TAHADHARI ⚠️ KATIKA TOVUTI /APP HII HAKUNA SEHEMU YA KULIPIA ONLINE UKIHITAJI MWENDELEZO WA SIMULIZI BONYEZA HIYO BUTTON YA WHATSAPP AMA ANGALIA NAMBA YA MTUNZI WA SIMULIZI HUSIKA KATIKA SIMULIZI HIYO

MASSAGE ROOOM 03

CHOMBEZO : MASSAGE ROOOM!
..............................(Chumba Cha Masaji)
Umri........................🔞

SEHEMU YA 3🌷
ILIPOISHIA...... 

"Mk nifanyeee basiiiii ooohh!nimerowa tayariiiiiiiii!"
"Nakufanya mke wangu subiri!",alisema Mk hapo akainyanyua mikono ya Mwantum na kuzama kwenye kwapa zake!"
"Babababababaaaa!babaaaaaa!unaniuaaaaaah!"

ENDELEA NAYO..... 

Hakubarikiwa pesa lakini kwa ufundi tu wa kitandani Mk ni habari nyingine kabisa, anajua kuuchambua mwili wa mwanamke vilivyo, anajua amshike wapi mwanamke arowane na kumpa anachokitaka!
Hilo ndilo lililomfanya Mwantum amgande kijana yule mwenye mboo ya kwake na ya babu Yake mzaa babu Yake na baba Yake!

Wakati ambao Mwantum anaomba mboo iingizwe kumani kijana Mk alikuwa hana hata habari, hiyo ndiyo kawaida yake, huwa anamuandaa mwanamke bila kuruka hatua hata moja!

Alianza na denda akahamia masikioni aliposhuka akaganda shingoni kisha akaenda kwapani! Hapo ndipo Mwantum akashindwa kuzuia sauti yake isiwafikie majirani, Raha aliyohisi ulimi wa Mk ulipokuwa unaramba kwapa zake na kuzinyonya, ulikuwa ni zaidi ya utamu!

"Oooohhshiiiiiihhh!babeeee aaasshiiiiiiiii ooooohhh ooohhhhh!"

Aligumia utamu macho Yake akayafumba, lipsi zake ziliregea haswaa kumaanisha kuwa Mk anamgusa inavyotakiwa!
Mk akahama kituo sasa akaangukia kifuani, hapo akakutana na chuchu ndogo zilizochongoka balaa, zimesimama zinachoma kama sindano ya fundi cherehani!

Ulimi wa Mk ulianza kutembea kwenye mstari pale kifuani, mstari unaotenganisha chuchu moja na nyingine!
Aliutembeza pale muda huo Mwantum hajiwezi, ni kama mbuzi anayesubiri kuchinjwa. 

Baada ya kuachana na mstari akasogea kwenye chuchu ya kulia, akaanza kuichezea na ncha ya ulimi wake!

"Ooohhhshiiii!babeeee!babeeeeee! oohhh utaniuaaaa babaaaa ooohhh!"

Mk alikuwa bize anachezea chuchu ile kwa ncha ya ulimi hana habari, mwisho akaamua kuimeza mdomoni akaanza kuinyonya taratibu bila kutumia nguvu. 

Alifanya mchezo ule muda huo mikono Yake iko ndani ya chupi ya Mwantum inamsugua kisimi. 

"Ooohh!babeeeee!nakupendaaa Mkamaaaa! aiiiih we Mkama weeeee!"
Sauti ya kilio ya Mwantum ndiyo iliyompa nguvu Mk aendelee kufanya yake bila pupa!

Kimbembe kilikuwa pale ambapo alihama kituo akahamia chuchu ya kushoto, pale wanasema inakuwa na hisia Kali Sana, eti kisa ipo Karibu na moyo...sijui kweli mmh!
Alipoimeza tu Mwantum alinyanyua mkono wa kushoto akaanza kuitafuta mboo ilipo. 

"Nipeeee!nipeeeeeeh!naombaaaaa!"
Oooh! bahati mbaya ilikuwa kwa Mwantum mboo ilikuwa ndani ya boksa na mikono Yake haikuwa na nguvu hata kuingia ndani, akaishia tu kuishika kwa juu, ilikuwa imevimba tayari kwa Vita lakini Mk alikuwa bado anaandaa mashambulizi kwenye ramani!

Aliamini Vita nzuri ni ile yenye mipango, kuwa tutaanza hapa tunamalizia hapa!
Baada ya kumchezea chuchu alishuka taratibu mpaka kwenye Kitovu Cha mlimbwende Mwantum, akaganda hapo ulimi wake akauingiza kwenye Kitovu  kilichoingia ndani. 

"Mk nini lakiniiiiiii!naombaaaa!" uvumilivu ulimshinda Mwantum alikuwa ana hamu siyo kawaida, Kisimi chake kilikuwa kimesimama haswa!!

"Kwani unataka nini babe?" aliuliza Mk akijifanya haelewi anachoombwa!
Mwantum hakujibu swali lile maana wakati anajiandaa kujibu alishtukia mbavu zake zinaparazwa na meno ya Mk akajikuta ametoa kilio kikubwa Cha mahabaaa. 

"Aassssssiiiiiiiihhhhhhh!"
Mk alinyonya zile mbavu moja baada ya nyingine Kisha akashuka kwenye kiuno cha Mwantum!
Alikitazama kwa muda, kiuno kidogo kilichobeba bambataa la milioni!

Aliinama Mk akaiuma na meno chupi ya Mwantum na kuanza kuishusha taratibu bila pupa!
Vile meno yalikuwa yanamgusa Mwantum yalikuwa yanamtekenya basi akawa anashtuka Kama anapigwa shoti ya umeme. 

Chupi ilivuliwa Mk akayatanua mapaja makubwa ya Mwantum akaingia katikati na kukisogeza kichwa chake kwenye ikulu ya Mwantum na kuipiga busu. 

"Mwaaaaaaaah!"
"Oooshiiiihhhh!".
Aliona jinsi Mwantum alivyorowana kwa maandalizi sahihi ya mechi, hakujali akasogeza ulimi wake na kukigusa Kisimi Cha Mwantum ambaye alitoa sauti na kuyakusanya mashuka Kama kichaa. 

"Oooohhh!babeeeee!aassssshiiiiiiiihhh!"

Utamu ulimkolea haswa binti Mwantum, ulimi wa Mk ulikuwa wa Moto Kama umetoka kupashwa kwenye jiko la gesi!

Mk alijua jinsi ya kunyonya kuma, alijua namna ya kuchezesha ulimi wake na kumpa raha mpenzi wake!
Ukifika muda akawa anameza kisimi na kukimumunya Kama pipi mafua!

Hali ilikuwa tete kwa binti Mwantum alishindwa kusubiri mpaka mboo izame ndipo aangushe bao lake la kwanza!
Utamu ulipomzidia alishika kichwa cha Mk na kukikandamizia kwenye kuma Yake huku analia. 

"Ooooohhh!nakojoooaaaa!nakojoaaaa! aaasshiiiiiiiii!nakujaaaa babeee ooohhh nakojoaaaa babababaababababba!"

Kuna lugha aliziongea hata haijulikani Kama ni kichina au lugha ya nyumbani kwao tanga!
Alishusha bao lake zito akaanza kuhema kwa kasi sana, muda huo Mk akavua boksa Yake na kuishika mboo Yake tayari kwa mapambano makali. 

"Umeniweza mume wangu ooooh!"
Mk alitaka kuzamisha mboo Mwantum akamzuia. 

"Eeh! baba unaenda wapi? si nilikuambia uweke ukaniringia, uliona wapi mechi inaanza moja bila? hapa baba pasupasu mpaka ucheue ndiyo nikupe kuma yangu!"
"Mmmh!"
"Guna tu unanijua vizuri nadhani, si umejifanya komandoo kuniliza, usipolia leo labda Mimi siyo Mwantum Toto la kizigua!"

Mk alikaa kimya maana anamjua Mwantum aliamua kumchezea mwanaume inakuwaje.

Mwantum alidhamiria kulipa kisasi, kitendo Cha Mk kumliza kama kichanga hakukipenda hata kidogo aliinuka huku amepiga magoti akamsogelea Mk ambaye naye alikuwa amepiga magoti pia. 

Alimkumbatia na kumpa ulimi wakaanza kudendeka Kama ambayo alianza yeye!
Mkono wa Mwantum uliishika mboo ya Mk ambayo ilimpa tabu kuizoea mwanzo ila sasa  ni mwendo mdundo. 

Wakati amempa ulimi Mk anahangaika nao yeye mikono Yake milaini ilikuwa inaipapasa mboo taratibu! Aliutoa ulimi Mwantum na kuuingiza kwenye sikio la kushoto la Mk ambaye alishindwa kujizuia, macho Yale yakaregea kama anataka kukata roho kabisa. 

Mwantum alizidisha utundu kwenye sikio la Mk, akawa anauvuta upepo kwa nguvu unaleta ubaridi Kisha anauachia unaleta joto fulani liliomfanya Mk agumie bila kupenda!

"Ooooohhh!Mwantuuu!"
"Jina langu babaaa!subiri nikupe mahabaaa eeeh!" aliongea kwa sauti ya chini Karibu na sikio la Mk.

Hakuishia hapo alianza kuongea kwa sauti ya chini Karibu na sikio la Mk, lugha aliyoitumia ilikuwa ya matusi matupu, hiyo ilimfanya Mk aongeze hisia maradufu. 

"Nataka unitombe mpaka nikuite babaaa, uniingizie yote leo mpenziiii, nifanye kwa nguvuuuu, mpaka nianze kuliaaa oooohh!ooohhh!babe!fuck meee!oooh so sweet aasssshhh!"

Huo ulikuwa ufundi wa Mwantum kutumia maneno kumnyegesha mwanaume, Mk alizidiwa akataka kumshika Mwantu amlaze chali lakini akakataa!
"Subiri babaaaa!badooooo!"

Mwantum alishuka kwenye kifua Cha Mk akaanza kukiramba na kuchezea vichuchu vya kiume taratibu kwa ufundi!
"Oooohhh!",aligumia Mk!

Baada ya utalii ule alishuka penyewe Sasa akamshika mzee kipara na kumuingiza mdomoni, akaanza kucheza na kichwa tu kwanza!
Alikichezea muda huo Mk akakishika kichwa cha Mwantum na kuuingiza nusu mboo mdomoni. 

Hali ilikuwa mbaya Sana kwa Mk, vidole vya Mwantum vilikuwa vinampapasa korodani zake zikimtekenya na kucha zake ndefu. 

Mwantum aliinyonya mboo ya Mk mpaka ikatoa Ute ute, Kisha akashika na kuzibugia korodani na kuzimumunya taratibu bila kutumia nguvu huku mkono wake mmoja ukimpigisha punyeto Mk!

"Aaaahhhhh!aaaaaaahhhhhhhghhh!"
Mk uzalendo ulimshinda kabisa, akanguruma kama Simba dume aliyeshiba. 

Mwantum alijua ule ni muda wa kuwapokea wazungu, akazidisha kasi ya kumpigisha punyeto Mk akarusha wazungu wote wakaingia mdomoni mwa Mwantum akawameza bila kupepesa macho. 

Mk alipowashusha tu wazungu akalala kitandani huku anahema kwa Kasi sana!
Mwantum akamsogelea na kumkalia juu huku anatabasamu. 

"Vipi baba?"
"Sa..Safi tu..dah!"
"Hapo safi Sasa eeh, mechi inaanza moja moja!"
"We mwanamke nani kakufunza mapenzi!?"
"Hahahahah! usisahau natokea wapi baba eh!"
"Tangaa!"
"Ewaaaaaahh yalikozaliwa mahabaa!"
"Haya nipe hayo mahabaa!"
"Unataka ya shingapi baba?"
"Ya hela yoteee!"
"Hahahahahha!"

Mwantum aliishika mboo ya Mk akaona imesimama akatabasamu na kuilengesha kumani, ikazama taratibu huku kayaregeza macho Yale makubwa yanayolendemka!

"Assshiiiiiiiiiih!Mkamaaaaaa!mboo kubwaaaaaa!"
"Kuma yako tamuuuu!"
"Ahsanteeeee ba....baaaaaahhh!aasiiih oohh oohhh!"

Sauti ya pangoni ilimtoka Mwantum wakati huo anajipimia mboo ya Mk kwa saizi aliyopenda!
Kuna muda aliikalia yote muda mwingine alikalia nusu, kuna muda pia alikuwa anakikatikia kichwa tu yani alikuwa fundi hodari haswaaa!
Utamu ulimzidia akashindwa kujizuia akaanza kujikunja huku anakata kiuno chake!

"Mk!"
"Naam!"
"Nakojoaaaa!"
"Kojoaaa bebiiii!"
"Nije bebiiiii!"
"Njoo mpenziii!"
"Mie nakujaaaa!"
"Njoooo!"
"Inanikuna vizuuuuriiiiiiii, aaaaahiiiiisshiiiiiii!navunja dafu babeeee!"
"Vunja tupikie waliiiiii!"
"Aaaaaaaaahhh!ooohhhhhhh!"

Wakati anavunja dafu Mk aliongeza kasi ya kumsugua basi akavunja dafu zito sana akatulia kifuani. 

"Mmh! we mwanaume!"
"Naam!"
"Unanipatia sana Mpenzi!"

Mk hakutaka kuzungumza alimshika Mwantum akamgeuza na kumuinamisha akainama ule mkao wa pakua yote usiniachie hata matandu!
Mk akasimama nyuma Yake na kuizamisha mboo Yake taratibu akaanza kumsugua mlimbwende ambaye alilia kwa utamu alioupata!

Ukawa mchezo wa kubadilisha staili Sasa mara popo kanyea mbingu, Mara kunguru hafugiki, yaani ikawa balaa! Wanakuja kuachiana kila mtu anahema balaa, muda huo Sasa ndiyo wakakumbuka kuna joto. 

Wakati wanakunjana walikuwa hawasikii joto, sasa ndiyo wakagundua mashuka yote yalikuwa yamerowa chepechepe kwa jasho lililowatoka!

"Aaah!mume wangu yaani hapa tunahama, we subiri nianze kazi kesho!"
"Weka maji tukaoge mama, Sina hata hamu leo tunalala ziwani!"
"Hahahaha! geuza godoro baba!"
"Halafu kweli umenipa akili!"

Mk alisimama akainua godoro na kuligeuza kisha wakatoka na kwenda bafuni lakini walichokisikia humo kiliwaacha hoi!

"Mmh!mume wangu mbona sielewiii!"
"Huelewi nini?"
"Watu wanakunjana bafuni!"
"Mmh! halafu kweliiii!"

JE NINI KITAENDELEA?USIKOSE CHOMBEZO HILI LENYE KUSISIMUA.

kslprojects

kslprojectstz@gmail.com Entrepreneurship Power

Post a Comment

Previous Post Next Post