TAHADHARI ⚠️ KATIKA TOVUTI /APP HII HAKUNA SEHEMU YA KULIPIA ONLINE UKIHITAJI MWENDELEZO WA SIMULIZI BONYEZA HIYO BUTTON YA WHATSAPP AMA ANGALIA NAMBA YA MTUNZI WA SIMULIZI HUSIKA KATIKA SIMULIZI HIYO

MY EX HUSBAND 1-5

( 1-5 )

MY EX HUSBAND.
NO 1. 
Muda mwingine hizi aibu tunazozifikiria tutazipata endapo tukiachika ndio hizo hizo zinazotufanya tuteseke.
Siku zote ukuona pete inakupwaya ujue sio saizi yako,na saizi yako ipo hivyo using'ang'anie kisichoridhiki yako.
Naitwa Angel ni mtoto wanne katika familia ya watoto wa tano.
Nimezaliwa keko magulumbasi na nimesoma huko mpaka nilipomaliza kidato nne ambapo nilifeli.
Sikuwa na namna nikaanza kujishughulisha na kupika chapat na maandazi ambapo nikakutana na kijana nikaanzisha nae mahusiano.
Alikuwa mla mirungi sana.
Ila nikasema kwa kuwa nampenda acha nimvumilie maana alikuwa anapiga sana na sketi haimpiti.
Muda ukaenda tukafunga ndoa ya kanisan.
Nikahisi atabadilika baada ya ndoa.
Kweli mwanzo wa ndoa alikuwa vizuri,alikuwa ananijal na kuhudumie vizuri.
Nilipobeba mimba mambo ndio yaliharibika.
Akaniambia niache kupika chapat nilee mimba.
Sikuona shida maana alikuwa anahudumia vizuri.
Tatizo mimba ikatunga nje ya mfuko nikaambiwa niitoe au nikae bed rest hospital mapka nijigungue basi nikakaa hospital kuanzia mimba inamiezi mitatu.
Mume wangu akaacha kunihudumia kabisa .
Familia yangu ikawa na mm mpaka najifungua.
Nilijifungua baby girl anaitwa Anita.  
Nilikula uzaz miezi 6 nyumban kwetu.
Mume wangu akanifata akanambia nirudi amenimiss.
Familia yangu ikamlipisha fain kwa kunitelekeza akalipa nikarudi kuishi nae.
Tulikaa vizuri kwa mwezi tu akaanza kulalamika kuwa nimezaa nimetanuka sana haridhiki akikutana na mm.
Akawa analeta wanawake mpaka ndani analala nao nikiwepo nikimuuliza naishia kupigwa mpaka mda mwingine nazimia na ananifungia ndan.
Nilikonda nikadhoofu siku moja nikarudi nyumban nikamwambia mama siwez kuendelea kuishi na huyu mwanaume.
Mwanaume akaitwa akajiliza pale na kuomba msamaha.
Mama yangu na wajomba wakasema hakuna ndoa yenye raha tu na mwanaume kuchepuka sio sababu ya kuachana na hakuna mwanaume asiechepuka katika dunia hii hivyo nimvumilie kiukwel nafsi ilishaniingia nyongo hapo ndoa ina miaka miwili tu.
Nikasema lazima nifanye namna maana siwez kuendelea kuteseka.
Nilikuwa na viakiba vyangu nikaanza kupika kashata na karanga za mayai.
Mwanzo mume wangu hakujua ila baadae akaja akajua lakin hajawah kunikuta nikipika wala hajui napeleka duka gani.
Siku hio akanikuta kwenye hilo duka nililokuwa napeleka kashata zangu.
Jaman alizimwaga zote akaanza kuzikanyaga kanyaga akamtukana na muuza duka mpaka akajaza watu akaanza kunikokota mpaka nyumban huku ananipiga.
Nimefika nyumban akanifungia mlango.
Baada ya kama nusu saa nikasikia nagongewa mlango nikawaambia nimefungiwa walikuwa n polisi wawili na kijana mmoja ambae sikuwa namjua.
Wakavunja kitasa wakanitoa wakanipeleka kituon hapo nimembeba mwanangu.
Sijui wakamtoa wapi Mume wangu na yeye nikamkuta kituon.
Itaendelea ..........

MY EX HUSBAND 
NO 2.  
Basi yule kijana akamfungulia mashtaka na mm sikujivunga nikasema maukatili yote alionifanyia hapo ndg zangu na wake wananibembeleza nisitoe ushahid wowote kuaajil ya mtoto nikasema woi mtoto mwenyewe hamhudumii alafu nikae kimya.
Basi akashtakiwa kwa kosa la unyanyasaji wa kijinsia akahukumiwa miaka 2 na fain million 5.
Nikaona uhuuu acha nipumue sasa nilee mwanangu kwa raha.
Ndugu zake wakawa wananishtym kuwa mm n katil namfungaje baba wa mwanangu na hawajawah kuona mwanamke kama mm nisieweza kuitunza ndoa yangu.
Yale maneno yalikuwa yananiumiza sana kiasi kwamba nikawa naona aibu hata kutembea.
Siku moja nilikuwa naenda kwenye biashara zangu maana niliamua kwenda kuuza sokon.
Nikahisi nimeshikwa mkono.
 Dada samahan kugeuka n yule kaka aliekuja na mapolisi kuja kumshika mume wangu.
Unaendelea je akanambia.
 Sijambo,vipi unaendelea je na mtoto akaniuliza hatujambo nikamjibu.
Basi naomba tuzungumze kidogo akanambia.
Sikuona shida tukasogea pemben kidogo.
Alikuwa mstaarabu sana kiasi kwamba unainjoy kuongea nae.
Alinambia anachukia sana kuona mwanamke anadhalilishwa..
Hivyo atapambana na mtu yoyote anaemdhalilosha mwanamke.
Hivi unakazi akaniuliza.
Nikamwambia sina inayoeleweka.
Akanambia alijua nitaishi maisha magumu baada ya mume wangu kushtakiwa hivyo kuna kazi kanitafutia ya kufanya fanya usaf mshahara laki na nusu.
Nikakubali nikapelekwa ilikuwa n kampun siwezi kuitaja jina,inaghorofa tatu na wafanya usafi tuko watatu yan kila mmoja na floor yake.
Nikaanza kazi,mwanangu nikawa nampeleka kwa mtu namlipa elfu 20 kwa mwezi maisha yangu yakaanza rasmi.
Yule kaka alikuwa anaitwa Regarn.
Nilidhan ananipenda kwa maana alikuwa mfariji Wangu Na alikuwa zaidi ya rafiki kwangu.
Kutokana na mateso niliyopitia kwenye ndoa yangu,sinikaona mwanaume si ndio huyu na kamoyo kangu kakaanza kuvutiwa nae nikiamin ndio fungu langu
Itaendelea

MY EX HUSBAND 
NO 3. 
Basi nikajua regarn ananipenda kumbe haikuwa hivyo.
Maana alikuwa ananijali na kunisaidia kila ninapotaka msaada.
Siku moja alinambia tyende sehemu nikakubali.
Aliutupia hatar nikadhan labda ndio anaenda kuniapproach kumbe haikuwa hivyo.
Tukafika sehemu tukamkuta mdada jaman n mrwmbo hatar
Tukasalimiana pale kisha regarn akaanza kututambulisha akanambia yule n mpenzi mpenzi wake anaitwa Jesca.
Nyie nilisikia Kama moyo unataka kupasuka Ila nikajikaza na kujichekesha chekesha pale.
Nikaaga maana niliona fika inaweza kuniletea shida maana regarn n mromantic nyie hivyo kila wanachokifanya kilikuwa kinaniumiza.
Bilirudi nyumban nalia kama nimefiwa nikajilaza zangu na kujiambia rizki yangu itakuja kwa wakati sahihi..
Basi yule mume wangu aliefungwa akatoka akaanza kunitafuta ety turudiane amejirekebisha na ananipenda.
Nikasema Woi ngoja niendelee kufuatilia mchakato wa talaka maana siwez ishi na vandame mm.
Alinifuatilia akagundua kwa miaka yote miwili sikuwa na mahusiano hivyo akadhan bado nampenda.
Nikaja kusikia anaishi na mwanamke hata sikushtuka.
Siku moja wakati natoka kazin regarn akanifata alikuwa na kijana mwingine.
Namjua alikuwa anafanya kazi kwenye kampun niliyokuwepo Ila kwakuwa kazi yangu ilikuwa ndio ya chini zaidi hivyo sikuwa na mazoea na watu wengi ingawa nilikuwa nawajua.

Wakawa wanaongea na regarn pale mm muda wote nipo kimya kwa maana waliyokuwa wanaongea sikuyajua.
Huyo kijana anaitwa Joshua.
Alikuwa na aibu Sana hata kuniangalia hakuwa anaweza.
Baada ya maongezi yao wakaagana kila mmoja na njia yake.
Nikaondoka na regarn akanipeleka mpaka nilipokuwa naishi maana nilitafuta mfanya kazi wa kukaa na mwanangu na regarn akawa ananisaidia kumlipa.
Kesho yake nimeshamaliza kufanya usafi Mara ya kwanza maana huwa tunafanya usafi Mara mbili nikaja kuitwa na yule Dada ambae tunafanya nae kitengo kimoja.
Nikaenda mpaka kwenye ofisi ya huyo Joshua maana ndio alikuwa kaniita.
Nikamsalimia pale nikamuuliza naweza kumsaida akasema ndio kaniletee chai.
Huyo nikatoka nikaenda kumletea chai na chapat Ila aliniagiza chapat tano nilishangaa kuwa anakula sana Ila sikuona shida maana hayanihusu.
Nimefika kabla sijamimina chai akaniuliza mbona umeleta kikombe kimoja.
Nikamwambia sawa kumbe unamgen nilishangaa kuona unakula chapat zote hizo...
Akacheka tu nikaenda kuleta kikombe akaniomba sasa niminine chai vikombe vyote.
Sikukataa nikamimina.
Mama unaweza ukanipa kampan maana hua nasikia uvivu kula pekee yangu akanambia.
Nikasema sawa.
Akaacha kazi zake tukaanza kunywa chai sasa.
Nikawa nampigia story pale.
Nilisikia unamtoto akaniuliza.
Ndio Ninae na nimrembo huyo nikamjibu.
Mrembo kukjzidi akauliza.
Eee yaan yule nadhan kachukua urembo wa ukoo wetu wote.
Akacheka tu.
Tukamaliza chai sasa wakati naondoa saa ngapi kikombe kisiniponyoke kkikamdondokea machicha ya chai yakammwagikia.
Unapenda kazi yako akaniuliza kwa ukali kidogo.
Ndio napenda nisamehe boss nikamjibu.
Siwez kukusamehe Ila kwa sharti akaniambia.
Sharti gani nikauliza.
Uninunulie chakula cha mchana,akasema.
Nilishtuka maana mshahara wangu n wakuunga unga mm mwenyewe mchana silag kazin ilinisave hela maana maeneo ya pale hakuna chakula chin ya elfu 15.
Nikaanza kuwaza napata wapi hela mm.
Ila nikamwambia tusilie hapa maana sitaweza kulipa.
Kama huwez itabidi uache kazi akasema.
Ikabidi nikubali,nilikuwa ninakielfu tano changu kuna rafiki yangu pale kazin nikamkopa elfu 10 mm nikajiambia nitakunywa maji tu.
Mda ukafika nikamfata akakubali tukaenda kupata lunch nyie akaagiza kuku nusu wawili na ndizi na juice za matunda mbili.
Jumla ya chakula chote n elfu 45 akataka nile.
Appertite yote ikakata nawaza pesa zote nazitoa wapi mm.
Yeye yupo huru anakula zake.
Mbona huli akaniuliza.
Nikaanza kulia.
Nikotayar kuacha kazi asijal mm sitoweza kulipa pesa yote.
Akaniangalia akanambia najua huwez kulipa.
Sasa kwa nn unanifanyia hivi.
Nimeshalipa mpendwa kula basi,akanambia
Itaenddlea
MY EX HUSBAND 
NO 4. 
Basi nikaanza kula na hivi ninamuda sijala kuku nilifakamia kwa raha zangu,
Tulipomaliza tukarudi kazin,nilikiwa ninakazi ya kuendelea kufanya usafi,wakati natoka akaja Regarn kunipitia maana alikuwa anakawaida ya kunipeleka nyumban.
Angel nimempa namba zako Joshua angalia asikuambie ujinga akanambia.
Ujinga kwann nikamuuliza.
Nimekutahadharisha tu akaendelea kusema.
Basi nimefika nyumban nikaenda kumfata mwanangu ninapomuachaga nikapika nikala.
Nimepanda kitandan nikaona sms inasema.
Umeshalala sweet.
Nilishtuka maana ninamba ngeni.
Nikatuma sms nani mwenzangu.
Akatuma samahan alafu hajatuma tena sms.
Kesho nikaenda kazin nikafanya majukumu yangu nimemaliza.
Akaja mchumba wake Regarn nikaanza kupiga nae story.
Baada ya Kama nusu saa akatoka Regarn na Joshua nikasema niwaache waondoke zao.
Akanifata Regarn akanambia twende.
Sikujua wanaenda wapi na wao walikuwa wamevaa vizuri.
Nikawaambia tutaenda siku nyingine maana mm sipo tayar kwenda nao acha hizo ww twende Regarn akaendelea kunilazimisha nikaona isiwe shida,nikatoka nao tukapanda gari la Joshua ,ikabidi mm nikae mbele.
Wakatuacha kama saluun nikashangaa tunafanyiwa makeup.
Baada ya muda akaja rwgarn na magaun kama sita akasema kila mtu ajaribishe kitakachomfaa.
Tukajaribisha akaja na viatu pea mbili maana mwanamke wa regarn alikuja na viatu vizuri tu tatizo n mm.
Tukavaa hao regarn akaja kutuchukua tukaenda sehemu kumbe ilikuwa part ya kikazi.
Sasa nguo niliovaa ilikuwa inaonesha nyonyo kwa juu na nilikuwa nimeboost balaa.
Tumefika Regarn akaondoka na mtu wake mm nikawa nimekaa nashangaa shangaa tu.
Huwa situmii kilevi nikawa nakunywa soda taratibu na ushamba niliokuwa nao maana sikuwah kwenda kwwnye party kubwa hivyo nikawa nashangaa shangaa.
Mara akaja joshua tukawa tumekaa.
Nimpole na hana maneno mengi.
Ila n kama alikuwa amelewa akawa ananilegezea macho.
Angel mama unajua nn,subiri nakuja akaondoka.
Party ilienda niko pekee yangu akarudi joshua na regarn ila Mara hii hakuwa kama kalewa.
Akaja na chupa ya maji na kama panadol akameza.
Unajua unamtesa mwenzako akasema Regarn.
Kwann,nikamuuliza sijui ngoja nikabembeleze ndoa yangu akasema regarn alafu akaondoka zake.
Nimekaa nashangaa ananiangalia kifua tu.
Mama naomba nikupeleke sehemu.
sikuona shida tukatoka nje akasema naomba tukafate kitu kwenye gari.
Nikasema sawa.
Tukapanda kwenye gari akatoa kabox akanipa nikakipokea.
Nikiwa sielewi hili wala lile nikashangaa ananibusu kifua changu,heee ww vipi nikamuuliza,akawa kama haelewi anaendeleza alichokuwa anafanya.
Sikuwa nataka ila nina zaidi ya miaka miwili sijakutana na mwanaume nikaona kama na mm uzalendo unanishinda woi mwisho nikajikuta nimempa ushirikiano kwan sh ngapi.
Itaendelea


MY EX HUSBAND 
NO 5. 
Ila nilipomaliza nilijilaumu Sana maana kwanza hatujapima,pili hajanitongoza nikajiona Kama malaya hivi.
Akaniangalia akasema tumeshakuwa mwili mmoja usiwaze kufanya ujinga wowote ule.
Nikamwambia mm naondoka hapo ndio nikakumbuka nina mtoto na nisaa nne na madakika.
Kuchek simu nikaona sms ya regarn akasema nimeenda kumchukua mtoto usiwe na shaka.
Tumefanya Nn nikaanza kuuliza.
Akawa anaangalia chini.
Angel mama mm sijui kutongoza akasema.
Kwahio nikamuuliza.
Leo nimeshindwa kukaa sawa kila nikiona kifua chako.
Nilidhan nikinywa pombe nitaweza kukuambia ninavyojisikia Ila nilishindwa nikaenda kuondoa pombe kichwan Ila nilikuwa naumia mpaka nikajaribu kunywa dawa lakin wapi haikunisaidia,angel Nakupenda naomba tuanze ukurasa wetu mm na ww.
Nikamwambia nataka kwenda kumuona mwanangu tutaongea siku nyingine.
Akanambia mwanao yupo sehemu salama usijal naomba ukaone tutakapokuja kuishi mm na ww.
Nikamwambia nataka kumuona mwanangu akampigia simu regarn nikaongea na mwanangu kidogo roho ikatulia.
Nikamwambia vipi kama mm n muathirika na ushalala na mm.
Hamna shida ukipenda boga lazima upende na ua lake maana ukimwi n ugonjwa Kama magonjwa mengine tu.
Tukaenda alikiwa na nyumba kubwa kiasi ina vyumba vitatu vyakulala choo na jiko na chumba kimoja n master.
Akatoa juice tukawa tunakunywa.
Akanambia unajua hatujaoga.
Ndio nikamjibu.
Unaona vipi tukienda kuoga akanambia.
No ww nenda kaoge mwenyewe mm nitaoga akaniangalia akasema sawa akaoga akaja na kitu akasema hichi n kipimo cha ukimwi njoo tupime.
Nikasema sawa tukapima wote tupo salama nikashangaa kanibeba mama naomba nioge na ww plz.
Nikamwambia ha pan a.
Kwann hatujazoeana bado nikasema.
Acha upuuzi ww unataka tuzoeane vipi ww ushakuwa wakwangu ko unatanizoea taratibu.
twende tukaoge huko.
Ikabidi nitii.
Tukaoga tukapashana na mwili joto.
Kesho tukaenda kazin.
Nimemaliza kazi jion Regarn akamleta mwanangu.
Joshua akanifata akasema anaomba tuishi wote.
Niliona n haraka Sana maana hatakama ninadhiki kiasi siwez kujishusha thaman sana.
Nikarud nyumban na mwanangu.
Ety nimefika nyumban ninapoish maana nilipelekwa na joshua alafu akaondoka zake.
Nikamkuta ex husband wangu ety ananiuliza huyu n nani.
Nikamwambia ondoka nyumban kwangu.
Ety sisi bado n wanandoa.
Wanandoa ya ny*ko embu achana na mm.
Lazima nimfundishe adabu huyo anaekupa jeuri akasema kisha akaondoka zake.
Nikasema woi,hanisumbui kichwa huyu acha aende mwanakwenda alivyoondoka nikampigia regarn maana ndio alionisaidia mwanzo akasema hawez kunifanya chochote hivyo nisijali.
Kidogo nikawa na aman.
Basi siku hio ilipita na penzi kati yangu na Joshua likataradad sasa Joshua akampeleka mwanangu shule akataka tufunge na ndoa.
Matatizo ndio yakaanzia hapo sasa.

Itaendelea.............
Full ni 1000TSH

kslprojects

kslprojectstz@gmail.com Entrepreneurship Power

1 Comments

Previous Post Next Post