vile vile usilale na simu karibu pindi umeilza kwenye chaji.

kslprojects

kslprojectstz@gmail.com Entrepreneurship Power

Post a Comment

Previous Post Next Post