TAHADHARI ⚠️ KATIKA TOVUTI /APP HII HAKUNA SEHEMU YA KULIPIA ONLINE UKIHITAJI MWENDELEZO WA SIMULIZI BONYEZA HIYO BUTTON YA WHATSAPP AMA ANGALIA NAMBA YA MTUNZI WA SIMULIZI HUSIKA KATIKA SIMULIZI HIYO

PERFUME

Jean baptiste ni kijana aliyekuwa na uwezo mkubwa sana wa kutambua na kunusa harufu mbali mbali haijalishi harufu hiyo inatokea mbali kiasi gani,ni kijana yatima aliyetelekezwa na mama yake sokoni baada ya kuzaliwa hivyo alichukuliwa na kulelewa na mama mmoja baada ya mama yake mzazi kunyongwa kwa kosa la kumtelekeza mototo huyo😟

Baada ya Kuwa mkubwa alikuwa na shauku kubwa ya kutengeneza manukato bora kuwai kutokea ,katika tafiti zake alibaini kwamba Kuna uwezekano wa yeye kuweza kutengeneza na kukamiliaha formula yake ya utengenezaji manukato hayo kupitia miili ya wasichana warembo🙄
Hivyo bas Kukamilisha ndoto yake alijikuta ameuwa wanawake wengi sana,kwahiyo wanawake  warembo waliokuwa wanapita mbele yake hawakuwa na bahati kiasi kwamba wakawa Wanaishi kwa hofu,too bad akikuweka target kwenye mawindo yake hata ujifiche wapi,atakutafuta na kukupata maana ananusa na kukalili harufu zaidi ya mbwa🤣

Baada ya kufanya mauwaji kwa muda mrefu bila kubainika ili kukamilisha lengo lake alihitaji mwanamke wa mwisho,too bad alikuwa kamtaget mtoto wa mtu mkubwa serikalini hivyo baba yake baada ya kuona dalili na ishara mbaya kwa binti yake kuwindwa alienda kumficha mbali,lakin haikusaidia kitu licha ya ulinzi aliomuwekea🤔

Za mwizi ni arobaini,baada ya kupiga tukio la mwisho la mauwaji, Mahali alikokuwa akiishi yalibainika mavazi na nywele za wasichana waliouwawa hivyo alikamatwa na kuhukumiwa kuuwawa mbele ya hadhara,hivyo basi siku hiyo ya hukumu alijipaka na kupuliza manukato hayo eneo la hukumu yalibadirisha akili za askari na watu waliofika kushuhudia hukumu ya kijana aliyewanyima usingizi na kumuona kama mtakatifu asiye na hatia kuanza kumsujudia na kusahau kwamba alipaswa kuuwawa😱

Inshort alitengeneza perfume yenye uwezo wa kupumbaza watu,

kslprojects

kslprojectstz@gmail.com Entrepreneurship Power

Post a Comment

Previous Post Next Post