ANANIUMIZA NAOGOPA KUMWAMBIA NO 2
MTUNZI JOGOO POLL
NO 0657 774735
yani nilipomsikia yule dada nguo aliyoivaa imeanguka nikiwaza amevaa kanga 1 tu naisi ata ndani ajavaa kitu na mlango umejifunga na upepo ile kauli aliyosema kaka sauti ya mlango imenistua mpaka nguo imeanguka ndio
ilinivuluga zaidi akili nawaza mvua ii na ubalidi uu yule kaka atamwacha salama kweli yani inaniuma kama vile kashakuwa mume wangu natamani nikausukume mlango nimtoe nje yule dada na makofi juu awe mstahalabu lakini mala nasikia tena yule dada anasema mbona kaka umefumba macho.
namsikia yule kaka anasema nimesikia ukisema sauti ya mlango imekustua mpaka nguo imekuanguka sasa si vizuri mimi kukuangalia wewe iyo nguo imeangukaje ndio maana nimefumba macho.
yule mwanamke akasema basi nisamehe maana sikutegemea kama kanga itaanguka.
namsikia yule kaka akisema na mimi naomba unisamehe sikutegemea kama mlango utajifunga na upepo ila naomba uniambie umeshavaa nifumbue macho.
Yule mwanamke akasema nishavaa fumbua tu ila dah.
,moyoni niliposikia dah nikajuwa kaka atauliza mbona umesema dah ili mwanamke afunguke na nilikuwa naumia sana kama akikubali ilo atalo ambiwa.
mala namsikia kaka akuuliza lile neno dah amesema shika pesa ii kanunue sabuni afadhali mlango ujajilock wewe nenda.
yule mwanamke akaondoka.
mimi ndio roho yangu imetulia sasa maana sijui nilikuwa najisikiaje ila yule anayejuwa maumivu ya wivu atakuwa anajuwa jinsi nilivyokuwa najisikia.
kaka akaludi kufua.
namwangalia tu moyoni natamani nikamsaidie ila naogopa atanichukulia mimi mchaluko na mimi simtamani ki nipe nikupe namtaka awe mume wangu apo ndio nafikilia jinsi ya kufikisha ujumbe basi niliwaza akimaliza kufua akianika mvua ikianza tena nikamuanulie nimnyoshe mashati vizuri yani mpaka awe ananiomba dada mamu ninyoshee apo ndio nitaanza mazoea ili nifikishe ujumbe wangu kwake.
basi yule kaka alimaliza kufua akaanika akaondoka.
moyoni nilifulai sana tena sana nikasema lengo langu litakamilika maana akiondoka aludi mchana mpaka jioni ila anashindaga Siku nyengine kanisani siku nyengine madlasa yani ananichanganya kumjuwa dini gani yeye.
mala yule mwanamke katoa nguo na yeye anafua amekuja shoga yake anamwadisia mwenzangu Leo nimemuomba kaka mpole pesa ya sabuni kanipa nimempa mtego flani ivi doli doli samwela ila akuangalia kitu chenyewe nachomlingishia akikitamani nimpe.
mwenzie akamuuliza ulifanyaje mpaka kaluka mtego.
akajibu aliniambia kachukue pesa ipo ndani juu ya meza nilipoziona nikazitupia pesa uvunguni wa meza sasa meza yenyewe ile ya kisasa ukitaka kuichukua pesa lazima uinyanyue ndio nikamwita nia anyanyue meza mimi nimwinamie kanga niiyangushe sasa alipoingia mlango ukajifunga ndio na mimi nikaangusha nguo chini pwaa nikabaki kama siku ile ya kwanza kuletwa duniani lakini cha ajabu yule kaka akafumba macho
ndio nikaona maajabu mwenzako nimeshindwa.
mwenzie akasema wewe umekosea ungechukua mkono wake ungegusisha apo kwenye mwendo kasi panapofanya wachanganyikiwe wanaume mwenyewe angetulia na ungefanikiwa lengo lako makaka kama awa wapole wanazo pesa sababu awana matumizi mengi ana dem ana mke sasa changamkia fulsa shauli yako atakuja mjanja amuwai utamuona anapika anapakua sababu
kuna wanawake wengine maisha aya anawaza ndoa yani anatamani ajikoseshe uhulu kwenye maisha yake unajuwa lafiki yangu kwanini ndoa imeitwa pingu??
mwenzie akamjibu apana ata sijui niambie mwenzangu mimi najuwa kudanga na kumchanganyia mwanaume nile vyake vizuri si unajuwa waume za watu ndani awachanganyiwi hehehehe niambie maana pingu mie.
Mwenzie akamjibu maana ya pingu ipo ivi kwanza wanasema wamefunga pingu za maisha pale amefungwa mwanamke pingu ya maisha ndio maana kabla ujaolewa unajiamulia mambo yako leo uwende dar live kesho uwende ukumbi mwengine ukale bata uchagui wa kucheza naye sasa funga iyo pingu uwone kwanza dar live utapasikia sijui kwenda ukumbi wowote kama utaenda utaenda na mumeo mtu akikugusa unakuwa mkali uwezi wewe kujiamulia safari wewe ukiondoka unaaga yeye akiondoka anakupa tahalifa upo nyonyo??
yule mwanamke akashusha pumzi akajibu nipo ila apo kwenye kuaga na kutoa tahalifa kama zipo sawa ivi.
akajibiwa azipo sawa ata kidogo wewe ukiaga unaomba luxsa mawili akubali au akatae
ila yeye akitoa tahalifa ni anakujuza tu ukae ukijuwa na uwezi kumzuia anakupa tahalifa uku anavaa viatu anakwambia mimi natoka wengine wanakupa tahalifa ukiwa chooni anasimama mlangoni mama flan mimi naenda zangu
wewe unajishebedua nisubili mume wangu
jibu analo kupa utanichelewesha nimetumiwa sms sasa ivi niwai
na wakati anakwambia ivyo uku anaondoka sasa usisubutu wewe ufanye ivyo wewe utapigika ndio maana nakwambia pingu inamuusu mwanamke kwenye ndoa upo sasa wewe muonee uluma anayetaka ndoa.
yule mwanamke akamjibu akasema mimi nataka nimchune uyu kaka basi alafu uyu si mzoefu wa 18 anaonekana akiingia kwenye laini maji ataita mma ngoja nianike nguo mimi ziwai kukauka naanua mpaka zake hehehehe atazifata chumbani nakwambia atoki nampa yule samaki anaitwaje??
mwenzie akajibu sangala.
akasema sio sangala uyu samaki ananitoka jina ngoja kuna msanii 1 kamuimba ngoja nichukue simu yangu niutafute ule mziki nishaupata sikia sasa mwanamziki anavyoimba iyo nyimbo ndio mimi nitampa akaplay nyimbo ikaanza kuimba.
nampa nampa nampa papa.
akauzima mziki samaki mwenyewe ndio uyo nitampa au unasemaje??
mwenzie akasema usisahau kumchumia na tembele ili ale papa na tembele.
yule akamjibu umenikumbusha nyimbo ile mwenzako migulu chegele kwa ndani naugulia kwa nje mbwelele.
mwenzie akamwambia sio siku ya kwanza ukae migulu chegele usije ukamfanya mwenzio akajisaau na kufanya kazi na wewe unataka kuchuna uwe makini mpe mdogo mdogo ukifanikiwa mimi naondoka.
aliondoka yule mwanamke akamaliza kufua akaludi ndani.
mimi nimesikia maongezi yote wanamzungumzia ninayempenda awe mume wangu najiuliza nitamuokoaje maana awana lengo na yeye wana lengo na pesa zake dah niliwaza sana mpaka mpango wangu wa kuchukua nguo ninyoshe naona ushafeli maana uyu mwanamke kashajitoa ufahamu anaweza akanitukana matusi ya nguoni alafu tukapigana bule.
moyoni nampenda sana yule kaka sasa kuna uyu mwanamke ndio kashanivuluga na yeye anamtaka je nafanyaje najiuliza mala mbili mbili nikalala.
kuamka kuangalia juu ya kamba nguo zote amna namsikia yule mwanamke anasema twende kaka ukachukue nguo zako chumbani kwangu nimezianua apo zisiingie ubalidi.
namsikia kaka kanilete dada si vizuri mimi kuingia chumbani kwako.
sasa namwangalia vizuri yule mwanamke aliyekosa aibu namuona ndio anafanya kitu cha aibu kabisa kwetu wanawake anamshika mkono kaka yule anampeleka chumbani uku anasema
uogope kuingia chumbani kwangu umesikia mimi nakula watu twende nikakutoe tongo tongo zito la machoni kwako wewe unakuwa kama ujui mwenzako nataka nini.
,mimi niliumia sana nikawaza nafanyaje ili yule kaka asishawishike nikiangalia ndio anaenda chumbani kwa yule mwanamke yani.........
ITAENDELEA
Tags
simulizi