( 1-5 )
MY VANILA
NO 1.
Muda mwingine mapenzi yanaweza kubadilisha tabia yamtu kutoka mtu mwema kuwa mtu muovu au muovu kuwa mwema,naitwa Glory n mwalim wa primary private schools only
Siku moja nilikuwa nimetoka zangu job nikakutana na polisi Kama walikuwa wanakimbiza watu watatu mmoja katika wale watu wanaokimbizwa akanipamia nikadondoka akaniangalia akanikonyeza kisha akasimama upesi na kuendelea kukimbia.
Kikawaida n ngumu kuzingatia tukio kama hilo ilipita miezi Kama minne.
Siku moja natoka zangu kazini nikasimamishwa na kijana mmoja ambae nikama nilishawah kumuona ila sikukumbuka n wapi ila pia siku zingatia hilo.
Aliomba kuzungumza na mm nikagoma maana sikutaka kuongea nae maana kwa wakat huo nilikuwa na mahusiano na kijana mmoja anaitwa Michael.
Mike alikuwa ananifatilia sana na alikuwa akigundua chochote basi n ugomvi na sikutaka kugombana nae.
Yule kijana alibembeleza Sana mwisho nikakjbali kuzungumza nae.
Alikuwa mrefu na mwili wake ulikuwa umejaa Kama mtu anaefanya mazoezi alikuwa ananiangalia sana na alitaka niagize chakula Ila sikutaka niliaguza maji ya kunywa tu.
Akaniomba namba ya simu nikampa maana alikuwa msumbufu mno akanambia yeye anaitwa Robert anisave nani mm.
Nikamwambia vyovyote atakavyojisikia na sikutaka kumtajia jina langu maana ingetokea amenitext alafu akataja jina langu afu mpenzi wangu akigundua itakuwa kesi akanambia ur My Vanilla.
Ukiona text imeandikwa hivyo ujue n mm na huyo sijui boyfriend wako Kama hajui kukuhudumia anakuogopesha tu atuachie sisi tunaojua kazi maana nilimuambua sababu ziluzopelekea nisitake kuzungumza nae wala kumpa namba zangu n kwasababu ya boyfriend wangu..
Nikamuaga nikaondoka zangu.
Nilikuwa naishi pekee yangu lakin boyfriend wangu alikuwa anakuja marakwa mara nyumban kwangu.
Ila siku hio nilikuwa pekee yangu.
Kwenye kama saa nne ikaingia sms inasema my vannila sikutaka kuijibu.
Mara akapiga sikupikea akapiga tena ikabidi nipokee..
Unanipigia je usiku na nilikuambia nina mahusiano yangu vipi kama mwanaume wangu angekuwepo nikamwambua.
Akiwepo ndio nn uyo sio mumeo unaweza ukaolewa na baharia yoyote yule tena ndio vizuri ajue kuwa kuna msela kakuelewa ili acheze kwa password ukasikika upande wa pili.
Niliona ananichanganya maana mtu mwenyewe hata simuelewi alafu ananimbia maneno kama hayo na zaidi Sana hata kymfaham vizur simfaham ndio kwanza nimekutana nae nina siku miha
Itaendelea
MY VANILLA
NO 2.
Basi kesho yake kama kawaida nikaenda zangu kazin ila wakati natoka nikashangaa namuona yule baunsa ananifata nilishtuka akafika mpaka nilipo akanishika mkono nikawa sitaki akanambia kuwa hawez kukataliwa kitu yeye.
Tukaenda mpaka sehemu tukakaa akanambia alafu yule chalii n mpuuzi mno anafanya ujinga ajui kama anamilik kifaa cha bei kali akasema.
Nikamuomba aniache niomdoke akanambia huna unapokwenda Vanila wangu kwanza kuanzia leo umesha achana na yule mpuuzi na Mm ndio mumeo akanambia.
Mbona kibabe hivyo mm sina hisia na ww nikamwambia.
Mwanamke anatakiwa kutii tu kupenda niachie mwenyewe akaendelea kusema hapo muda wote sikua najua jina lake.
Akanambia anaitwa Godfrey na Mm n mrs Godfrey nilikuwa kama simuelewi kabisa.
Akanirudisha mpaka ninapoishi akanipa elfu 10 akanambia ya vocha ..
Kiukweli nilikuwa namuogopa mno maana amekaa kibondia baada ya nusu saa Mike akaja akanambia tuachane na alikuwa kama ametoka kupigwa.
Nilishangaa ila hakuwa 'na mjadala akaondoka zake hapo sijui sababu na nilikuwa nampenda mno nilijaribu kumpigia lakini hakupokea akawa hata sms zangu hajibu kabisa.
Nilikuwa naumia ila mwisho nikajisemea huenda sio fungu langu ngoja niachane nae.
Godfreys hakuacha kunisumbua kila siku ananifata kazini na anamuambia kila mtu kuwa Mm n mke wake.
Kiukweli sikuwa nampenda kwanza kwa namna alivyokuwa nilikuwa namuogopa sana.
Siku moja weekend akaja akanifata nyumban kwangu akanambia kuwa ameshanitambulisha kwao mm kama mkewe na sasa niwakati wa ndg zake kunifaham sikutaka ikabidi nikaze roho nimuambie Mm sijampenda akanambia vitabu vya dini vyenyewe vina sema mwanamke hatakiwi kuwa na kiherehere cha kupenda yeye kazi yake n kuheshimu na mm kujiheshimu n rahisi sana .
Nikamwambia Mm sitaki kuwa 'na mahusiano nae akanambia Mm sinaruhusa ya kumkataa maana yeye kashanipenda.
Nyie nikaona nimeshaingia cha kike na ukweli nilikuwa namuogopa sana na alishalijua hilo sasa akachukulia udhaifu wangu kama silaha yake.
Akanifosi niende kwao yaani wanaishi nyumba nzuri mno ila ukiiangalia hii familia utahisi wote sio wazima.
Nimefika nikamkuta Bibi yake n mzee lakini anavhanja mirungi.
Nyumba yao inanuka bangi hatar.
Kila mtu alikuwa yupo na kilevi chake na lugha inayoongelewa n matusi tu.
Nimefika akasema oya nimewaletea mkwe.
Dada yake akasema umeleta mke au malaya wa kumto..a.
Bibi yake akadakia acha usen..e siutulie Kaka yako apate wa kumtia.
Nyie nilijisikia vibaya mno maana hayo maisha sikuyataka kabisa.
Nakuja.....
MY VANILLA
NO 3.
Aisee nilikuwa na mawazo mno na nawaza n namna gan naweza kuiepuka hii familia na kumuepuka huyu mwanaume niliwaza nirudi nyumban kwetu niache kazi lakin nikawa naogopa anaweza akanifata.
Yaan wameniletea juice hata kuinywa nilikuiwa naogopa usikute imechanganywa na bangi.
Mara akaingia mwanamama ambae alikuwa n mama yake na Godfreys akaanza kupiga vigelegele yule bibi wakati Huo amekaa anamuangalia tu.
Amepiga vigelegele akanikaribisha kwa furaha sana nikasikia yule bibi anasema naona ushamaliza kutoa miguno yako kama umetoka kutomb...a.
Yule mama akasema mama punguza basi utamfanya binti wa watu aogope kuingia kwenye hii familia.
Atajua mwenyewe sikajisogeza mwenyewe azoee tu maana hakuna aliemtuma alete mku..u mbele.
Aseee mpaka nikajikuta nacheka.
Nimechaka nikashangaa dada mtu akadakia umeona mama unataka tuonekane walokole akati hiki kimalaya kinaonekana kinafurahia sana kuingia kwenye hii familia au kaelewa mb..o ya yule kahaba wakiume.
Wakati huo Godfreys yeye alitoka anarudi nikamwambia mm naomba kuondoka nashkuru kwa kuijua familia yako.
Akaniuliza mbona mapema hivyo bibi akadakia itakuwa anataka ukamtie.
Aseeee nikasema kwakwel nimepatikana kisogo mama ndio sijamsikia akitukana Ila nahisi huenda alitaka kuficha udhaifu wa familia.
Ety akanambia nikae mpaka ifike jion tule chakula cha jion.
Weee sikutaka maana najua nikikaa mda mrefu nitajikuta naondoka na kamusi ya matusi.
Ikabidi anielewe akawa ananisindikiza nikamuomba tuende sehemu tuzungumze akakubali yaan Huyu Godfreys tofaut na ubabe wake sijawah kumsikia akitukana kabisa zaidi ya mshenzi na mpuuzi.
Tukaenda kwenye restaurant akaagiza juice nikashangaa maana nilitegemea ataagiza pombe ila haikuwa hivyo.
Nikamwambia samahan na nashkuru kwa kunipenda ila kabla hata sijasema ila nn akabana pua akasema ila naomba tuachane usije ukawaza hicho kitu kabisa kwenye akili yako mm labda nife ila kama niko hai mm ndio mumeo na ww n my vanilla.
Aseee nilichoka nikamwambia wazaz wangu hawatokubali niolewe na ww akaniangalia dakika kadhaa kisha akanambia wangekuwa hawataki nikuoe wasingekuzaa mzuri hivi.
Yaan sio ww wala wazaz wako wala kungun yoyote yule anaeweza kukataa mm kukuoa yaan jiandikie kuwa nimeshakuoa tu Vanilla wangu na usije ukawaza upuuzi wowote wa kunitenganisha na ww maana utalia akanambia aseee nikajikuta naogopa maana nilitaka kuhama mkoa kabisa sikutaka kuwa na mahusiano nae kabisa.
Akanirudisha mpaka kwangu kisha akanikiss kwenye paji la uso akanambia Nakupenda mno vanilla wangu.
Yaan nimeingia ndan nikaanza kulia yaan sijawah kutegemea kama nitakuja kuangukia mikonon kwa mwanaume Kama Godfrey na sikutaman kabisa kuwa karibu nae nikampigia rafiki yangu mmoja nikamueleza yaliyotokea akanambia mkimbie kisirisiri ikiwezwkana hata kazin usiende ondoka patakapopambazuka tu.
Nikaona ushauri si ndio huu nikakusanya vitu vyangu vya msingi nikaweka kwenye begi saa 11 kamili nikatoka nikajisemea namkimbia huyu mwanaume kufika standa nasikia watu wanashangilia wanasema Samdo Samdo Samdo sikuelewa Samdo n nn nikawa natafuta gari ile nataka kulipa nauli nikashikwa mkono kugeuka n Godfrey nikajikuta nimeishiwa nguvu akanambia twende Mamy aliongea kistaarab mno.
Akachukua begi langu akamuita mtu akasema alikute nyumban sikuelewa nyumban wapi baadae ndio nikaja kugundua n nyumban kwao.
Tukatoka akaja kijana mmoja akasema Ila Samdo umeokotea wapi hii chombo nikashangaa kamkata Jicho yule kijana akaondoka.
Tukaenda mpaka kwenye hotel moja nzuri sana akanambia leo nitashinda na ww mpaka uniletee misahafu na bibilia mpya yenye maelezo ya kutisha ya kwann ulikuwa unanitoroka na nifanye nn unipende..
Aseee nilikuwa naogopa sana akaniuliza mbona uunatetemeka hivyo mm siwez kukudhuru kabisa maana yaan moyon umejaa mpaka unamwagika.
Tukawa tumekaa swhem wakati huo ilikuwa ishafika saa moja asubuh.
Ikaletwa chai akawa anakunywa mm hata siwez kunywa kabisa yaan natetemeka hatar.
Nikaanza kulia akaniangalia akasogea akaanza kunifuta machozi akanambia mamaa mm sio mtu mbaya kwako usiniogope kiasi hicho ukiuondoa huo uoga nitaweza kukufundisha namna ya kunipenda akasema.
Mm siwez kukupenda nikamwambia.
Aliniangalia akanambia yaan dunia inigeuzie matak...alafu na ww isinitake aseee labda sio mm.
Yaan chakufanya wakati huu unatakiwa ujiambie kuwa mm siwez kutengana na Samdoo ivyo natakiwa nijifunze kumpenda akanambia.
Basi tulishinda pamoja jion nashangaa ananipeleka kwao nikamwambia mm sitaki kwenda.
Ili unitoroke utakaa ninapokaa mm.
Kufika tu nyumban kwao akaingia kwabiti moja akasema yoyote atakae msumbua My Vanilla namtomb.....mwaka mzima watu wote kimya akanipeleka kwenye chumba chake kisha akaondoka akaniacha....
Nakuja
MY VANILLA
NO 4.
NImekaa nawaza na kuifikiria hatma yangu nawaza n namna gan naweza kuiepuka hii familia ila sikupata jibu kabisa maana nilijua hamna namna yoyote ya kuikwepa zaidi ya kujifunza namna ya kuishi nao na kumpenda godfrey.
Usiku nikawa nasikia geti lao kubwa linafunguliwa ksakuwa mm nilikuwa juu Gorofan nikachungulia nikamuona Godfrey na wenzie wawili wanavaa vitu vya kufivha sura kisha wakaondoka zao.
Nikasema eheee kumbe n majambaz aseee nilihisi kuchanganyikiwa nyie.
Si ndio nikaanza kuvuta picha nikakumbuka sku ya kwanza niliomuona alikuwa anakimbizwa kafanya tukio bank.
Nikaanza kusearch pale ndan walau kama nitaona ushahidi ili nimpeleke polisi afungwe mm niwe zangu na aman nikasearch sana nikakuta kunadocument nje imeandikwa two faces.
Nikafungua nikakuta matukio yote waliyoyapanga mwezi mzima na namna ya kuyafanya pamoja na location nikasema ehee naanzia hapahapa.
Nikachukua ile document nikaificha.
Sikujua amerudi saa ngapi asubuh akaja kunigongea mlango nikampokea na tabasamu la ukweli nikamkumbatia n kama hakutegemea akaning'ang'ania akanambia Asante Vannila wangu nikaona ahaaa kumbe huyu kumteka n rahisi nikimuonesha mahaba mahaba anaweza kufanya ninachokitaka ngoja nianze kufanya namna nikamvua sweta maana alivaa sweta na tishet ndan nikaomba besen na mabrush nikamkalisha kitandan nikaanza kumuosha miguu alikuwa namuona anavyosisimka kama namuandaa vile.
Akawa ananambia Vanilla wangu utaniua nikaona eheee.
Nimamfuta miguu nikaipaka mafuta nikamuona ananiangalia kwa macho malegevu mno akanambia Vanilla wangu utaniua..
Nimemaliza nikamuambia naomba niende nyumban kwangu kuna kitu nikachukue akaniangali alafu akasema kwahio mm ndio unaniacha hivi hivi.
Naoga hatujapima tukipima mambo yote yatakaa vizur.
Akaniangalia kisha akanambia hv n kweli umekubaliana na mm au ndio umeamua kunitega maana ushajua kwako sijiwezi.
Amna nimeona labda ww ndio fungu langu akaniangalia saa ngapi asinishushie kiss ikabidi nimpe tu ushirikiano kama n kupendana baadae maana sikuwa na hisia nae hata kdg lakin nilikuwa namuogopa mno.
Akataka tuendelee na burudan nikamzuia nikamuomba niende nyumban kwanza akakjbali akaniomba anisindikize nikakataa basi akamuita dereva anipeleke kwangu nikaenda mpaka kwangu nilikuwa na rafiki yangu polisi nikampugia simu alikuwa n mwanaume nikamuomba amtume polisi wa kike Ila avae kiraia kweli alikuja mdada nikamkabidhi ile document iliyoandikwa two faces akaondoka nayo kisha nikatoka nje nikapanda gari nikarudi nyumban kama hamna kitu sikumkuta Godfrey Ila ile naingia kila mtu yuko kimya ananikata jicho hilo mpaka nikawa naogopa nikakimbia chumban nikajifungia mlango nimekuja kufungua saa 12 jion yaan hio siku sikula nilikuwa naogopa mno akaja Godfrey akaingia akanishika Kama anataka kunipiga kwa uoga nikajikuta mkojo unatoka akaniangalia kisha akanambia ulitaka niuliwe au nifungwe ili tutengane aseee my Vanilla hata nikifa jua tutazikwa wote akaniachia kisha akaondoka zake..
Akaja baada ya kamanusu saa akaniletea chakula kisha akaondoka .
Nilikuwa na njaa sikuvunga nikala.
Aseee nikawa naogopa hata kutoka nje nilihusi familia nzima itaniandama na niliogopa kuoga matusi.
Kuna muda nikaja kugongewa mlango akaingia mama yake na Godfrey akanambia mwali wangu usiogope ulichokifanya angeweza kufanya mtu yoyote mwenye uoga mm sikushutumu.
Mm enyewe niliolewa kibabe aseeee nikuambie tu mpendwa wangu tutajitahid tuishi na ww vizuri Ila usije ukawaza kumuacha mwanangu Samdoo maana hutaweza akasema yule mama na atakupa kila unachotaka na anaweza kuacha kila kitu maana anakupenda mno so vheza kama mwanamke ili kumbadilisha akaendelea kisema yule mama.
Nakuja
MY VANILLA
NO 5.
MWAli wangu siku ya kwanza nilivyokutana na baba yake Godfrey ilikuwa tofaut na wewe ulivyokutana na mwanangu.
Mm alinitongoza na alikuwa mpole sana tena anajali mno.
Nilimpenda nikampeleka kwetu ilakitu kilichonishangza alikuwa anaharakisha ndoa mno ila nikahisi n upendo kumbe hakutaka nifaham mambo yake kabla hajanioa.
Kweli nilifunga nae ndoa na alikuwa hata hatoki nje kwa miezi Karibu sita na nilikula na kuvaa ninachokitaka nilishangaa na kutaman sana kujua kazi yake baadae ndio nikaja kugundua kuwa ni jambazi.
Nilivyojua nilitaka kuondoka wakati huo nilikuwa nina ujauzito wa Godfrey wa mwezi mmoja ila alinibana sana akawa ananiwekea watu wakunichunga ili hata nisitoke nje.
Kweli alinijal na kunionesha upendo wa hali ya juu Mno na uzuri mm nilimpenda kabla ya kuingia kwenye ndoa hivyo moyo wangu ukawa unapambana na akili yangu.
Moyo unaniambia kaa kwa kuwa unampenda ila akili iliniambia niondoke.
Alinibembeleza sana nisimuache ataacha kila kitu ili kuwa na mm nikamuamin kweli akawa hatokag ila kumbe yeye anachonga mipango akiwa nyumban alafu wanaenda kufanya tukio watu wengine. group la whatpp la stori bonyeza hapa kujiunga Bure 👇🏼
https://chat.whatsapp.com/J126uWXpe7rGEBzwSxLv0o
Wahii maana nafasi nichache sana bado watu 20 group lijae…….!!!
Nimekaa nae akafungua hardware nikawa najua pesa alizonazo zinatoka kule nimekuja kugundua kuwa anaendwlea na kazi yake hivi tumeshazeeka.
Ila mwanangu tofaut na matusi hii familia inaupendo na inajitoa sana hutojuta kukaa nao lakin uwe na moyo tu wakuvumilia kutukanwa na kutukanana matusi ndio udhaifu wao mkubwa.
Nikasema eheee nimepatikana .
Tuliongea sana na yule mama na alionekana kunipenda na kunipa moyo mno kuliko kawaida mpaka nikawa kdg nina aman maana alinambia sina uwezo wa kuachana na Godfrey maana hii familia imeshajenga misingi kila mahali na kila utakapoenda lazima utakutana na watu wao.
Aseee nikakisemea kweli nimepatikana.
Godfrey hakuwa ananisumbua hata kdg kuhusu haki za nyumba akawa ananambia ulinipenda ndio nitaanza kuugusa mwili wako.
Basi akanambia anasafiri wiki mbili akaenda kwetu bn akawa anasali kanisa ambalo wazaz wangu wanasali aseeee😀😀
Na mara kwa Mara akawa anasafiri kumbe anaenda kutengeneza mazingira ya kukubalika ukwen mm wakati huo sina ninalolijua.
Alivyoona mazingira yamekaa vizuri akaja sasa kujaribu bahat kama na mm nitamuelewa.
Akatoa oda kwamba kila kinachonihusu atafanya yeye..
Maskin akawa ananiandalia chai,cha mchana na cha jion mwenyewe kwa mikono yake na alikuwa mpishi hodar mashallah.
Hataki nifue ananifulia na kila tukikutana ananieleza namna anavyonipenda.
Kama binaadam nikaanza kulainika moyo nikawa na miss asipokuwepo ila najitia ununda si mtafuti.
Siku moja aalikuja Godfreys anatapika damu nilihisi kuchanganyikiwa.
Familia nzima inaniangalia hakuna anaehangaika nae.
Nikawa nalalamika tumsaidien atakufa bibi akanambia si bora afe ss tutafaidika na nn maana hawez kututomb... Zaidi yako.
Roho iliniuma maana matusi yao nilishayazoea ila simutegemea kama wanaweza Kuleta mzaha kwa mgonjwa.
Nikashangaa watu wote wameniachia msala kila mtu kaenda zake kulala hapo Goffrey kalegea hatar nikamuuluza nkuletee nn akanambia anasikia baridi nikamletee blankent nikaenda kuleta akawa bado akawa anatetemeka nikamuliza nifanye nn akawa kimya bado anatetemeka.
Mamy naomba nisaidie joto lako nikawa simuelewi.
Ananivuta akaning'ang'ani tukajifunika na blanket mm nilikuwa nasikia joto mno Ila nikavumilia nimekuja kustuka asubuh hata Godfrey hayupo nikawa nasikia sauti ya mdogo wake anacheka mno anasema sasa bro ndio mkaona mto. banie sebulen kwel na nyumba n kuwa hivi.
ACHa usechu ww inataka wife akiamka ajue nimemtia kweli au akasema Godfrey nilaamka nilivyoamka yule Dada yake akawa anacheka mno kisha akaondoka zake.
Nakuja............
Tags
simulizi