Umechoshwa Na Maumivu Ya Bawasiri Yasiyokwisha?
Bawasiri ni hali ambayo vena (mishipa ya damu) kwenye eneo la ndani la haja kubwa (anus) huvimba na kuwa na maumivu.
.
.
Dalili za bawasiri ni pamoja na:
▶️ Maumivu wakati wa kujisaidia
▶️ Kutokwa na damu isiyo na maumivu wakati wa kujisaidia
▶️ Muwasho eneo la tundu la haja kubwa
▶️ Uvimbe eneo la tundu la haja kubwa
▶️Kinyama eneo la tundu la haja kubwa
.
Mambo Yanayoweza Kupelekea Mtu Kupatwa Na Bawasiri..
▶️ Uzito kupita kiasi(Overweight), unene na kitambi
▶️ Ujauzito
▶️ Unywaji pombe
▶️ Kukaa sana sehemu ngumu
▶️ Kuingiliwa sehemu ya haja kubwa( tendo la ndoa kinyume).
▶️ Kujisaidia Choo Kigumu
▶️ Kuharisha sana
▶️ Kukaa sana sehemu moja
▶️ Kutokunywa maji ya kutosha
▶️ Kula sana nyama nyekundu
▶️ Kula sana vyakula vikavu
▶️ Kula sana pilipili
▶️ Kula udongo (Wajawazito)
▶️Kunyanyua vitu vizito
.
Je upo tayari kupokea habari njema kuhusu tatizo lako la Bawasiri ???
.
.
OK Umejibu vizuri kwamba UPO TAYARI haya twende pamoja sasa
.
.
Suluhisho lipo hapa! Tunakuletea tiba bora kabisa dhidi ya bawasiri, iliyotengenezwa kwa viambata asili na salama.
.
.
Tiba yetu inafanya kazi kwa haraka kupunguza maumivu, kuondoa uvimbe, na kuwasha. Hakuna tena aibu na usumbufu wa bawasiri utakaokupata, rudisha furaha yako ya maisha leo
Usikubali bawasiri iendelee kukusumbua kwa kukupotezea furaha wala ajira yako! Pata tiba yako sasa kwa bei nafuu na uhakikishe unarudi kwenye hali yako ya kawaida.
.
.
Kumbuka ukiumwa bawasiri mpaka ukashindwa kuendelea na majukumu yako ya kazi ina maana unaweza kupoteza ajira yako au kipato chako.
.
.
Sio hivyo tu ukiwa na bawasiri huwezi kusikia amani maana ule uvimbe au kinyama kitakukosesha amani pindi unapokaa au unapotembea, na mbaya zaidi kwenye masuala ya tendo la ndoa kwa mwanaume ndio linaharibu kabisa na pia inaondoa hamu ya tendo kwa jinsia zote
.
.
Ndio maana leo hii kuna wanawake wanalalamika wanaume zao hawana nguvu za kiume kumbe waume hao wana bawasiri, na kuna wanaume wanalalamikia wake zao kwamba hawataki kufanya tendo nao kumbe shida sio hawataki ila wake hao wana bawasiri na kila mmoja anaogopa kumwambia mwenzake😀😀😀 we kuweza ???
.
.
Lakini unafikiri ukimwambia rafiki, mpenzi au mtu asiyeujua huu ugonjwa unafikiri cha kwanza atakachowaza yeye ni nini juu yako???
Eheeee ushajijibu, NDIO atawaza umeanza kufanya mchezo mchafu kinyume na maumbile, na hii ndio sababu watu wengi huhisi aibu kusema kuhusu ugonjwa huu na kufanya SIRI... sasa kwanini usiutibie LEO ili uondokane na fedhea zote hizo ambazo zinaweza kupekekea hata ndoa au penzi lako kubomoka ???
.
.
Sasa cha kufanya ni hiki.... Wasiliana nasi leo kwa maelezo zaidi na uweke oda yako ya dawa hii ili uondokane na bawasiri na ufurahie maisha
.
.
Tibu bawasiri ili ufurahie ndoa yako na kipato chako, ishi kwa kujiamini
.
.
Unachotakiwa kufanya ni kuwasiliana nasi LEO kwa mawasiliano hayo hapo chini ili tukusaidie kutatua changamoto yako ya bawasiri na uanze kuishi maisha ya furaha
.
Mawasiliano yetu ni :
Simu/whatsapp : +255716778844
Tags
AFYA