Kutana na Mwanachuo Aliyewakataa Wanaume wengi Kisa Mpenzi wake Anayesoma Marekani Alimuambia Ataacha Chuo na Kuja Kusoma Chuo Anachosoma Yeye......
Baada ya Mdada wa Chuo Kunyanyasika kwa zaidi ya Miaka 23 akiitwa Mtoto wa Nje ya ndoa na Mama yake wa Kambo, alikuja kungundua Yeye ni mtoto wa ndani ya ndoa na Mama yake huyo ndio alimuua Mama yake mzazi ili aolewe na Baba yake. Hata Mali anazomiliki Baba yake zimeandikishwa kwa jina lake, hivyo anahaki kisheria kudai na kuchukua mali zote.
STORI HII LEO NAITOA BURE KWAKO..........
CHUMA KINAANZA; Tunaoneshwa msichana mmoja hivi mkali sana akiwa anaamka kwa ajili ya kuwahi chuoni anaitwa RAULA
Raula ni mtoto wa tajiri Jijini Mwanza, hakuwahi kujua hata harufu ya vidonda vya tumbo ipoje, muda wote alikula.
So, Raula anaishi na Wazazi wake. Baba yake ambaye ni Mr Emanuel pamoja na Mama yake, Sarafina (Mama wa Kufikia)
Sarafina ana binti yake ambaye wamepishana miezi sita na Raula binti huyu aliitwa Paula.
Tunaambiwa kwamba, katika nyumba hii Raula hapendwi, anayanyaswa na kuteswa kila dakika na Sarafina kwa sababu Mama yake Mzazi alishafariki tangu akiwa mtoto. Basi mateso yote anapewa yeye, kazi zote pale nyumbani yeye ndio amegeuzwa kama mtumwa. Kama hilo halitoshi ni kwamba, Sarafina amemuambia Paula kuwa Raula sio mtoto wao bali ni Binti Yatima wamemuokota mtaani, Mama yake alikufa kwa ukimwi. Yupo pale kwao kwa msaada.
Paula anachukua maneno ya Mama yake na kwenda kuwatangazia wenzake chuo, kila mmoja chuoni anajua kwamba Raula ni mtoto yatima. Raula sio mtoto wa Mr Emanuel kama ambavyo anajinadi kila siku.
Tunaambiwa huko chuo kuna vita ya mapenzi. Vita ya kugombania mwanaume kati ya Paula na Raula. Utachagua wewe unasimama timu gani lakini iko hivi
Nurdin, kijana smart na shombeshombe wa Kiarabu na Afrika ambaye anapendwa na warembo wengi chuoni. Anatokea kumpenda Raula, anamtongoza lakini Raula anamkataa.
Kumkataa kwa Raula kunakuja na sababu, Raula alikula ahadi na mwanaume mwingine ambaye yupo Marekani anaitwa Shakil kuwa hatopenda mwanaume mwingine hadi pale Shakil atakaporudi nchini ili waendeleze stori ya penzi lao.
Pia, Paula anampenda Nurdin lakini kila anapomuambia kuwa anampenda, Nurdin anamchomolea na kumwambia anampenda Raula.
Hii inamkera Paula, anachukia kuona mtoto ambaye analelewa na wazazi wake kama Yatima anapendwa na Boi wake. Basi anatengeneza kila aina ya vitimbi ili kuhakikisha anamuua.
Paula anamtangaza kwa Baba yake kuwa Raula ana mwanaume, basi alipigwa hiyo siku balaa. Pia anamtangaza chuoni kuwa wao sio ndugu bali Raula aliokotwa tu. Raula anaumia mno. Maneno haya yanamuuma Raula na anafaka kujua ukweli kwanini anaitwa mtoto yatima ikiwa Baba yake hajawahi kumuita hivyo? Mara zote alipokaa na Mr Emanuel alimueleza kuwa Yeye ni mtoto wake wa pili na sio Yatima wala mtoto wa nje ya ndoa (kuna nyakati Paula alimuita Raula mtoto wa nje ya ndoa, mtoto haramu)
Katika kufuatilia ukweli, anagundua kuwa, yeye sio mtoto Yatima wala sio mtoto wa nje ya ndoa. Mali zote ambazo Baba yake anazimiliki zimeandikishwa kwa jina lake (Mali zilikuwa za Marehemu Mama yake) Anakuja kugundua kuwa Mama yake alikuwa tajiri balaa hata mali alizokuwa nazo Baba yake zilikhwa za marehemu Mama yake.
Swali linakuja kwanini Baba yake afiche muda wote huo? Nini kilikuwa sababu ya kifo cha Mama yake ambaye inasemekana alikufa kwa Ukimwi? Anakuja kugundua kuwa aliyefanya hayo yote ni Baba yake akishirikiana na Mama yake wa sasa ambaye ni Sarafina. Baba yake alishawishika kumuua Mama yake ili arithi mali na kumuoa Sarafina ambaye alizaa naye mtoto mmoja wa nje ya ndoa ambaye ni Paula.
Unadhani Raula atamfanya nini Sarafina ikiwa alimtesa kila muda? Je Paula akijua kuwa yeye ni mtoto wa nje ya ndoa atafanyaje?
Mzigo unaitwa THE LAST PROMISE (AHADI YA MWISHO)
Nataka watu 100 pekee wa kusoma siku ya leo, bure bila sent tano. Njoo WhatsApp nikupe kurasa 546 za kitabu hichi. Ukija WhatsApp, code yako iwe ni LAST PROMISE (Andika hivyo) Mwisho wa Offa hii ni saa SITA USIKU......
0717255498 ndio namba ya WhatsApp.
Tags
simulizi