NDOTO ZA KUOTA UNAFNYA MAPENZI ZIMEGANYIKA SEHEMU TATU
_______________________________________________
✍️tutambue ya kua kuna ndoto za kuingiliwa na wachawi kimwili
✍️Kungiliwa na JINI mahaba
✍️Na ndoto za kawaida je utafouti wake ni upi
✍️ Utafouti wa hizi ndoto ni mdogo Sana lakini yatakiwa ujuzi kututambua kwanza
✍️mtu ambie Alie kua na JINI mahaba. Haswa jini
✍️Sio hawa was kutumiwa hao uwa za kijini mahaba kutona na walivyo tumwa
DALILI ZA JINI MAHABA WA MAHABA
______________&&&&&________________________
👉kwanza umuweka mtu katika mazingira safi
👉mtu uyo atakua anapenda usafi kuliko maelezo
👉pia mtu mwenye jini mahaba uyo atakuwa ni mtu mwenye kukosa hisia kwa BINADAMU mwezake na alalapo uota anafanya mapenzi paka kufikia mwisho au kalibia na kilele cha kufanya tendo la ndoa na ashutukapo usingizini ujichunguza ujikuta Yuko Safi kabisa kabisa Wala hana uchafu wa MANII!!!!
👉ukiona hivyo ujue ni JINI MAHABA sio kichawi na JINI uyo kama ukiweza fast masharti yake basi utaweza kuonana nae uso kwa uso
👉kwa kila kitu na kukupa msaada wa shida zako !!!
😠Ndoto za kichawi ni zile ambazo mtu anaota anfanya mapenzi 😠Na ndugu jamaa zake au watu mbali mbali na
👉akija kushutuka asubuhi tu amechafuka kwa kujikuta na MANII sehemu zake za Siri !!!!!
👉ujuwe ni ndoto za kichawi au majini ya kichawi au vijini vilivyo tumwa kwako yaani majini kichawi
Mara nyingi mtu wa namna hiyo upatwa na
😠NUKSI
😠MIKOSI
ðŸ˜Maradhi ya uzazi
😠ugumu wa maisha
ðŸ˜hadumu Kwenye mahusiano ata kidogo
👉kwani unapo jikuta na MANII ni NUKSI kubwa kwako
👉 ndoto ya mwisho
✍️ na pia kama huna kawaida ya kuota kufanya mapenzi mara kwa mara kisha ikatokea haswa muda wa alifriri au kma umekaa muda mrefu bila kujamiana ukaota hivyo jua ni kawida kwa leo nishie hapa.
Kuungwa kwenye group letu la whatsapp ni bule kabisa.
Tags
AFYA