SOYENZI
BINTI MFALME
SEHEMU YA KWANZA
Namba ya WhatsApp- 0683944333
________________________________________
Nikatika himaya kubwa ya CHATA iliyoongozwa na mfalme kenzo.
Ndani ya himaya ya CHATA kulikuwa na vijiji vitano ndani yake ambavyo ni kijiji cha Nyembeo ambacho ndio makao makuu anapoishi Mfalme, vingine ni kijiji cha Kalayu, ngoi, muhega na kinoi.
hivyo ndio vijiji vilivyokuwa ndani ya himaya ya CHATA chini ya mfalme kenzo.
Mfalme kenzo aliteua Mtawala wa kila kijiji kilichopo ndani ya himaya yake ya CHATA yeye akabaki kuwa Mfalme mkuu...
Mfalme kenzo alikuwa na mke wakuitwa malkia Awena na watoto wawili wa kiume aliitwa Muba (25) na wakike aliitwa Muna.(19)
Pia kuna binti wa kike aliyeitwa Atu (21) ambae alilelewa na Malkia Awena baada ya wazazi wake kufariki akakosa mtu wa kumlea ndia malkia awena akamchuku tokea akiwa mdogo kabisa.
Malkia hakuwahi kumbagua Atu na watoto wake wa kuwazaa wote aliwalea sawa. walipokuwa wakubwa malkia alimteua Atu ndio awe msimamizi wake yule anayesimama nyuma ya malkia..
Mwana mfalme Muba alitokea kuvutiwa sana na Atu kila alipotamani kumwambia alisita hadi akaamua kumtuma mdogo wake Muna ili akamsaidie kumwambi Atu juu ya hisia zake.
Muna alishangazwa sana na hilo akamuambia kaka yake "Kaka muba Atu ni kama ndugu yetu wa damu amelelewa nyumbani kwetu unaweza je kumtamani?"
Muba alijibu
"Muna, ndio Atu tumelelewa nae lakini sio ndugu yetu wa damu hebu nitongozee mbona wanawake wengine huwa unanitongozeaga..."
Muna alikubali kwa maana alikuwa anampenda sana kaka yake.
Akamfuata Atu akamueleza kuwa mwana mfalme muba anamuhitaji kimapenzi.
Atu alikubali haraka haraka bila hata kujifikiria ni wazi nae alikuwa na hisia na Muba sema hakujua anzie wapi kusema.
Muna alimwambia atu "Atu Kama umekubali kutembea na kaka Muba basi leo usiku uende chumbani kwake.."
Atu alijibu sawa.
Mida ya usiku wakati watu wote wamelala Atu alitoka chumbani kwake kwa kunyata akaenda chumbani kwa muba.
Muba alipomuona Atu alifurahi sana akamkaribisha kwa shauku zote.
Atu alimwambia Muba Nimepata ujumbe wako kutoka kwa Muna.."
"Ndio nilimtuma kwa maana nilikuwa naogopa kukufuata mwenyewe kukuambia hisia zangu.."
Atu alitabasamu kisha akajibu "Hata mimi nimetokea kukupenda sana Muba ila sikujua pakuanzia...nimefurahi sana leo kiu yangu imepata maji"
Muba alimsogelea Atu karibu zadi yaani ile degree ziro kabisa akamuuliza kwa sauti ya chini sana.
"Atu upo tayari?"
Atu alijibu "Ndio nipo tayari kwa chochote kwako mwana mfalme ila naogopa, sijawahi kufanya Muba"
"Usijali Atu itakuwa taratibu mpenzi sitokuumiza..."
"Sawa ila kabla hujanigusa niahidi kama hautoniacha hivi utanioa wewe muba..."
"Nakuahidi Atu..."
Baada ya makubaliano walizima mataa wakapanda kitandani...
Asubuhi alfajiri Atu alitoka chumbani kwa Muba kabla watu hawajaamka.
Alipofika chumbani kwake alikisikia raha sana alisema "ilikuwa mi ndoto yangu kutolewa usichana wangu na mwanaume ninayempenda ambae ni mwana mfalme Muba, atanioa na nitakuwa malkia wa himaya ya hii ya Chata, wazazi wangu huko walipo watashuhudia mtoto wao nikiwa malkia.." Alifurahi sana Atu na kujiona ni mwenye bahati sana.
Alijiandaa kisha akatoka nnje akaenda kusimama mlangoni kwa malkia kama mlinzi kumsubiri amke.
Malkia alipotoka ndani kuenda kwenye shughuli zake Atu alimsindikiza kwa nyuma kwa maana ndio alikuwa msaidizi wake...
******************
Ndani ya himaya ya CHATA kulikuwa na kijini kilichoitwa kijini cha kalayu ambacho kiliongozwa na Mtawala wa kijiji aliyeitwa Gumbo.
Mida ya Usiku Kuna mwana mama aliyeitwa mama soyenzi alikuwa nnje ametandika mkeka amekaa anamsimulia hadithi za kale binti yake wakuitwa Sonyenzi mwenye umri wa miaka 19 ambae alikuwa amelaza kichwa chake mwenye miguu ya mama yake.
Kwenye mlango wa nyumba yao alikuwepo amekaa mwana mama mwingine aliyeitwa
*Bi chungu* yeye alikuwa ameshika tama huku chozi linamdondoka.
Mama Soyenzi na mwanae walikuwa hawajui kama mwenzao pale mlangoni analia.
Basi mama soyenzi alianza kumsimulia mwanae..
"Soyenzi mwanangu hapo zamani kwenye kijiji chetu hiki cha kalayu enzi hizo mimi nilikuwa mdogo wa miaka 8 hivi, kulitokea na uhaba wa mvua uliosababisha njaa kutawala kijinini kwa maana mimea ilikosa maji mito yote ilikauka. Wanakijiji wakiwemo bibi na babu yako walikesha kwenye m'buyu kuomba mizimu iwasaidia ili mvua zinyeshe lakini bado hali ilikuwa tete.."
Soyenzi aliuliza "enhe mama ikawaje tena?"
"Njaaa ilitawala kijijini hadi watu wakaanza kufunga matumbo yao na kamba ili kupunguza njaa, siku moja lilikuja joka kubwa sana hapa kijijini wanakijini tuliogopa sana tulipomuona, yule nyoka alitaka kuingia majumbani mwetu ikabidi kila mtu afunge mlango wake ili yule nyoka asiingie popote.
Jioni lile joka lilipotea hatukumuona tena,
sasa siku ingine tulienda kwenye m'buyu kuomba mvua kwa mizimu ya babu zetu mara tulisikia sauti ikisema (Mvua tuliwaletea ila kila mmoja aliifungia mlango, yule mliyemuona hakuwa nyoka wakaida bali ni sisi mizimu tuliwatembelea ili tuone kama mtatukirimu sasa kwa kuwa hamkutukaribisha kwenye majumba yenu basi na sie hatutotoa mvua kwenu hadi hasira za mizimu iishe).."
Soyenzi alibaki ameduwaa baada ya kusikia hadithi ile. Akauliza "mama nani angejua kama huyo nyoka alikuwa ni wakuleta neema na sio maafa?"
"Mwanangu hili ndio funzo ninalotaka kukupatia, kwenye maisha yako usidharau kitu, kitu chochote kinachokuja mbele yako kizingatie kabla hujafanya maamuzi usije ukapishana na neema.."
Soyenzi alijibu sawa mama...
Muda huo huo alikuja mzee Tino au baba Soyenzi alikuwa amebeba nyama ya mbuzi mkononi...
Mama soyenzi alienda kupokea ile mboga huku anakunja goti kwa heshima akasema "Asante baba soyenzi."
Bi chungu aliyekuwa amekaa mlangoni analia alionekana kuchukizwa na hilo jambo, alifuta machozi yake ili wasione kama alikuwa analia.
Mama soyenzi alipotaka kuingia ndani ili akatengeneze ile mboga bi chungu alitegesha mguu makusudi, mama soyenzi alipopita mlangoni alijikwaa na ule mguu akadondoka chini
Baba soyenzi na Soyenzi walienda kumuinua mama soyenzi huku wakimpa pole.
Mama soyenzi baada ya kuinuliwa alimtazama Bi chungu akamwambia "Samahani Wifi nimeukwaa mguu wako sikuona.."
Soyenzi alimuingiza mama yake ndani huku anamtazama shangazj yake kwa jicho la hasira sana,
pale nnje wakabaki baba Soyenzi na bi chungu.
Baba soyenzi alianza kumfoka bi chungu ambae ni dada yake.
"Dada najua umefanya kusudu ili mke wangu anguke kwanini? Hivi ni lini utaacha mambo ya zamani yapite lakini...?"
Bi chungu alipoulizwa hivyo ni kama alipandishwa wazimu wake. Akainuka kisha akamsogelea kaka yake.
"Unaniuliza kwanini kaka? Wewe ni wa kuniuliza hivyo? Kwani hujui kama simpendi na sijawahi kumpenda mkeo wala familia yako?"
Baba soyenzi alimwambia dada yake "Ongea Taratibu ndani watasikia.."
Bi chungu alizidi kuongea kwa uchungu "Nimevumilia miaka yote hii ila nimeshindwa kusahau, Laana tulipewa wote lakini mwezangu umeoa na una familia mimi nazeeka mwenyewe na tongo zangu za chini.."
"Dada punguza ukali wa maneno..."
Baba soyenzi aliingia ndani, bi chungu alibaki hapo nnje anamsindikiza kaka yake kwa macho huku chozi linamdondoka alikumbuka mbaaaali.
.....................
Ni miaka 30 iliyopita binti aliyeitwa Chungu wakati huo alikuwa na miaka 20, alitokea mchumba mwenye mali zake enzi ya hizo, mchumba huyo alimpenda Chungu baada ya kusikia sifa zake kutoka kwa watu kuwa binti huyo ni mwari yaani hajawahi kuguswa na mwanaume.
Mzee pelo ambae ndio baba wa chungu alimwambia mwanae "Chungu mwanangu asante kwa kuutunza usichana wako ona leo hii umepatwa bwana wa maana sana"
Chungu akijibu "baba mie sitaki kuolewa na huyo mtu"
"We mtoto una wazimu nini? Nasema utake usitake utaolewa..."
Mzee pelo aliondoka. Chungu alifiria jinsi ya kuikataa hiyo ndoa akapata njia moja.
Akimfuata mdogo wake wa kiume aliyeitwa Tino wakati huo alikuwa na miaka 18 akamshawishi autoe usichana wake ili tu asiolewe na huyo tajiri.
Tino alimshangaa dada yake akamuuliza "dada kwanini humtaki huyu tajiri au unapenda tubaki masikini?"
"Tino mie sitaki tu kuolewa na huyo kwa sababu ana ndoa ya mitala mie naenda kuwa mke wa tatu nitawezaje? Baba yeye hajali anachotaka ni mali tu, mdogo wangu Tino hatuna mama sie ungependa kuona dada yako naolewa kwente ndoa ya wake watatu vipi wake wezangu wakunidhuru au kuniua utapenda ubaki bila dada pia?"
Tino alijibu "hapana dada chungu sipo tayari.."
"Basi nisaidie mdogo wangu utoe usichana wangu ili huyo tajiri asinioe tena.."
Tino alifikiria akakubali.
Siku hiyo mida ya jioni baba yao mzee pelo aliwaaga kuwa anatoa anaenda kualika watu harusi.
Baada tu ya mzee pelo kuondoka huku nyumbani Tino akiingia kwenye chumba cha dada yake, walivua nguo zao zote wakaanza kufundishana mchezo wa wakubwa maana wote hapo walikuwa ni wageni wa huo mchezo.
Mzee pelo wakati yupo njiani aligundua kuwa amesahau fimbo yake anayotembeaga nayo mkononi. Akaamua arudi nyumbani.
Wakati amefika nyumbani alisikia sauti kutokea chumbani kwa mtoto wake wa kike chungu ikisema "Naumia kaka, aaaah inauma taratibu.."
"Jikaze dada...pole"
Mzee pelo si ndio akachungulia kwenye lile dirisha alichokikuta humo...
Ndio imeanza rasmi leo kwenye group letu la wasp. Karibu tukasafiri kihisia na kisa hiki kipya
Full shilingi 1000
Njoo WhatsApp katika namba hii hapa 0683944333
Tags
simulizi