MTEMI ISIKE NA MAJESHI YA VON PRINCE CHAPTER 3
Kisha akaenda bomani kwa DC akaomba msaada wa kumpiga vita Isike ili wamuondoe kwenye utawala na huo ulikuwa mwaka 1889. Dc akamwita kamanda wa majeshi ya Ujerumani aitwaye Bw Sakarani(Von Prince) na kumpa kazi ya kumuondoa Isike katika utawala. Von Prince akaendesha vita ya kumpiga Mt Isike, vita vikapiganwa kwa miaka minne majeshi ya Ujerumani yalishindwa kumuondoa Mt Isike.
Tags
TaboraYetu